Uongo wa katuga upo wazi sasaDuuuh mashahidi wa Katuga sio Credible,wote upande wa utetezi walionesha ni kwa namna gani wanatumika!Wahalifu waliokiri kupanga kufanya uhalifu ndio hao hao wanasamehewa uhalifu wao ili waje kuwa mashahidi kwenye kesi ya Lissu!
Ukiondoa hao mashahidi wengine ni askari,na wenyewe ushahidi wao haukuwa na mashiko!Sasa hiyo imekaaje?
Hapo ndipo ujue ni kesi ya chuki uongo na uonevuKesi ya uhaini hafu wanakimbia kutoa ushahidi. Kesi ya kubumba ndo shida yake hii. Na kwanini aseme yuko upande wa watakaoshangilia kupatikana kwa hatia na kunyongwa kwa Lisu?
That was very predictable. Sijui kwanini mahakama iliwaondoa kwenye list wale wasababishaji, waombaji na washangiliaji wengine wa matatizo ya TAL!KESI ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu itaendelea tena mchana leo, Ijumaa Septemba 18.2026, Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam
KESI hiyo inayosikilizwa mfululizo mbele ya jopo la Majaji watatu (3) wakiongozwa na Jaji Dastan Ndunguru inakuja Mahakamani hapo leo kwaajili ya upande wa utetezi kuendelea kutoa ushahidi wake, ambapo shahidi wa SITA (6), Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) CP Ramadhan Kingai ataanza kutoa ushahidi wake kuanza saa 08:00,
Juzi, Septemba 16.2026, KESI hiyo ilipotajwa mara ya mwisho Mahakamani hapo, mshtakiwa Tundu Lissu ambaye anajitetetea mwenyewe aliieleza Mahakama kuwa atatumia muda wa asubuhi leo kukutana (kuteta) na shahidi huyo, ili kwa pamoja wajiandae kabla ya Mahakama kuanza, ambapo kikao cha mapema cha wawili (2) hao kitafanyika kwenye viunga vya Mahakama.
Ikumbukwe kuwa, licha ya kuwa shahidi wa SITA wa utetezi lakini DCI Kingai ni shahidi wa KWANZA (1) kati ya mashahidi watatu (3) ambao ni vigogo wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Nchini wanaotarajiwa kufika Mahakamani hapo kutoa ushahidi kwa upande wa utetezi,
Wengine ni, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama (CDF) Jenerali Jacob John Nkunda, na Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Camilius Wambura ambao kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na mshtakiwa Mahakamani mara ya mwisho aloyoipata kutoka kwa Msajili wa Mahakama ni kwamba wote wamesafiri kikazi wako
Updates za Mahakamani
Mjumbe wa kamati Kuu CHADEMA, Godbless Lema akiwasili Mahakamani
Viongozi na wana CHADEMA wamewasili kwenye ukumbi wa Mahakama ambapo kesi ya Lissu itaendelea.
Tundu Lissu aingia mahakamani kumdodosa DCI Kingai kesi ya uhaini
Last time tuliishia part 431 so leo tunaendelea na -;
Part 432.
Mhe. Tundu Lissu ameingia Mahakamani watu wana vibe sana wanaimba Mwamba Mwamba huku wakipiga makofi mengi sana.
Majaji wote watatu wameingia na kuketi kwenye viti vyao.
Wakili wa Serikali Ajuaye amesimama na kutambulisha jopo lake na kuwa wako tayari kuendelea.
Mhe. Lissu na yeye anasema niko tayari kuendelea.
Mhe. Lissu amesimama na kusema kwamba nimekutana na Kamishna wa Polisi Ramadhani Kingai ambaye nilikuwa nimependekeza awe shahidi wangu wa leo, nimekutana nae Mahakamani kwenye chumba hiki hiki waheshimiwa majaji, naweza kuthibitisha kwamba ameheshimu wito wa Mahakama amekuja na nimezungumza nae kuhusu yeye kuwa shahidi wa upande wa utetezi na nimezungumza nae kiasi cha kutosha, baada ya kumueleza maeneo ambayo ningependa ayatolee ushahidi ameniambia kwamba yeye hawezi na hayuko tayari kutoa ushahidi kwa upande wangu kwa maneno yake mwenyewe amesema
“Yeye yuko upande wa wale wanaoomba na watakaoshangilia nikipatikana na hatia”
Kwahiyo amesema hayupo tayari kuja kutoa ushahidi kwa niaba yangu.
Nimemuelewa Waheshimiwa Majaji kama hayuko tayari siwezi kumlazimisha kutoa ushahidi ambao hataki kuutoa.
Waheshimiwa Majaji Kingai ameniambia kitu kingine kuhusiana na mashahidi wengine wawili IGP Camillius Wambura na CDF Jacob Mkunda, amesema vilevile hata wao watakaporejea nchini na kupata wito wa Mahakama msimamo wao utakuwa ni huo huo kwamba na wao hawatakuwa tayari kutoa ushahidi kwa upande wa utetezi kwasababu ile ile kuwa wako upande wa wale wanaoombea na watakaoshangilia nikipatikana na hatia.
Katika Mazingira haya waheshimiwa majaji maana yake ni kwamba sina mashahidi zaidi kwahiyo naomba kufunga ushahidi kwa upande wa utetezi.
Ni hayo tu waheshimiwa majaji.
hanyongwi kwa sababu Mungu ni wa haki na Lissu Yuko upande wa haki., hivyo ana backup ya Mungu.Mkuu jamaa kapambana tena sana, kujitetea mwenyewe ni jambo wengi hatukutegemea. Ila bado tusiseme muamuzi ni Mungu sababu akinyongwa bado tutasema ni maamuzi ya Mungu??!
Bush Loyer katuga hana ujanja wa kumfunga Lisuhanyongwi kwa sababu Mungu ni wa haki na Lissu Yuko upande wa haki., hivyo ana backup ya Mungu.
Tunamtaja Mungu kwa sababu ndiye mwenye mamlaka yote. labda kama wewe humwamini. Mimi ninamwamini na binafsi amenifanyia mambo makuu mno na nimemwona akiwafanyia wengine pia.
unafahamu ishu ya Hamani na Modekai? kwenye kitabu cha Esta
shida sio Katuga, Katuga yeye ni kidampa tu. Walioko nyuma yake ndio tatizo,Bush Loyer katuga hana ujanja wa kumfunga Lisu
Sitashangaa tathmini ambayo Lissu ataitoa J5 katika FS yake ni kuwa kitendo cha viongozi hao "kupotezea" kutoa ushahidi kwenye kesi nzito na muhimu kama hiyo ni ushahidi tosha kuwa hawakuwa na kesi ya kweli ya uhaini.Kama Mkurugenzi wa Mashtaka ndo mwenye hiyo kesi kasema hivyo maana yake kakiri wazi tayari wana hukumu yao kabla ya kesi kuamuliwa mahakamani,hivyo ni hakimu mjinga tu ndo atakayemfunga Lissu. Pia jambo la ajabu wakuu wa vyombo vya usalama eti hawana neno lolote(ushahidi) la kusema kuhusu kesi hii
MaCCM yamejitekenya na kucheka yenyewe.KESI ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu itaendelea tena mchana leo, Ijumaa Septemba 18.2026, Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam
KESI hiyo inayosikilizwa mfululizo mbele ya jopo la Majaji watatu (3) wakiongozwa na Jaji Dastan Ndunguru inakuja Mahakamani hapo leo kwaajili ya upande wa utetezi kuendelea kutoa ushahidi wake, ambapo shahidi wa SITA (6), Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) CP Ramadhan Kingai ataanza kutoa ushahidi wake kuanza saa 08:00,
Juzi, Septemba 16.2026, KESI hiyo ilipotajwa mara ya mwisho Mahakamani hapo, mshtakiwa Tundu Lissu ambaye anajitetetea mwenyewe aliieleza Mahakama kuwa atatumia muda wa asubuhi leo kukutana (kuteta) na shahidi huyo, ili kwa pamoja wajiandae kabla ya Mahakama kuanza, ambapo kikao cha mapema cha wawili (2) hao kitafanyika kwenye viunga vya Mahakama.
Ikumbukwe kuwa, licha ya kuwa shahidi wa SITA wa utetezi lakini DCI Kingai ni shahidi wa KWANZA (1) kati ya mashahidi watatu (3) ambao ni vigogo wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Nchini wanaotarajiwa kufika Mahakamani hapo kutoa ushahidi kwa upande wa utetezi,
Wengine ni, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama (CDF) Jenerali Jacob John Nkunda, na Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Camilius Wambura ambao kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na mshtakiwa Mahakamani mara ya mwisho aloyoipata kutoka kwa Msajili wa Mahakama ni kwamba wote wamesafiri kikazi wako
Updates za Mahakamani
Mjumbe wa kamati Kuu CHADEMA, Godbless Lema akiwasili Mahakamani
Viongozi na wana CHADEMA wamewasili kwenye ukumbi wa Mahakama ambapo kesi ya Lissu itaendelea.
Tundu Lissu aingia mahakamani kumdodosa DCI Kingai kesi ya uhaini
Last time tuliishia part 431 so leo tunaendelea na -;
Part 432.
Mhe. Tundu Lissu ameingia Mahakamani watu wana vibe sana wanaimba Mwamba Mwamba huku wakipiga makofi mengi sana.
Majaji wote watatu wameingia na kuketi kwenye viti vyao.
Wakili wa Serikali Ajuaye amesimama na kutambulisha jopo lake na kuwa wako tayari kuendelea.
Mhe. Lissu na yeye anasema niko tayari kuendelea.
Mhe. Lissu amesimama na kusema kwamba nimekutana na Kamishna wa Polisi Ramadhani Kingai ambaye nilikuwa nimependekeza awe shahidi wangu wa leo, nimekutana nae Mahakamani kwenye chumba hiki hiki waheshimiwa majaji, naweza kuthibitisha kwamba ameheshimu wito wa Mahakama amekuja na nimezungumza nae kuhusu yeye kuwa shahidi wa upande wa utetezi na nimezungumza nae kiasi cha kutosha, baada ya kumueleza maeneo ambayo ningependa ayatolee ushahidi ameniambia kwamba yeye hawezi na hayuko tayari kutoa ushahidi kwa upande wangu kwa maneno yake mwenyewe amesema
“Yeye yuko upande wa wale wanaoomba na watakaoshangilia nikipatikana na hatia”
Kwahiyo amesema hayupo tayari kuja kutoa ushahidi kwa niaba yangu.
Nimemuelewa Waheshimiwa Majaji kama hayuko tayari siwezi kumlazimisha kutoa ushahidi ambao hataki kuutoa.
Waheshimiwa Majaji Kingai ameniambia kitu kingine kuhusiana na mashahidi wengine wawili IGP Camillius Wambura na CDF Jacob Mkunda, amesema vilevile hata wao watakaporejea nchini na kupata wito wa Mahakama msimamo wao utakuwa ni huo huo kwamba na wao hawatakuwa tayari kutoa ushahidi kwa upande wa utetezi kwasababu ile ile kuwa wako upande wa wale wanaoombea na watakaoshangilia nikipatikana na hatia.
Katika Mazingira haya waheshimiwa majaji maana yake ni kwamba sina mashahidi zaidi kwahiyo naomba kufunga ushahidi kwa upande wa utetezi.
Ni hayo tu waheshimiwa majaji.
Wewe tuambie uhaini gani unaweza kufanywa na mtu mmoja??? Kwanini hasituoneshe na wengine walioshirikiana na Lissu kufanya uhaini kwanini akamatwe Lissu pekee? Ukijiuliza hili swali utajua kuwa hii ni kesi ya mchongo sema ushabiki wako ndio unakutia ukipofu au unaweza kuwa unajua Hilo ila hapa unajitoa ufahamuWamesema na Lissu mwenyewe katuambia walichosema. We hayo ya kwamba eti hawana cha kusema umeyatoa wapi kama sio mzushi?
Ila tunaijua nchi yetu Lissu lazima akutwe na hatia ukiona hivyo vyombo vya Usalama vimekula ndala ujue huo mchezo ulishapangwa we ushangai kwanini DCI kawasemea na wengine IGP pamoja na CDF wakati kiuhalisia wanatakiwa wajieleze wenyewe.Huu ndio ukweli. Naona watu wanaukimbia. Kitendo cha DCI kukimbia ni loophole kubwa.
Anae kutawalaAkili ya ccm
Unataka Katuga akuletee miamala ya watu useme ameipataje??Wewe tuambie uhaini gani unaweza kufanywa na mtu mmoja??? Kwanini hasituoneshe na wengine walioshirikiana na Lissu kufanya uhaini kwanini akamatwe Lissu pekee? Ukijiuliza hili swali utajua kuwa hii ni kesi ya mchongo sema ushabiki wako ndio unakutia ukipofu au unaweza kuwa unajua Hilo ila hapa unajitoa ufahamu
'hasituoneshe' ndio nini?Wewe tuambie uhaini gani unaweza kufanywa na mtu mmoja??? Kwanini hasituoneshe na wengine walioshirikiana na Lissu kufanya uhaini kwanini akamatwe Lissu pekee? Ukijiuliza hili swali utajua kuwa hii ni kesi ya mchongo sema ushabiki wako ndio unakutia ukipofu au unaweza kuwa unajua Hilo ila hapa unajitoa ufahamu
Sawa.Ni hearsay mahakama haijamsikia mwenyeww akitamka.
Basi mahakama hiyo hiyo imtake aje. Kuna shida wapi?Ni hearsay mahakama haijamsikia mwenyeww akitamka.