Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu kuendelea na maswali ya dodoso Mahakamani leo Agosti 28, 2026

Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu kuendelea na maswali ya dodoso Mahakamani leo Agosti 28, 2026

Lissu: Kama hicho kifungu katika version mbili kina tofautiana, maana yake kilifanyiwa amendment.

Je, kama kimebadilishwa hicho kifungu, kimebadilishwa kwa utaratibu gani?

Jibu langu lilikuwa kwa version ya 2023.

Jibu langu la ufafanuzi ni kwamba version ya 2023 ndiyo latest.

Kwamba nimeshitakiwa mwaka 2025, maana yake hiyo version ya 2023 ilishatoka.

Nassoro Katuga: Wakati anashitakiwa Aprili 2025, version ya 2023 ilikuwa haijatoka.

Lissu: Tuendelee.
Ndioooooo......, hapa sasa naomba niseme kwa ujasiri mkubwa kwamba LISSU ni msomi wa sheria haswa tena si tu sheria kwa level ndogo bali ni SJD .

Binafsi nilichokiona hapa ni kitu kinaitwa "Nullum crimen sine lege, lex praevia" hili ni swali kwenye falsafa ya sheria na ulinzi wa haki za kibinadamu linalosema mtu hatoshtakiwa kwa jambo ambalo kitendo kilifanya wakati hakuna sheria husika.

Yaani jambo fulani lilifanyika kipindi hakuna sheria iliyosema jambo hilo ni kosa na kwamba kuunda sheria baadae (leo) na kumshtaki mtu kwa jambo lilotendwa wakati uliopita (jana ) ni uvunjifu wa haki za kibinadamu.


Hili kwa upande mwengine ni principle of legality
Inayotumika duniani kote katika law schools, sheria za kimataifa na hata mikataba ya kimataifa kuhusu haki za kibinadamu ambazo tanzania imewahi kulidhia mikataba hiyo mbali mbali.

Jambo kama hili limetamkwa moja kwa moja kwenye rasimu ya katiba inayopatikana katika tovuti ya www.katibampya.com
 
TUNDU LISSU ANAENDELEA KUJITETEA MAHAKAMANI


Waheshimiwa Majaji, Kielelezo D1, maelezo ya PW2. Niliambiwa Kifungu cha 34(2)(c), majibu yangu nikatolea Kifungu cha 4 cha Sheria ya Mwenendo wa Jinai.

Ufafanuzi wangu: Waheshimiwa Majaji, kwenye Kielelezo D1, sehemu ya mwisho kabisa kuna sehemu inasema hivi: “Saini ya mtoa maelezo.”

Na sehemu nyingine inasema: “Saini ya afisa aliyeandika maelezo.”

Kwa hiyo, Waheshimiwa Majaji, PW2 hakupaswa kuandikiwa maelezo yake na askari mwingine kwa mujibu wa kielelezo hiki.

Waheshimiwa Majaji, Kielelezo D2 ni karatasi ya maelezo ya PW3, Inspector Samuel Elibariki Kaaya.

Niliambiwa nisome tamko, limesomwa kwa mujibu wa kifungu gani? Nikasema 34(b)(2)(c).

Nassoro Katuga: Waheshimiwa, turejee kwenye rekodi. Mimi nilimuuliza Kifungu cha 34(b)(2), nikamwambia asome kama kinasema atoe maelezo mbele ya afisa polisi mwingine. Akasema hakuna.

Nikamrudisha Kifungu cha 11 kwamba huyo mpelelezi anaandikwa maelezo yake na nani?

Na huyo aliyemwandikia maelezo pia ataandikwa na nani?

Lissu: Waheshimiwa, kabla ya hiyo mimi nilisisitiza lazima aandikwe maelezo na mwenzake.

Nassoro: Ndiyo.

Lissu: Ngoja nizungumze, Bwana. (Kwa ukali)

Jaji Ndunguru: Mshtakiwa, unasemaje?

WEKA EMOJI KAMA UNASOMA

SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI
 
TUNDU LISSU ANAENDELEA KUJITETEA MAHAKAMANI

Lissu: Majibu ambayo nimeyatoa nilikuwa fairly consistent kwamba maelezo ya Polisi Mashahidi yanatakiwa yatolewe mbele ya Polisi mwingine.

Sasa kwa sababu ni muhimu, nipo tayari nieleze upya, wapewe nafasi ya cross-examination.

Sasa nina haki ya kutumia vielelezo ambavyo wao walivituma.

Hata vielelezo walivyo navyo vinaonyesha hivyo, kwamba kuna askari mwingine wa kusimamia.

Jaji Ndunguru: Ndicho hicho unachotuambia, endelea tu.

Lissu: D1, maelezo ya PW2, kwa fomu yenyewe inaonyesha kuna space ya signature ya afisa anayetoa maelezo na anayeandika.

Kwenye D2 kuna sehemu ya saini ya mtoa maelezo na saini ya afisa aliyeandika maelezo.

Hizo sehemu mbili zimesainiwa na mtu mmoja.

Mtoa maelezo na saini, na mtu aliyeandika maelezo ni mtu mmoja, Inspector Kaaya.

Akasaini sehemu ya mtoa maelezo na afisa aliyeandika maelezo.

Waheshimiwa Majaji, Kielelezo D5, maelezo ya PW6. Kwenye mwisho wa maelezo kuna sahihi ya mtoa maelezo na sahihi ya afisa wa Polisi.

Imesainiwa across signature moja sehemu zote mbili.

Kielelezo D8, maelezo ya PW9. Mwishoni katika hiki Kielelezo kuna sehemu, Waheshimiwa Majaji, na hii ni muhimu sana, Waheshimiwa.

Kuna saini ya mtoa maelezo na kuna saini ya afisa wa Polisi, zote zimesainiwa na mtu mmoja na mbele ya signature kuna cheo chake, ASP.

Halafu, Waheshimiwa Majaji, kuna uthibitisho wa aliyeandikiwa maelezo, PW9 Lutufye.

Chini kuna mwingine, ASP Lutufye, kwamba: “Nathibitisha ni maelezo yangu kwa uaminifu na kwa usahihi.”

Amejithibitisha kama mtoa maelezo na mwandika maelezo.

Kielelezo D1, Waheshimiwa Majaji, saini ya mtoa maelezo na saini ya afisa aliyeandika maelezo katika kila ukurasa.

Mwishoni, Waheshimiwa Majaji, kuna uthibitisho wa afisa aliyeandika maelezo, Detective ..., “Nathibitisha kwa uaminifu nimeandika maelezo ya Detective Coplo Vincent.”

Mtu huyo huyo.

Kielelezo D15, katika kila page kuna sehemu ya saini ya mtoa maelezo na imesainiwa na mtu huyo huyo na PW16.

Kielelezo D14 ni cha PW15, Detective Coplo Amani Michael. Katika kila page saini ya mtoa maelezo imejazwa, saini ya mwandika maelezo imejazwa.

Ndiyo mtu pekee ambaye maelezo yake yameandikwa kwa usahihi.

Afisa aliyeandika maelezo ni Detective Coplo Robert, anasema: “Kwa usahihi nathibitisha nimeandika maelezo ya Detective Amani Michael.”

WEKA EMOJI KAMA UNASOMA

SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI
 
Ndioooooo......, hapa sasa naomba niseme kwa ujasiri mkubwa kwamba LISSU ni msomi wa sheria haswa tena si tu sheria kwa level ndogo bali ni SJD .

Binafsi nilichokiona hapa ni kitu kinaitwa "Nullum crimen sine lege, lex praevia" hili ni swali kwenye falsafa ya sheria na ulinzi wa haki za kibinadamu linalosema mtu hatoshtakiwa kwa jambo ambalo kitendo kilifanya wakati hakuna sheria husika.

Yaani jambo fulani lilifanyika kipindi hakuna sheria iliyosema jambo hilo ni kosa na kwamba kuunda sheria baadae (leo) na kumshtaki mtu kwa jambo lilotendwa wakati uliopita (jana ) ni uvunjifu wa haki za kibinadamu.


Hili kwa upande mwengine ni principle of legality
Inayotumika duniani kote katika law schools, sheria za kimataifa na hata mikataba ya kimataifa kuhusu haki za kibinadamu ambazo tanzania imewahi kulidhia mikataba hiyo mbali mbali.

Jambo kama hili limetamkwa moja kwa moja kwenye rasimu ya katiba inayopatikana katika tovuti ya www.katibampya.com

Lissu ni mwana sheria na wakili mbobevu.
 
TUNDU LISSU ANAENDELEA KUJITETEA MAHAKAMANI


Waheshimiwa Majaji, Kielelezo D1, maelezo ya PW2. Niliambiwa Kifungu cha 34(2)(c), majibu yangu nikatolea Kifungu cha 4 cha Sheria ya Mwenendo wa Jinai.

Ufafanuzi wangu: Waheshimiwa Majaji, kwenye Kielelezo D1, sehemu ya mwisho kabisa kuna sehemu inasema hivi: “Saini ya mtoa maelezo.”

Na sehemu nyingine inasema: “Saini ya afisa aliyeandika maelezo.”

Kwa hiyo, Waheshimiwa Majaji, PW2 hakupaswa kuandikiwa maelezo yake na askari mwingine kwa mujibu wa kielelezo hiki.

Waheshimiwa Majaji, Kielelezo D2 ni karatasi ya maelezo ya PW3, Inspector Samuel Elibariki Kaaya.

Niliambiwa nisome tamko, limesomwa kwa mujibu wa kifungu gani? Nikasema 34(b)(2)(c).

Nassoro Katuga: Waheshimiwa, turejee kwenye rekodi. Mimi nilimuuliza Kifungu cha 34(b)(2), nikamwambia asome kama kinasema atoe maelezo mbele ya afisa polisi mwingine. Akasema hakuna.

Nikamrudisha Kifungu cha 11 kwamba huyo mpelelezi anaandikwa maelezo yake na nani?

Na huyo aliyemwandikia maelezo pia ataandikwa na nani?

Lissu: Waheshimiwa, kabla ya hiyo mimi nilisisitiza lazima aandikwe maelezo na mwenzake.

Nassoro: Ndiyo.

Lissu: Ngoja nizungumze, Bwana. (Kwa ukali)

Jaji Ndunguru: Mshtakiwa, unasemaje?

WEKA EMOJI KAMA UNASOMA

SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI
mbona huyo wakili wa serikali anaweweseka kama mama mwenye uchungu, kwan kutulia hawezi ili mwenzie atoe ufafanuzi wake, maana kila kitu anapinga sa anatakaje
 
ivi ina maana hawakujua athari au kugundua hayo makosa ya kiufundi kama swala lilikuwa la halali kweli?kwa kufuata hatua zote kama ipaswavyo kila sehemu ya kujaza wino na mawakili wa serikali hawakuweza hata ku review na kugundya haya makosa awali. hakika penye ukweli uongo hujitenga na hakuna kitu kigumu duniani kama kuutetea uongo dah😅 ukweli napata maswali mengi pasi na majibu


nilichojifunza ni hatari sana kisheria kujipa mamla sehemu usiyo kuwa na mamlaka nayo.
 
TUNDU LISSU ANAENDELEA KUJITETEA MAHAKAMANI

Naomba niendelee, Waheshimiwa Majaji. Niliulizwa kuhusu mashahidi wa kificho kwamba kutokana na ushahidi wangu walikuwa ni wahalifu, kwamba walipanga uhalifu na wakakamatwa na Polisi, baadaye wakaachiwa wawe mashahidi dhidi yangu.

Kwamba kwanini nawaita wahalifu kama hawajaja Mahakamani.

Naomba kufafanua kuwa watu waliopanga kufanya uhalifu, wakakamatwa na kukiri mbele ya Polisi kufanya uhalifu, na wakaja Mahakamani kusema walipanga uhalifu, ni ushahidi wangu kwamba hawa ni wahalifu.

Ajuaye: Waheshimiwa Majaji, ni kweli ushahidi wake, lakini mimi nilimuuliza kwamba kati ya wewe na Mahakama nani anaweza kuthibitisha uhalifu?

Mimi napinga maelezo yake.

Lissu: Waheshimiwa Majaji, mimi nimetoa ufafanuzi.

Jaji Ndunguru: Tuendelee.

Lissu: Waheshimiwa Majaji, palikuwa na ushahidi kuhusiana na omission na contradiction.

Kwenye jibu langu moja wapo nilisema hizi omissions ndiyo contradiction yenyewe.

Naomba Mahakama iangalie rekodi.

Lissu: Waheshimiwa Majaji, nimemaliza.

Jaji Ndunguru: Umemaliza. Kimsingi, re-examination huwezi kuuliza kila kitu.

Wakati naku-discharge kama shahidi, naomba urudi upande ule.

WEKA EMOJI KAMA UNASOMA

SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI
 
TUNDU LISSU AMEMALIZA SASA WANAFUATA WAKINA JOHN HECHE

Lissu: Asante Waheshimiwa Majaji. Naomba dakika 10 niweze kumuandaa shahidi.

Jaji Ndunguru: Ndiyo maana nimesema urudi upande ule, kwa sababu sasa ni saa 6 na nusu.

Lissu: Basi, kama ni saa 6 na nusu, tuweze kubreak, turudi saa 8 kamili.

Jaji Ndunguru: Sawa, rudi kwanza upande ule.

Lissu amerudi kizimbani kwake sasa.

Jaji Ndunguru: Upande wa mashtaka.

Ajuaye: Hatuna pingamizi na kuahirisha, Waheshimiwa Majaji.

Jaji Ndunguru: Basi tunaahirisha shauri kwa saa moja na nusu hadi saa 8 mchana, lakini wakati huo mshtakiwa anaandaa mashahidi wake.

MAJAJI WANATOKA.

WEJA EMOJI KAMA TUPO PAMOJA

SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI
 
Hivi huyu Ajuaye ni wakili was level ipi? Yaan ana diploma ai degree ya sheria? Na alisoma chuo gani? Mbona ni mweupe kichwani? Alifaulu vipi Law school?pumbavu zake, Leo lazima maji waite Mma.
Lissu pelekaaaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
 
Back
Top Bottom