'Khalid na Philemon walipendana' - Saida Karoli alimaanisha nini hapa?

Saida bwana .
Alitisha sana yaan Halidi anampenda Filimoni .

Ngoja tumuite HAYA LAND atoe neno labda
 
Alimaanisha Khalid na Philomena labda....

Lakin kwenye video huoni ya kuwa vijana wawili walikuwa wanastruggle kuwapproach wasichana wawili waliokuwa wanatoka mtoni?....

Lakin huu wimbo unamuongelea Maria Salome na yaliyomkuta
Hiyo Philomena unamtoa wapi, mbona sisi tunasikia Phelemoni
 
Huu ndio ukweli halisi hata yeye mwenyewe Saida kuna siku alihojiwa akasema hivyo. Alikosea baada ya kusema Philomena akasema Philimony.
 
Alimaanisha filomena kwa habari nilizokuja kuzipata Bkb
 
Hiyo Philomena unamtoa wapi, mbona sisi tunasikia Phelemoni
Matamshi ya majina kwa kihaya ni tofauti na Kiswahili chenu mkuu...

Mfano Clementina...kwa kihaya ni keleme...ndo maana kuna wimbo wa Saida unaitwa Keleme alimaanisha Clementina..

Mfano Filmon ..kwa kihaya ni filemoni...

So matamshi na majina kwa kihaya ni tofauti na Kiswahili....
 
Alimaanisha Khalid na Philomena labda....

Lakin kwenye video huoni ya kuwa vijana wawili walikuwa wanastruggle kuwapproach wasichana wawili waliokuwa wanatoka mtoni?....

Lakin huu wimbo unamuongelea Maria Salome na yaliyomkuta
Wahaya na lafudhi mbaya mbaya kami sie akina ngosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…