PreGE2025 Kesi ya Uhaini ya Lissu yaahirishwa hadi Julai 01, 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
na hiyo ndio adhabu ya mwanzo kabisa ya mtuhumiwa uhalifu au mfungwa yeyote anaesota korokoroni.

adhabu ya pili ni kumkosesha uhuru mtuhumiwa muhalifu n.k.

ndio maana kutii sheria bila shuruti ni jambo muhimu na la maana sana 🐒
Uhalifu unaujua au ni ujinga uliomezeshwa na huyo msagaji unaempigia debe la kwamba ukupe uteuzi?
 
We kumbe ni msenge sana. Uhalifu unaujua au ni ujinga uliomezeshwa na huyo msagaji unaempigia debe la kwamba ukupe uteuzi?
relax bas gentleman,
hujifunzi tu athari za mihemko uropokaji unaokiuka sheria zinazo mtesa huyo muungwana korokoroni?

hizo ndizo standards za kimataifa za adhabu za mwanzo kabisa kwa watuhumiwa na wafungwa wahalifu wa aina mbalimbali gentleman 🐒
 
Kwani mnafuata sheria gani huko au mnafuata matakwa yenu kumkomoa? Sema ni sheria gani inayokataza yeye asionane na mawakili wake? Usilete hisia zako za kiumalaya hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…