Kevin Carter, Mwanahabari aliyejiua baada ya kupiga picha watoto waliokuwa wakifa kwa njaa sudan

Kevin Carter, Mwanahabari aliyejiua baada ya kupiga picha watoto waliokuwa wakifa kwa njaa sudan

Acha uongo. Alijiua kwa moshi wa gesi chafu kwny gari take baada ya stress za kupigika wakati ana jina na matuzo ndani

Fatilia mkuu,ila kuniambia mimi muongo umenihuzunisha sana.ingekuwa upo karibu yangu ningekuwasha bastola.
 
Hakupona alikufa,aliliwa na huyo ndege.

Hakuna mahali popote walipoandika kuwa huyo mtoto aliliwa na huyo vulture...

Kama una chanzo chochote cha habari chenye kuthibitisha kauli yako basi tuwekee hapa nasi tusome...

Vyanzo vingi vya habari viliandika kuwa huyo ndege alifukuzwa na mtoto huyo alikuwa katika harakati za kufuata chakula cha msaada...
 
Jamaa aliyepiga picha ni mzungu from south africa na alijiua badae coz of guilty. Alijuta kutomsaidia huyo mtoto so akaona afadhali kujiua. Ilikua picha ya mwaka that year..that kid alikua akielekea kituo cha kutolea msaada wa chakula kilichokua few kms from there. So sad

Jamani tuwe tunasoma halafu baada ya kusoma tuelewe halafu baada ya kuelewa tuhifadhi kumbukumbu sawasawa...

Je umesoma wapi kuwa Kevin Carter alijiua kwa sababu ya kukosa kumsaidia huyo binti?
 
jamaa alopiga picha alipewa tuzo ya best photographer that year ila its true finnaly alijisuicide commit kwa kuona kitendo cha kumshuhudia mtoto akiliwa mpaka kufa it was not Humanity

Tuwe tunasoma vizuri na kuelewa...

Hii ni nukuu toka New York Times;

"After receiving a number of phone calls and letters from readers who wanted to know what happened to the little girl, the New York Times took a rare step and published an editor’s note describing what they knew of the situation.

“The photographer reports that she recovered enough to resume her trek after the vulture was chased away. It is not known whether she reached the [feeding] center.”"
 
Fatilia mkuu,ila kuniambia mimi muongo umenihuzunisha sana.ingekuwa upo karibu yangu ningekuwasha bastola.

Hahahaaa! Leo chaumbea umepatikana.Ila hujui tu umenitia simanzi kiasi gani ulivyosema huyo mtoto aliliwa.
Wewe pia ungekua karibu yangu ningesha pull trigger zamaani!
 
Tuwe tunasoma vizuri na kuelewa...

Hii ni nukuu toka New York Times;

"After receiving a number of phone calls and letters from readers who wanted to know what happened to the little girl, the New York Times took a rare step and published an editor’s note describing what they knew of the situation.

“The photographer reports that she recovered enough to resume her trek after the vulture was chased away. It is not known whether she reached the [feeding] center.”"

"She recovered enough" hayo ni maneno ya mzungu kujustify alichokifanya huyo aliyepiga picha na kusepa. Hawa wa2 ni washenzi tusiwatetee
 
Jamani tuwe tunasoma halafu baada ya kusoma tuelewe halafu baada ya kuelewa tuhifadhi kumbukumbu sawasawa...

Je umesoma wapi kuwa Kevin Carter alijiua kwa sababu ya kukosa kumsaidia huyo binti?

Tusemeje? How can someone commit suicide 3 months aftr winning the prize ya picha ya aina ile? That scenario ilidisturb mind na its obvious guilty ilimmaliza
 
Tusemeje? How can someone commit suicide 3 months aftr winning the prize ya picha ya aina ile? That scenario ilidisturb mind na its obvious guilty ilimmaliza

Ukisoma makala tofauti zinaelezea kuwa jamaa alikuwa ni mtu mwenye depression kutoka na kazi yake...

Kwa mujibu wa maelezo ya marafiki zake, Steve alikuwa ni mtu aliyejiingiza katika utumiaji wa midaharati ili kupunguza mauzauza aliyokuwa akikutana nayo kazini...

Hiyo picha ilimpa tunzo ndio lakini sio kwamba ndio ilikuwa ni kazi yake pekee na ya kwanza kwenye mazingira yenye kuhitaji kuonesha ubinadamu...

Kuna mahali nilisoma kuwa wakati wapo Sudan, moja ya masharti waliyopewa na UN ilikuwa ni kutowagusa wahanga wa njaa...

Na sehemu nyingine imeeleza kuwa hata wanajeshi wa Sudan (sijajua ni rebels au wanajeshi kamili), hawakuruhusu waandishi wa kimataifa kutoa msaada wa kibinadamu...

Hivyo kwa kuzingatia hayo, Steve alichofanya ni kumfukuza huyo vulture ili huyo binti aendelee na safari ya kusaka chakula...
 
"She recovered enough" hayo ni maneno ya mzungu kujustify alichokifanya huyo aliyepiga picha na kusepa. Hawa wa2 ni washenzi tusiwatetee

Mkuu sio kuwa tunawatetea bali tunaelezea uhalisia wa kilichofanyika...

Haiwezekani mtu tu akazuka na kudai kuwa huyo binti alifariki kwa kuliwa na vulture wakati haikuwa hivyo...
 
Kuna hii piaView attachment 244341View attachment 244341

Wapiga picha sijui walitoa msada gani kwa watu hawa

Hizi picha mbili ni tofauti kabisa kwa maana ya matukio, nitaeleza japo kwa ufupi:-
1: picha ya kwanza ( hiyo ya mtoto anamlilia mamaye) imepigwa huko DRC ndani ya miaka Hii 3 iliyopita, ni moja ya effects za vita.
2:- Picha ya pili ( ya huyo mtoto na vulture) ilipigwa huko Ethiopia miaka zaidi ya 25 iliyopita. Huyo mtoto aliathirika kwa Njaa. Mtoto alikufa mbele ya mpigapicha (alikuwa wa BBC nafikiri) na alifukuzwa kazi kwa kitendo chake kisicho cha kibinadamu
 
Mtoto alikufa mkuu na huyo scavenger hapo nyuma akafanya yake.

Sijui hizi taarifa umezipata wapi..ila kwa ujibu wa Kevin Carter - Wikipedia, the free encyclopedia mtoto hakufia hapo.

Pia sehemu ya ujumbe wake wa kujiua ilikua ni hii hapa..
[h=2][/h]<dl><dd>"I'm really, really sorry. The pain of life overrides the joy to the point that joy does not exist... depressed ... without phone ... money for rent ... money for child support ... money for debts ... money!!! ... I am haunted by the vivid memories of killings and corpses and anger and pain ... of starving or wounded children, of trigger-happy madmen, often police, of killer executioners ... I have gone to join Ken if I am that lucky."
</dd></dl>
 
Back
Top Bottom