Kila mwanajf anayebishana na hao namuona na yeye ni tahira tu. Ignore ipo na inafanya kazi yake vyema kabisa.Hizi mbuzi hata mimi nilishaziweka kitambo sana kwenye ignore list. Kujibizana nazo ni kuziongezea tu ujiko.
Kila mwanajf anayebishana na hao namuona na yeye ni tahira tu. Ignore ipo na inafanya kazi yake vyema kabisa.Hizi mbuzi hata mimi nilishaziweka kitambo sana kwenye ignore list. Kujibizana nazo ni kuziongezea tu ujiko.
Hizi mbuzi hata mimi nilishaziweka kitambo sana kwenye ignore list. Kujibizana nazo ni kuziongezea tu ujiko.
Weka ushahidi. Alisema wapi?🫵🌈 unadhani watu wanasahau? Ama unadhani muuaji Samia alizungumza hayo maneno zamani sana kiasi kwamba hayakumbukwi?
Kuna watu walioridhika alichosema Chande, huo ndio ukweli usio na dosari yoyote!Leo mshtakiwa na shahidi wake wanagonga nyundo sana, wanatema madini wote,
Mhe. Lissu: Waeleze Majaji uwepo wa orodha ya magari ya watu binafsi au Serikali?
Labda kama mtoa hukumu ni wewe usiyekuwa na akili ya kujua njia sahihi kesi inapoelekea.Heche anapiga porojo tu. Hajagusia hata sehemu ya Kesi
TATHIMINI YA KWELI YA KISAYANSI
🔴 Kunyongwa mpaka Kufa: 94%
🟢 Kuachiwa Huru: 6%
Taarifa za kiintelejensia alizotupa Rais ni kuwa watu siku ya uchaguzi wataandamana kwenda kupiga kura! Kwahiyo mambo ni shwari!
Sasa hii issue imekuwaje tena Lissu kuhusishwa na kilichotokea wakati alikuwa gerezani?
Mnasema Mahakama ni ya CCM, right?Labda kama mtoa hukumu ni wewe usiyekuwa na akili ya kujua njia sahihi kesi inapoelekea.
Kwani mtu akikwambia tunataka Katiba itakayompunguziarais madaraka au Katiba itakayomuondolea rais kinga, au katiba itakayotanua wigo wa uwajibikaji ni lazima akutajie kifungu? Mbona mnakuwa na mambo na maswali ya Kishenzishenzi ninyi watu?Mfano mkuu hebu weka kipengele kipi cha katiba kirekebishwe tolea mfano wa kifungu namba ipi kirekebishwe..
Nimekuuliza hivo kwa sababu kuna wengine hata katiba yote hatuijui sasa nyie mlio soma ukiweka kifungu unakuwa unatoa elimu kubwa kwetu sisi tusioijua Katiba.
Umeulizwa kutaja kifungu. Taja kifungu ili nasi tupate elimu.Kwani mtu skikwambia tunataka Katiba itakayompunguzoa rais madaraka au Katiba itakayomuondolea rais kunga, au katiba itakayotanua wigo wa uwajibikaji ni lazima akutajie kifungu? Mbona mnakuwa na mambo na maswali ya Kishenzishenzi ninyi watu?
Du! Hii babu kubwa, yaani East African community haikuona mauaji yaliyotokea badala yake waliona uchaguzi huru na wa hali. Wonders shall never end in east AfricaTUNDU LISSU ANAMHOJI SHAIDI WAKE JOHN HECHE MAHAKAMANI
SEHEMU YA 16.
Lissu: Jaji Mkuu Othuman Chande alisema nini juu ya utekaji nyara na upotezaji wa watu, kwa kumbukumbu zako?
Heche: Alisema watu wanatekwa, Waheshimiwa Majaji, kwa sababu za kimapenzi, ushirikina na sababu za kibiashara.
Lissu: Umetaja watu wa CHADEMA na CCM, akiwemo Humphrey Polepole na Kanguye wa CCM. Hili Jaji Mkuu Othuman Chande alisemaje juu ya hawa?
Heche: Hakusema lolote.
Lissu: Waeleze Waheshimiwa Majaji, kwa ufahamu wako, uwezekano wa mtu kujiteka mwenyewe.
Nassoro Katuga: Sina sababu ya kuweka objection. Shahidi hatakiwi kutoa opinion na kupewa leading questions. Hili swali la mwisho kashajengewa uwezo, ndiyo anaulizwa.
Ni hayo, Waheshimiwa Majaji.
Lissu: Waheshimiwa Majaji, swali langu liko very simple: Aeleze uwezekano wa mtu kujiteka.
Nassoro Katuga: Huyu siyo expert. Anachokitoa hapo ni opinion.
Lissu: Hilo naachana nalo, lisitupotezee muda.
Lissu: Shahidi, tueleze aina za utekaji alizoeleza Jaji Chande.
Heche: Hakueleza aina za utekaji. Utekaji ni mmoja tu.
Lissu: Kwenye ushahidi wako ulisema kwamba ulipotoka katika mahabusu ya polisi ulisoma taarifa nyingi za mauaji.
Nassoro Katuga: Waheshimiwa Majaji, hii siyo sahihi. Shahidi alisema alisikia, hakusema kwamba alisoma. Anamuuliza swali ili tukipinga, ndiyo shahidi aseme.
Lissu: Naomba nisomewe rekodi za Mahakama.
Jaji Ndunguru: (Anasoma rekodi) “Nilipata taarifa nyingi.”
Lissu: Asante, Wakili, kwa kunikumbusha. Kumbe nilipata, siyo nilisoma.
Haya shahidi, tutajie hizo taarifa ulizopata.
Heche: Nilipata taarifa kutoka kwenye vyombo vya habari, kwa kusoma na kusikiliza. Nilipata ripoti kutoka kwa waangalizi wa kimataifa.
Lissu: Waangalizi wa nini?
Heche: Waangalizi wa uchaguzi.
Nilipata taarifa mbalimbali za jumuiya.
Nilipata taarifa za jumuiya za kikanda kama Afrika Mashariki.
Na taarifa za mashirika ya kidini.
Heche: Waheshimiwa Majaji, naweza kwenda short call?
Jaji Ndunguru: Sawa, tunakuruhusu.
WEKA EMOJI KAMA UNASOMA
SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI.
Anajua kifo kimewadiaMtu mwenyewe ana furaha tu kuliko hata mfiwa pamoja na kushikilia hazing yote paina na kila rasilimali ya nchi😁😁
Mahakama si ya ccm ni chombo cha umma, watu ndo wa ccm. Kuna wakati haki hushinda hila, kama huamini uliza kwa nini bi mkubwa analia wahisani wamepungua pesa hazitoshelezi.Mnasema Mahakama ni ya CCM, right?
Ukisikia Mahakama kwako unajua ni nini?Mahakama si ya ccm ni chombo cha umma, watu ndo wa ccm. Kuna wakati haki hushinda hila, kama huamini uliza kwa nini bi mkubwa analia wahisani wamepungua pesa hazitoshelezi.