KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 4,602
- 6,274
unajua kinachoendelea mahakamani sasa?Wew subiri, mambo hujui halafu unajifanyq kujua!
kwenye 48 laws of power, huyo kibaraka alikua anajaribu kutumiaMamaee
Simple and clear
Huwezi kujifanya kuwa na akili kuliko watu wote, wakati ni limdomo tu unalo!
Nilikuwa najiuliza huu upendo wa ghafla wa lisu kwa kingai umetoka wapi?
ok.πPart 432.
Mhe. Tundu Lissu ameingia Mahakamani watu wana vibe sana wanaimba Mwamba Mwamba huku wakipiga makofi mengi sana.
Majaji wote watatu wameingia na kuketi kwenye viti vyao.
Wakili wa Serikali Ajuaye amesimama na kutambulisha jopo lake na kuwa wako tayari kuendelea.
Mhe. Lissu na yeye anasema niko tayari kuendelea.
Mhe. Lissu amesimama na kusema kwamba nimekutana na Kamishna wa Polisi Ramadhani Kingai ambaye nilikuwa nimependekeza awe shahidi wangu wa leo, nimekutana nae Mahakamani kwenye chumba hiki hiki waheshimiwa majaji, naweza kuthibitisha kwamba ameheshimu wito wa Mahakama amekuja na nimezungumza nae kuhusu yeye kuwa shahidi wa upande wa utetezi na nimezungumza nae kiasi cha kutosha, baada ya kumueleza maeneo ambayo ningependa ayatolee ushahidi ameniambia kwamba yeye hawezi na hayuko tayari kutoa ushahidi kwa upande wangu kwa maneno yake mwenyewe amesema
βYeye yuko upande wa wale wanaoomba na watakaoshangilia nikipatikana na hatiaβ
Kwahiyo amesema hayupo tayari kuja kutoa ushahidi kwa niaba yangu.
Nimemuelewa Waheshimiwa Majaji kama hayuko tayari siwezi kumlazimisha kutoa ushahidi ambao hataki kuutoa.
Waheshimiwa Majaji Kingai ameniambia kitu kingine kuhusiana na mashahidi wengine wawili IGP Camillius Wambura na CDF Jacob Mkunda, amesema vilevile hata wao watakaporejea nchini na kupata wito wa Mahakama msimamo wao utakuwa ni huo huo kwamba na wao hawatakuwa tayari kutoa ushahidi kwa upande wa utetezi kwasababu ile ile kuwa wako upande wa wale wanaoombea na watakaoshangilia nikipatikana na hatia.
Katika Mazingira haya waheshimiwa majaji maana yake ni kwamba sina mashahidi zaidi kwahiyo naomba kufunga ushahidi kwa upande wa utetezi.
Ni hayo tu waheshimiwa majaji.
Lissu amejaliwa kuwa na IQ kubwa kuliko kamati kuu yote ya maccm combined!.Mamaee
Simple and clear
Huwezi kujifanya kuwa na akili kuliko watu wote, wakati ni limdomo tu unalo!
Nilikuwa najiuliza huu upendo wa ghafla wa lisu kwa kingai umetoka wapi?
Wewe ndiye fyonto kweli, mpaka hapo bado haujaelewa game iliyochezwa?Mamaee
Simple and clear
Huwezi kujifanya kuwa na akili kuliko watu wote, wakati ni limdomo tu unalo!
Nilikuwa najiuliza huu upendo wa ghafla wa lisu kwa kingai umetoka wapi?
Hiki ndicho alichokuwa anakitaka kutoka kwa hao watu. Cha kushangaza CHAWA wasio na akili wanashangilia. Bila shaka hawajui malengo ya Lissu yalikuwa ni kutaka hawa viongozi wakuu wa vyombo vya dola waweke msimamo wao wazi ya kuwa wanafurahia/wanashangilia kuona Lissu anaumizwa/anahukumiwa hata kama hana hatia. Maana yake walishiriki kwenye hii kesi kuanzia mwanzo mpaka mwisho.Part 432.
Mhe. Tundu Lissu ameingia Mahakamani watu wana vibe sana wanaimba Mwamba Mwamba huku wakipiga makofi mengi sana.
Majaji wote watatu wameingia na kuketi kwenye viti vyao.
Wakili wa Serikali Ajuaye amesimama na kutambulisha jopo lake na kuwa wako tayari kuendelea.
Mhe. Lissu na yeye anasema niko tayari kuendelea.
Mhe. Lissu amesimama na kusema kwamba nimekutana na Kamishna wa Polisi Ramadhani Kingai ambaye nilikuwa nimependekeza awe shahidi wangu wa leo, nimekutana nae Mahakamani kwenye chumba hiki hiki waheshimiwa majaji, naweza kuthibitisha kwamba ameheshimu wito wa Mahakama amekuja na nimezungumza nae kuhusu yeye kuwa shahidi wa upande wa utetezi na nimezungumza nae kiasi cha kutosha, baada ya kumueleza maeneo ambayo ningependa ayatolee ushahidi ameniambia kwamba yeye hawezi na hayuko tayari kutoa ushahidi kwa upande wangu kwa maneno yake mwenyewe amesema
βYeye yuko upande wa wale wanaoomba na watakaoshangilia nikipatikana na hatiaβ
Kwahiyo amesema hayupo tayari kuja kutoa ushahidi kwa niaba yangu.
Nimemuelewa Waheshimiwa Majaji kama hayuko tayari siwezi kumlazimisha kutoa ushahidi ambao hataki kuutoa.
Waheshimiwa Majaji Kingai ameniambia kitu kingine kuhusiana na mashahidi wengine wawili IGP Camillius Wambura na CDF Jacob Mkunda, amesema vilevile hata wao watakaporejea nchini na kupata wito wa Mahakama msimamo wao utakuwa ni huo huo kwamba na wao hawatakuwa tayari kutoa ushahidi kwa upande wa utetezi kwasababu ile ile kuwa wako upande wa wale wanaoombea na watakaoshangilia nikipatikana na hatia.
Katika Mazingira haya waheshimiwa majaji maana yake ni kwamba sina mashahidi zaidi kwahiyo naomba kufunga ushahidi kwa upande wa utetezi.
Ni hayo tu waheshimiwa majaji.
Kwa hiyo inakuwaje kisheria?Part 432.

Ameruka ya 19 inayosema "know who you are dealing with" karukia ya 22 inayosema "surrender tactic"kwenye 48 laws of power, huyo kibaraka alikua anajaribu kutumia
mbinu inaitwa surrender tactics, ikashtikiwa haraka sana na huyo kachero kingai
Kwamba kahukumiwa Hata kabla ya mahakama! Kweli inahitajika Akili KUBWA!Hiki ndicho alichokuwa anakitaka kutoka kwa hao watu. Cha kushangaza CHAWA wasio na akili wanashangilia. Bila shaka hawajui malengo ya Lissu yalikuwa ni kutaka hawa viongozi wakuu wa vyombo vya dola waweke msimamo wao wazi ya kuwa wanafurahia/wanashangilia kuona Lissu anaumizwa/anahukumiwa hata kama hana hatia. Maana yake walishiriki kwenye hii kesi kuanzia mwanzo mpaka mwisho.
Hakika inamhitaji mtu kuwa na akili ya ziada kuugundua huu mtego. Kazi ipo kwa Majaji wa ccm kuamua kusuka au kunyoa.
kudeal na mtu anaejifanya mwendawazimu inafaa kua makini sana πAmeruka ya 19 inayosema "know who you are dealing with" karukia ya 22 inayosema "surrender tactic"
maskini dah πAibu DCI kurusha taulo mapema kabisaaa πΉ
Tunarudi RAU madukani tumalizie chipsi na juisi za maembe alizotununulia afande Kingai.Kwa hiyo inakuwaje kisheria?
Huoni kama katiba inakanyagwa hapo?Mamaee
Simple and clear
Huwezi kujifanya kuwa na akili kuliko watu wote, wakati ni limdomo tu unalo!
Nilikuwa najiuliza huu upendo wa ghafla wa lisu kwa kingai umetoka wapi?
Kila jambo na majira yake,Kulia na kuchemka yote ni kelele!kudeal na mtu anaejifanya mwendawazimu inafaa kua makini sana π