Kevin Carter, Mwanahabari aliyejiua baada ya kupiga picha watoto waliokuwa wakifa kwa njaa sudan

Kevin Carter, Mwanahabari aliyejiua baada ya kupiga picha watoto waliokuwa wakifa kwa njaa sudan

Hata hivyo inasemekana ni kutokana na picha hizo hizo zilizoshitua dunia,ndipo dunia ikagundua janga la njaa ni kubwa mno na kupelekea misaada mingi ya chkula na fedha vilivyoliokoa taifa hilo.Mtakumbuka hata Michael Jackson akiwashirikisha nyota wengi wa muziki kv Steve wonder,Lionel Richie nk walitoa wimbo maalum kusaidia Ethiopia katika janga hilo la kutisha.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Sikujua habari ya kifo chako mpaka kwenye makavu live
 
1236276_440685249384604_1378056855_n.jpg


Picha hii ilipigwa mwaka 1994 huko nchin Sudan. Alikuwa mtoto mdogo asiye jiweza baada ya kukukosa lishe

bora. Alikuwa akijikokota kuelekea katika sehemu ambayo walikuwa wanatoa msaada wa chakula, huku nyuma

yake akinyemelewa na ndege ambaye upenda mizoga anayejulikana kwa jina la Tai ambaye naye alikuwa

akitaka kumla. Inasadikika mpigaji picha ilimchukua ziada ya dk 20 kupiga picha na kuipata aipendayo kuliko

kutoa msaada kwa mtoto huyo. Kijana huyo alikufa muda mchache baada ya kupigwa picha hii na

haikujulikana kama aliliwa na huyo ndege au la!! Watoto wengi wa afrika wanakufa kwa kukosa lishe bora je

wewe umechukua hatua gani? Stuka sasa saidia watoto watimize malengo yao njaa mbaya!! ...
 
So sad kwa kweli huyo aliyepiga picha alichukuliwa hatua gani kwa kosa la kutomsaidia huyo mtoto?
 
So sad kwa kweli huyo aliyepiga picha alichukuliwa hatua gani kwa kosa la kutomsaidia huyo mtoto?

Inatia huruma, na majonzi, masikitiko. Waafrika itatuchukua muda kujitambua na kumtambua mchawi wetu ambaye ni ujinga wetu. Tumekomalia vita na mapigano, huku watoto tuliowazaa wenyewe wanakufa kwa njaa, risasi, na mabomu.
Africa imekuwa jalala la silaha kutoka AMERICA, EUROPE, ASIA na MASHARIKI YA KATI.
Amka wewe Afrika usinziaye, mbona unaangamia?
 
Nadhani picha ilipigwa na Mohamed Amin nilipata kuiona mahali so mwenye data zaidi aje

This photograph won the Pulitzer Prize for Feature Photography in 1994 and was taken by Kevin Carter while covering the famine in Sudan in 1993. The picture is a heart-wrenching photo of a young girl struggling to make it to the United Nations camp that was distributing food to the starving people of the area. Kevin Carter received heavy criticism following the publication of the photo in The New York Times on March 26, 1993. Several months after receiving the prize he committed suicide, leaving his photos behind as his legacy.



From a technical standpoint, humans' eyes will be naturally drawn to the "thirds" of the photos. At two of the intersections of the thirds (the top left and the bottom right) there is a vulture and the starving child. The vulture and the child are the only subjects that stand out against the barren background in the first place, but having them at the thirds of the photograph draws the attention of the viewer even more by taking the photo in a way that presents the main subjects as the natural center of their focus. In an analysis of the photo on thenakedvoid.com the bareness and simplicity of the photo is stated as helping the photo to become a bigger metaphor for the famine in Sudanese. This serves Kevin Carter's photo very well as he was there to cover the famine and its effects. What becomes even more important, though, is the subject that the viewer's eyes are drawn to.



People are particularly sensitive to photographs involving children. When people see children they typically think of their own children or children they know and the innocence they typically possess. People frequently admire the wide-eyed innocence that can be found in children, particularly because they have not yet been exposed to the hardships and difficult experiences that will be experienced as they mature. Seeing a child in a pain or suffering is most painful for people because they have not done anything to deserve it, while photographs of adults in such situations may elicit a more reserved response.

Therefore the emaciated body of the young girl suffering in Sudan would already by itself produce an intense reaction of revulsion from nearly all people. It is evident in her extremely thin limbs and pronounced ribs that the child is starving. It can also be judged that she is in extreme pain from the fact that she is doubled over and apparently unable to support her own weight. The visual evidence present in the photograph is supported by the fact that Sudan was suffering a severe famine at the time and many Sudanese were dying from starvation. What makes the picture so visually compelling, however, is the vulture standing in the background.



The presence of the vulture, a scavenger, immediately conveys to the viewer that the child is near death. So close, in fact, that animals are waiting to feed on the body of the child once it passes. This is what causes the photograph to be so compelling; the child is so obviously close to death that a vulture is waiting just feet behind it. This is what caused much of the backlash the photo received following its publication.

People criticized the photographer, Kevin Carter, for not helping the child, for simply taking a picture while the child needed help and was about to die. The picture is a single snapshot of time, though, and does not tell the full story of what happened that day. The reporters had been told not to touch the Sudanese because many were carrying diseases. There were also conflicting reports from those that were there. Some claimed that the mother of the girl was behind the photographer waiting for food, others that the child was not the only one and that it would be impossible to save one without saving the rest. He was also a photojournalist, a profession with the principle of recording what happens without interfering or having an effect on it. With all of the possibilities of the situation it is not right for those that were not there to judge what Carter should have done. Regardless, many still did, and just three months after receiving the Pulitzer Prize, he committed suicide.
 
Nadhani picha ilipigwa na Mohamed Amin nilipata kuiona mahali so mwenye data zaidi aje


aliyeipiga ni white south african, alipata award lakini mwishowe alijiua maana it was horror movie in his mind, kwamba aliuza utu kwa pesa.
 
Inatia huruma, na majonzi, masikitiko. Waafrika itatuchukua muda kujitambua na kumtambua mchawi wetu ambaye ni ujinga wetu. Tumekomalia vita na mapigano, huku watoto tuliowazaa wenyewe wanakufa kwa njaa, risasi, na mabomu.
Africa imekuwa jalala la silaha kutoka AMERICA, EUROPE, ASIA na MASHARIKI YA KATI.
Amka wewe Afrika usinziaye, mbona unaangamia?
Waafrika bana we always ignore similarities,do we capitalize defferences!
 
aliyeipiga ni white south african, alipata award lakini mwishowe alijiua maana it was horror movie in his mind, kwamba aliuza utu kwa pesa.

Inasemekana wakati tukio hilo la kumpiga picha linaendelea, mpaka kifo cha binti huyo, wazazi wake walikuwa wamekwenda kutafuta chakula kwenye ndege ya UN waliporudi walikuta mtoto kesha fariki.
 
So sad kwa kweli huyo aliyepiga picha alichukuliwa hatua gani?

Yule mpiga picha kaburu KEVIN CARTER 33 years alijiua baada ya miezi 14 kwa msongo wa mawazo huko kwao ingawa picha ile ilishinda Putzer Prize hakuishi.
 
alijiuwa mwenyewe baada ya kupata utajiri kwa ajili ya hiyo move,baadae akafkiria utajiri alioupata haukuwa wa maana kwake ndipo akajiuwa
So sad kwa kweli huyo aliyepiga picha alichukuliwa hatua gani kwa kosa la kutomsaidia huyo mtoto?
 
Back
Top Bottom