Wampe chatGPT tu maana hakuna AjuayeHivi huyu Ajuaye ni wakili was level ipi? Yaan ana diploma ai degree ya sheria? Na alisoma chuo gani? Mbona ni mweupe kichwani? Alifaulu vipi Law school?pumbavu zake, Leo lazima maji waite Mma.
Lissu pelekaaaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kama unakumbuka mwanzo alishasema anayealika waandishi wa habari si yeyeLissu: Nafafanua jibu langu kwamba mimi sikuwa na control na waandishi wa habari.
Angewaongezea "Mimi mwenyewe nilikuwa mgeni muhalikwa kama hao waandishi wa habari walivyohalikwa mkutanoni"
Kesi imeshawachosa
Kwa mujibu wa taratibu kesi za uhaini zinatakiwa ziwe zimemalizika ndani ya miezi 6, yaani upelelezi uwe tayari ndo upeleke kesi kwa vile ni kesi ya Samia ngoja twende nayo kwa maombi ya Mungu.
Uhaini unapangwa na mtu mmoja sio , yeye we upange baada ya miezi 7 uje ufanye, vurugu za kuzuia ghasia ni tofauti na uhaini...Ukizuia uchaguzi kwa ghasia unapewa kesi ya uchohezi sio uhaini wala ugaidi. Tuwe tunasoma sheria kidogo wazee.Mkielekezwa muewaelewa!
Kesi ya mh Lissu isingewezekana kumalizika ndani ya miezi iyo 6
Sababu zipo
Kesi zile zengine za Uhaini zinawezekana kumalizika ndani ya miezi 6 kwakuwa watenda Uhaini wanakuwa washatenda matukio yao ya msingi 👈
Tofauti na mh Lissu yeye kakamatwa Mwezi wa 4 akiwa na lengo kufanya tukio la Uhaini mwezi wa 10 mwishoni manake mwezi wa 11 tayali miezi mingapi ni 7
Ndiomana Jamhuri ikamuekea Mashahidi wengi 30 lengo kuakikisha Kesi ya mh Lissu inafika mwezi 11
Kutokea apo watajua
Ukweli wa kile mh Lissu kamaanisha
Kivitendo
Mh Lissu alalamika kijinga
Wewe unataka kufanya Uhaini miezi 7 mbele uko❗️
lkn umetutangazia mapema sasa alitaka Jamhuri isimkamate ‼️
Siku iyoiyo unatangaza jambo lako au Jamhuri kusikia jambo lako kupitia uduma za upelelezi 👈
Utakamatwa na watakupitisha kupoteza muda kisheria mpaka muda wako ufike wajue nia lengo lako nini✍️
Acha kutupanga, hakuna mhaini mtu mmoja,kwani ni malaika!?Mkielekezwa muewaelewa!

Mambo ya zima moto hayo. Muda wa kujiandaa kutengeneza uongo ulikosekana bula shaka.ivi ina maana hawakujua athari au kugundua hayo makosa ya kiufundi kama swala lilikuwa la halali kweli?kwa kufuata hatua zote kama ipaswavyo kila sehemu ya kujaza wino na mawakili wa serikali hawakuweza hata ku review na kugundya haya makosa awali. hakika penye ukweli uongo hujitenga na hakuna kitu kigumu duniani kama kuutetea uongo dah😅 ukweli napata maswali mengi pasi na majibu
nilichojifunza ni hatari sana kisheria kujipa mamla sehemu usiyo kuwa na mamlaka nayo.
kama lengo ilikua kuthibitisha kwa vitendo Kauli za TAL alizotoa kwenye mkutano uleNdiomana Jamhuri ikamuekea Mashahidi wengi 30 lengo kuakikisha Kesi ya mh Lissu inafika mwezi 11
Kutokea apo watajua
Ukweli wa kile mh Lissu kamaanisha
Kivitendo
1-kwenye kukamatwa, - Atleast wawe wanafata utaratibuSiku iyoiyo unatangaza jambo lako au Jamhuri kusikia jambo lako kupitia uduma za upelelezi 👈
Utakamatwa na watakupitisha kupoteza muda kisheria mpaka muda wako ufike wajue nia lengo lako nini✍️
I think nimemuelewa vizuri LISSU hapaanajaribu kuwaambia majaji kwamba mashaidi walitishwa kuwa mashaidi yqani awakupelekwa mahakamni kwa makosa waliyofanya kisha baada ya mapolisi kuona wasiwapeleke wakawapa bitisho na ahadi kwamba.Naomba niendelee, Waheshimiwa Majaji. Niliulizwa kuhusu mashahidi wa kificho kwamba kutokana na ushahidi wangu walikuwa ni wahalifu, kwamba walipanga uhalifu na wakakamatwa na Polisi, baadaye wakaachiwa wawe mashahidi dhidi yangu.
Kwamba kwanini nawaita wahalifu kama hawajaja Mahakamani.
Naomba kufafanua kuwa watu waliopanga kufanya uhalifu, wakakamatwa na kukiri mbele ya Polisi kufanya uhalifu, na wakaja Mahakamani kusema walipanga uhalifu, ni ushahidi wangu kwamba hawa ni wahalifu.
Ajuaye: Waheshimiwa Majaji, ni kweli ushahidi wake, lakini mimi nilimuuliza kwamba kati ya wewe na Mahakama nani anaweza kuthibitisha uhalifu?
Mimi napinga maelezo yake.
Lissu: Waheshimiwa Majaji, mimi nimetoa ufafanuzi.
Duh noma sana.TUNDU LISSU ANAENDELEA KUJITETEA MAHAKAMANI
Lissu: Majibu ambayo nimeyatoa nilikuwa fairly consistent kwamba maelezo ya Polisi Mashahidi yanatakiwa yatolewe mbele ya Polisi mwingine.
Sasa kwa sababu ni muhimu, nipo tayari nieleze upya, wapewe nafasi ya cross-examination.
Sasa nina haki ya kutumia vielelezo ambavyo wao walivituma.
Hata vielelezo walivyo navyo vinaonyesha hivyo, kwamba kuna askari mwingine wa kusimamia.
Jaji Ndunguru: Ndicho hicho unachotuambia, endelea tu.
Lissu: D1, maelezo ya PW2, kwa fomu yenyewe inaonyesha kuna space ya signature ya afisa anayetoa maelezo na anayeandika.
Kwenye D2 kuna sehemu ya saini ya mtoa maelezo na saini ya afisa aliyeandika maelezo.
Hizo sehemu mbili zimesainiwa na mtu mmoja.
Mtoa maelezo na saini, na mtu aliyeandika maelezo ni mtu mmoja, Inspector Kaaya.
Akasaini sehemu ya mtoa maelezo na afisa aliyeandika maelezo.
Waheshimiwa Majaji, Kielelezo D5, maelezo ya PW6. Kwenye mwisho wa maelezo kuna sahihi ya mtoa maelezo na sahihi ya afisa wa Polisi.
Imesainiwa across signature moja sehemu zote mbili.
Kielelezo D8, maelezo ya PW9. Mwishoni katika hiki Kielelezo kuna sehemu, Waheshimiwa Majaji, na hii ni muhimu sana, Waheshimiwa.
Kuna saini ya mtoa maelezo na kuna saini ya afisa wa Polisi, zote zimesainiwa na mtu mmoja na mbele ya signature kuna cheo chake, ASP.
Halafu, Waheshimiwa Majaji, kuna uthibitisho wa aliyeandikiwa maelezo, PW9 Lutufye.
Chini kuna mwingine, ASP Lutufye, kwamba: “Nathibitisha ni maelezo yangu kwa uaminifu na kwa usahihi.”
Amejithibitisha kama mtoa maelezo na mwandika maelezo.
Kielelezo D1, Waheshimiwa Majaji, saini ya mtoa maelezo na saini ya afisa aliyeandika maelezo katika kila ukurasa.
Mwishoni, Waheshimiwa Majaji, kuna uthibitisho wa afisa aliyeandika maelezo, Detective ..., “Nathibitisha kwa uaminifu nimeandika maelezo ya Detective Coplo Vincent.”
Mtu huyo huyo.
Kielelezo D15, katika kila page kuna sehemu ya saini ya mtoa maelezo na imesainiwa na mtu huyo huyo na PW16.
Kielelezo D14 ni cha PW15, Detective Coplo Amani Michael. Katika kila page saini ya mtoa maelezo imejazwa, saini ya mwandika maelezo imejazwa.
Ndiyo mtu pekee ambaye maelezo yake yameandikwa kwa usahihi.
Afisa aliyeandika maelezo ni Detective Coplo Robert, anasema: “Kwa usahihi nathibitisha nimeandika maelezo ya Detective Amani Michael.”
WEKA EMOJI KAMA UNASOMA
SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI
Kiukweli hata sisi ngumbaru tunashangaa kuwa mbona wao wamefanya mambo kingumbaru ngumbaru 🤣ivi ina maana hawakujua athari au kugundua hayo makosa ya kiufundi kama swala lilikuwa la halali kweli?kwa kufuata hatua zote kama ipaswavyo kila sehemu ya kujaza wino na mawakili wa serikali hawakuweza hata ku review na kugundya haya makosa awali. hakika penye ukweli uongo hujitenga na hakuna kitu kigumu duniani kama kuutetea uongo dah😅 ukweli napata maswali mengi pasi na majibu
nilichojifunza ni hatari sana kisheria kujipa mamla sehemu usiyo kuwa na mamlaka nayo.
Wewe mwenyewe mbona hueleweki unazungumzia nini hapa?Mkielekezwa muewaelewa!
Kesi ya mh Lissu isingewezekana kumalizika ndani ya miezi iyo 6
Sababu zipo
Kesi zile zengine za Uhaini zinawezekana kumalizika ndani ya miezi 6 kwakuwa watenda Uhaini wanakuwa washatenda matukio yao ya msingi 👈
Tofauti na mh Lissu yeye kakamatwa Mwezi wa 4 akiwa na lengo kufanya tukio la Uhaini mwezi wa 10 mwishoni manake mwezi wa 11 tayali miezi mingapi ni 7
Ndiomana Jamhuri ikamuekea Mashahidi wengi 30 lengo kuakikisha Kesi ya mh Lissu inafika mwezi 11
Kutokea apo watajua
Ukweli wa kile mh Lissu kamaanisha
Kivitendo
Mh Lissu alalamika kijinga
Wewe unataka kufanya Uhaini miezi 7 mbele uko❗️
lkn umetutangazia mapema sasa alitaka Jamhuri isimkamate ‼️
Siku iyoiyo unatangaza jambo lako au Jamhuri kusikia jambo lako kupitia uduma za upelelezi 👈
Utakamatwa na watakupitisha kupoteza muda kisheria mpaka muda wako ufike wajue nia lengo lako nini✍️
Basi tuu ila itabaki kwenye mioyo yao daima life is a karmaHivi ni faida gani wanayoipata hawa watu kumtaabisha hivi huyu Baba?
Hiyo ofisi ya DPP sijui inafanyaje kazi.I think nimemuelewa vizuri LISSU hapaanajaribu kuwaambia majaji kwamba mashaidi walitishwa kuwa mashaidi yqani awakupelekwa mahakamni kwa makosa waliyofanya kisha baada ya mapolisi kuona wasiwapeleke wakawapa bitisho na ahadi kwamba.
"Hatuto wapeleka mahakamani kama mtakubari kuwa mashaidi upande wa mashtaka dhidi ya LISSU", hivyo wakakubari kufanya hivyo si kwa hiali yao bali kwa kulazimishwa na mapolisi na kupewa ahadi ya kufutiwa kesi, and at the same time mahakama ndio ilipaswa ithibitishe kama ni wakosefu, yaani walichukuwa maneno ya lissu na kutenda uhalifu.
Swali ni je mahakama haioni hapa kwamba hawa mashaidi ni wakutunga? na
je awakufikishwa mahakamni kwa makosa yao nini kiliwaondolea mashata?,
je ni DPP alifanya hivyo?
je kwanini wawekwe kwa majina ya kificho kama walifikishwa mahakamani?,
maana sheria inasema shauri yote ya mahakama yaliyowai kutolewa hukumu yatakuwa wazi mbele ya umma na taasisi za elimu ya kisheria hili yatumike kama rejea ya kielimu, swali langu ni je kuna shauri kama hilo limewai kupatikana katika portal ya mahakama?
hili twende tukalisome tuone rejea ya shauri hilo, na je hapa majina ya kigicho yatakuwa ni bure kabisa.
Anayewalipa atakuwa anacheka sana, ila atafanyaje lazima athibitishe malipo yenu ili na yeye alipwe.Mkielekezwa muewaelewa!