Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Sorry kukwambia vita ni more than that, si kila kitu kinawekwa wazi. Is why moja ya mbinu majeshi mengi yanafundisha ukiwa front, kiongoz wa vikosi hatakiwi kujulikana kirahisi, wala wanakuwa target ya adui. Adui anajua akipiga kiongozi wengine watasambaratika au mipango kuvurugikaUkiwa vitani usiogope kufa
maneno ni mengi, hero hivi hero vile, lakini hapa israel wametimiza moja ya malengo yao, among yale mengi.
Tayari mossad wataanza kumtrack huyoWanaukumbi.
BREAKING: KHALID MISH’AL ANAWEZA KUWA KIONGOZI ANAYEFUATA WA HAMAS
Kuna muundo wa uongozi uliowekwa
=========================
View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1846918165936091304?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Now enjoying the 72 houris na lots of alcohol
Malengo yapi wametimiza? Huenda una umri mdogo viongozi wa Hamas hawajaanza kuuliwa leo muulize baba yako huenda anajua atakusaidia, israel walimua muasisi wa Hamas mwaka 2004 na Hamas bado wapo tatizo nyie wagalatia mnaogopa sana kufa, hawa Wapelestina kila raia anapambania ardhi yao kufa kuwa ni ushhidi.maneno ni mengi, hero hivi hero vile, lakini hapa israel wametimiza moja ya malengo yao, among yale mengi.
He is gone and thats is the reality
Hizo blah blha nyingine ni kupaka rangi upepo
Wana malengo mengi , moja wapo ni kuendelea kudeal na viongozi wa makundi. Kama kuna mtu aliwapa shida na alikuwa intelligence leader wa hamas ni huyu bwana. Is why mwezi agost nilisema it was tactical mistake kumteua huyu bwana , maana anaenda kuwa exposed na ni rahisi sasa israel kumfikiaMalengo yapi wametimiza? Huenda una umri mdogo viongozi wa Hamas hawajaanza kuuliwa leo muulize baba yako huenda anajua atakusaidia, israel walimua muasisi wa Hamas mwaka 2004 na Hamas bado wapo tatizo nyie wagalatia mnaogopa sana kufa, hawa Wapelestina kila raia anapambania ardhi yao kufa kuwa ni ushhidi.
Hujui lolote wewe kuhusu Hamas endelea na ushabiki mandazi,I Hamas siyo mtu mmoja Hamas ni ideology na muasis wake ni Sheikh Yassin kaishauliwa na Israel Hamas ingekuwa mtu saizi imeishatitika, kila mpalestina ni Hamas.Wana malengo mengi , moja wapo ni kuendelea kudeal na viongozi wa makundi. Kama kuna mtu aliwapa shida na alikuwa intelligence leader wa hamas ni huyu bwana. Is why mwezi agost nilisema it was tactical mistake kumteua huyu bwana , maana anaenda kuwa exposed na ni rahisi sasa israel kumfikia
Kiongozi ambae israel walishindwa kumpata for years , wamekuja kumpata baada ya kuwa exposed. You guys need to think tacticaly, si kihisia
Difference virgin mary is not there,Without forgetting the virgin Mary😁
pole sana mwana hamas wa tandale kwa tumbo.Hujui lolote wewe kuhusu Hamas endelea na ushabiki mandazi,I Hamas siyo mtu mmoja Hamas ni ideology na muasis wake ni Sheikh Yassin kaishauliwa na Israel Hamas ingekuwa mtu saizi imeishatitika, kila mpalestina ni Hamas.
Kastaafu.Aliyekuwepo before ameenda wapi?
Hata wapalestina watanzañia wote ni Hamas.Hujui lolote wewe kuhusu Hamas endelea na ushabiki mandazi,I Hamas siyo mtu mmoja Hamas ni ideology na muasis wake ni Sheikh Yassin kaishauliwa na Israel Hamas ingekuwa mtu saizi imeishatitika, kila mpalestina ni Hamas.
Kabisa atangazeAlivyoooooooo mlainiiii hiviiii
Ritzy kifoo chakee huyu anakujaa kitangaza mwenyewe Nov humu
Aliuawa Iran na IsraelAliyekuwepo before ameenda wapi?
Kwa muislam kifo ni BORA KULIKO KUISHIBora Akatae Tu Hicho Cheo Vinginevyo
AtafutwA
Kwa Hamas ni tofauti ukiuwa kingozi Mmoja wanajitokeza miamoja kutaka nafasi ya uongozi.Sorry kukwambia vita ni more than that, si kila kitu kinawekwa wazi. Is why moja ya mbinu majeshi mengi yanafundisha ukiwa front, kiongoz wa vikosi hatakiwi kujulikana kirahisi, wala wanakuwa target ya adui. Adui anajua akipiga kiongozi wengine watasambaratika au mipango kuvurugika
So kwenye tactical view, kuna mbinu nyingi. Huwezi mshinda adui huku unamuonyesha mbinu zako zote
Malengo ya IDF kukomboa mateka na kumaliza Hamas mpaka sasa hakuna hata moja lililo fanikiwa tuendelee kusubiri.Wana malengo mengi , moja wapo ni kuendelea kudeal na viongozi wa makundi. Kama kuna mtu aliwapa shida na alikuwa intelligence leader wa hamas ni huyu bwana. Is why mwezi agost nilisema it was tactical mistake kumteua huyu bwana , maana anaenda kuwa exposed na ni rahisi sasa israel kumfikia
Kiongozi ambae israel walishindwa kumpata for years , wamekuja kumpata baada ya kuwa exposed. You guys need to think tacticaly, si kihisia