Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu kuendelea na maswali ya dodoso Mahakamani leo Agosti 28, 2026

Hakuna kitu kama hicho. Kama ni hivyo hata yule aliyesema hakutakuwa na nywinywi wala nywinywi alkamatwe maana naye amechochea hasira za watu.
 
Serikali imeamua kutumia Mahakama kumtesa Lissu gerezani. Hii ngoma mahakama ingekuwa huru, ingeisha siku ile ile kwa "no case to answer".
Mahakama bongo ina safari ndefu sana. 😊
 
Hii ya CCM ya kusema mabadiliko ni mpaka baada ya uchafu WA 2025 ni uhaini na kutaka kupata madaraka Kwa njia haramu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…