Yaani nikama mpumbavu kabisa kujenga hoja hajui kazi ni ujinga anaoonesha humu ndani huku akijiita mtafiti. Labda utafiti wa nyumbani kwake kumtafitia mkewe.Ni ajabu mtu wa umri wake hajui hata haki zake ama za mshtakiwa kwa mujibu wa katiba na sheria.
Unabishana na huyu kiazi, ccm wote ni viazi, unaposema haki ya mshtakiwa yeye hajui wala haelewi anawaza tumbo na buku saba tuCriminal Procedure Act imeweka wazi kabisa haki ya mshtakiwa kuonana na mawakili wake.
Hiyo katiba yenyewe haijui inafananaje, hata mwenyekiti wake anaivunja unategemea kondoo watakuajeNi ajabu mtu wa umri wake hajui hata haki zake ama za mshtakiwa kwa mujibu wa katiba na sheria.
Lissu ataendelea kukaa mahabusu hadi mwakani
Kwani Lissu anashiriki uchaguzi?Hakuna uchaguzi Lisu akiwa ndani, subiri uone, hii gari inakwama
😂Hawa ndio walinzi wetu wa nchi🤣🤣View attachment 3371265
😂😂😂😂Unabishana na huyu kiazi, ccm wote ni viazi, unaposema haki ya mshtakiwa yeye hajui wala haelewi anawaza tumbo na buku saba tu
Kwani Lissu anashiriki uchaguzi?
Mwenyewe anajiona komandooMOJA ya askari magereza aliemfikisha Mh. Tundu Lissu mahakamani Leo Mbwembwe zote hizi MSHAHARA laki 3.
Mungu hawezi kufanikisha Hilo laiti ungeona walichofanyiwa Gaza Kwa wenye dini zao usingemsubiri mungu akusaidieWakicheza na haya, watapotez kila kitu, October hii hii, huyu wanasemwonea anaweza kuwa Rais, hakuna kucheza na Mungu kwa kiwango hiki
Kama za mbogamboga!MOJA ya askari magereza aliemfikisha Mh. Tundu Lissu mahakamani Leo Mbwembwe zote hizi MSHAHARA laki 3.
AKIPIGWA PICHA ATACHUBUKA WANAMKINGA ASIJE AKAUMIAWanaogopa hadi sura ya Lissu, huu utawala ni wa kijinga sana, sasa Lissu akipigwa picha kuna tatizo gani? Au deni la Taifa litaongezeka?
Una uhakika unatumia ubongo kufikiri?Ni kweli, dunia nzima wazazi watafute hela maana kila nchi lazima iwe na maafisa wa magereza au polisi
Ila sasa wote wakitafuta hela, nani atakuwa mlinzi wa mipaka ya nchi, ani atakuwa askari wa kupambana na waharifu na kusimamia usalama wa raia na shughuli za ndani za nchi?