Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu kuendelea na maswali ya dodoso Mahakamani Agosti 27, 2026

Ni balaa..mbona uhaini hauguswi kabisa?
 
ila job anavyomuuliza Lisu mambo ya October kwani yeye ndo aliwaambia watu wachome vitu? kwanza si kashasema alikua gerezani hiyo siku au
 
Sasa Lissu ya October 29 yeye yanamuhusu nini wakati alikuwa jela muda wote!?hawa vipi nao!!!!!
 
Moto uwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…