Nexltshahda
JF-Expert Member
- Jun 1, 2026
- 405
- 820
Kuna mtu anaenda kunyongwa
Mdogo wangu unafikiria sana halafu nje ya context. Nimesema ni siku ya tatu Lissu anamhoji Heche, that all wewe umekuja kuharisha maneno yasiyo na mpangilioSasa hiyo ndiyo akili ya sheria achana na ile ya multiple choice mliyofundishwa watu wa serikali.
Anachofanya ni kuonesha muunganiko wa mashahidi wake. Wote wanazungumzia kitu kilekile kwa usahihi kabisa. Mashahidi wakiongelea vitu tofauti ina maana ushahidi wao hauna ushirikiano na haufai mahakamani.
Lissu amekujibu hapaSiku ya tatu Lissu anamhoji Heche. Maswali ni yaleyale yanazunguka na yanaulizwa kwa namna tofauti
Uliwekewa maziwa badala ya ubongo? Yaani hata uliyoandika tu umeshasahau. Mimi nimekujibu kwenye "aswali ni yaleyale" hiyo habari ya siku 3 baki nayo wewe.Mdogo wangu unafikiria sana halafu nje ya context. Nimesema ni siku ya tatu Lissu anamhoji Heche, that all wewe umekuja kuharisha maneno yasiyo na mpangilio
Hii ilijurikana mapema tu kwamba lazima yaliyotokea oct 29 apewe Lisu maana hawana namna yakujisafisha. Wameuwa sana watu kiukweli.Jamani naomba kuuliza swali siku ya uchaguzi watu wamepigwa Sana risasi na kufa siku 3 mfululizo watu wanauliwa tuh mitaani inamaana Tundu lissu ndio aliwaambia polisi wauwe wananchi ??
Na kulikua na sababu gani ya kuwauwa watu kiasi kile wakati wangeweza kutumika nguvu za kipolisi vizuri tuh bila kuwauwa watu hizo risasi ukipiga hewani tuh watu wanachanganyikiwa na kukimbia kwanini waliuwa watu Hawa mapolisi?
Leo kesi anapewa Lissu daah kweli watu wanamchezea Sana Mungu
Kama nakumbuka kuna sehemu walisema yalichochewa na maneno ya kisiasa ila hawakusema direct ni Lisu au Chadema. Tukajua tayari zigo wanaenda kumpa Lisu/ Chadema!Hii kesi mbona nyeupe Sana yaani hiyo tume ya jaji Chande iliyochunguza matukio ya uchaguzi na mauaji haijasema kabisa Kama lissu ndio kausika na kusababisha mauji kipindi Cha uchaguzi sasa kesi ya Lissu si ishaisha apo jamani au?
Sasa tunakuja lissu kafanya fanya vipi huo uhaini Nchi nzima Hadi watu kufa kiasi kile wale mapolisi waliouwa wao malaika hawana makosaKama nakumbuka kuna sehemu walisema yalichochewa na maneno ya kisiasa ila hawakusema direct ni Lisu au Chadema. Tukajua tayari zigo wanaenda kumpa Lisu/ Chadema!
Ulikuwa unajibu nini exactly. Maana umepuyangaUliwekewa maziwa badala ya ubongo? Yaani hata uliyoandika tu umeshasahau. Mimi nimekujibu kwenye "aswali ni yaleyale" hiyo habari ya siku 3 baki nayo wewe.
Hawana wakumtulia mzigo zaidi ya Lisu/ Chadema. Ngoja report ijayo uone madudu yao, lazima Chadema wataingia hatiani kwamba wao ndo walisababisha vurugu ila hutosikia nani alitoa amri ya kuuwa watu au nani aliuwa.Sasa tunakuja lissu kafanya fanya vipi huo uhaini Nchi nzima Hadi watu kufa kiasi kile wale mapolisi waliouwa wao malaika hawana makosa
Halafu utapika pilau huko lumumba ule na Samia.Kuna mtu anaenda kunyongwa
Hizi mbuzi hata mimi nilishaziweka kitambo sana kwenye ignore list. Kujibizana nazo ni kuziongezea tu ujiko.Mnajisumbua naye tu... Huyu unamuignore tu anabaki kujiongelesha.