Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu kuhitimisha ushahidi Mkuu leo, Agosti 26, 2026 Mahakamani

yaani hizi porojo, mihemko na kasariko ndio akili gentleman?


hii ni maajabu sana aise
 
Aya kasifie huko vitu vya kijinga jinga hapa koma kuchangia chochote
kwamba nawe unachangia?
au unajiexpose jukwaani tu ulivyo na mihemko useless with pointless comments πŸ’
 
Mkuu Manyanza najua uko busy.
Kwa niaba ya wengi, ukipata nafasi muweke Huyu tlaatlaah kwenye ignore List.

Najua humsomi wala huwez kuangaika nae , mm pia. Ila ni kama anashindana na ww.
Kila ukitoa update moja, yeye anatoa 4 mbele yako.

Nia yake Ni kuharibu mtiririko/mpangilio mzuri wa Updates.
Na pia najua unajua kuwa analipwa.
Kwahiyo Ombi letu , ni ww kufanya asione Post zako wala kuweza Kureply.

Lingine, ni kukushukuru, kazi unayoifanya ni ngumu na nzito, ila Unaifanya kwa Ubora na uzuri.
 
Hii si sawa mtaignore wangapi maana hatuwezi kufanana kwa hoja as long as hajatukana ana haki ya kutoa maoni yake kwenye jukwaa
 
kwamba nawe unachangia?
au unajiexpose jukwaani tu ulivyo na mihemko useless with pointless comments πŸ’
Sasa ndugu mwanaCCM mwenzangu huoni kwenye Uzi wote huu unaeonekana mjinga ni wewe? Sawa tumefunzwa tusione aibu kukitetea chama popote ila tumefundishwa kukaa kimya ili tusionekane wajinga wa chama,,,au mwenzangu wewe ni mamluki haupo hata kwenye daftari la jumuiya????
 
Huyo pimbi nilishamu ignore kitambo kumbe anapost kuharibu mtiririko?
kweli uchawa ni laana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…