Ukitumia wewe inatosha.Tumia akili hata kidogo mkuu.
AI siyo thinking, feed your info then ukilishe hata tangopori. Akili za AI changanya na za kwako, basi iagizw AI ikasikilize hizo kesi kama ndo dunia ilipo. A brainwashed man who is leading his family under the control of AI.Wewe ni Gen-Z halafu upo outdated, Dunia sasa ipo kwenye AI wewe bado unakomaa na analog thinking
Punguza upumbavu mdogo wangu!Kunyongwa ni sehemu ya sheria. Wewe ukiwa na dini inatosha
Unaweza Kuta,na Wewe unamwambia mwanao awe na Akili kama ulivyo na hizi AkiliWATOTO wetu Wameuwawa
Wakati Watoto wamewaficha kabla ya zile Fujo Mo29
Lissu kaacha Mke Mahakamani na Watoto
Na Heche kaakisha kwanza Familia yake ipo salama
Ndio wakaja kukinukisha kuzuiya Uchaguzi nk
Na kupanga mipango ya
kuchoma Miundombinu yetu na watu Binafsi
Hakuna sababu ya kumuonea Uruma Lissu ❌️
Jiulize yeye kabla ya kukinukisha kawafikiria Watoto wetu
kwanza jibu ni Hakuna
Basi kama tumezika Watoto wetu kwanini upatwe Uruma kwake iyo Uruma yako ni Upumbavu 😡😡😡😡
Wewe endelea na Kusoma Sociology. AI ni technology siyo kulisha, ulishawahi kuilisha? AI = Artificial Intelligence (Akili Unde) 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣AI siyo thinking, feed your info then ukilishe hata tangopori. Akili za AI changanya na za kwako, basi iagizw AI ikasikilize hizo kesi kama ndo dunia ilipo. A brainwashed man who is leading his family under the control of AI.
Kwahiyo unakataa Kunyongwa siyo sehemu ya sheria zetu?Punguza upumbavu mdogo wangu!
Haswa. HHongera zako.Leo nimekaa siti ya mbele. Hakuna namna. Comrade Manyanza usisahau kutuletea updates.
Ni mpumbavu tu atakayeamini teknolojia haitumii info zilizowahi kuwepo au zinazoendelea kuappear. Unaamini taarifa zote inagenerate yenyewe? It uses even existance kama wewe ulivyoigude maswali yako. Hata sasa ukienda kuiuliza.Wewe endelea na Kusoma Sociology. AI ni technology siyo kulisha, ulishawahi kuilisha? AI = Artificial Intelligence (Akili Unde) 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Wewe kajamba nani ndio unataka kujadiliana na mimi!!!
Wazazi wako waliuza ng'ombe kupeleka ng'ombe shuleni😄😄😄😄Ni mpumbavu tu atakayeamini teknolojia haitumii info zilizowahi kuwepo au zinazoendelea kuappear. Unaamini taarifa zote inagenerate yenyewe? It uses even existance kama wewe ulivyoigude maswali yako. Hata sasa ukienda kuiuliza.
Mpumbavu ni nani ktk matumizi ya CHATGPT?
A. Anayetumia bila kufikiri
B. Anayeitumia na kufikiri
C. Asiyeitumia kabisa
Itakupa jibu kulingama na upumbavu uliouliza
Yaani hii serikali ni katili sana kupitiliza. Heche ahsante sana kutufungua macho. Tunaomba wataalamu waiweke kwa lugha ya malkia na isambazwe sana sana ili ulimwengu ujueHeche katoa Nondo nyingi ameeleweka Sana kesi inafatiliwa karibuni sehemu nyingi za dunia Siri nyingi watu wamezijua kiufupi mambo mengi heche kayasema mifumo yetu Ina shida kwakweli
Wiki ijayo huenda kesi ikaisha hii
Kufiwa na mwenza kunauma
Samia hili suala liangalie vizuri
Unaweza ukaondoka wewe Lissu akabaki ila ukitaka kumukomoa mkomoe tu sisi yetu macho.
Yaani hii serikali ni katili sana kupitiliza. Heche ahsante sana kutufungua macho. Tunaomba wataalamu waiweke kwa lugha ya malkia na isambazwe sana sana ili ulimwengu ujue