'Khalid na Philemon walipendana' - Saida Karoli alimaanisha nini hapa?

Daaaah, umewaza nini mkuu? [emoji16]
 
Hata kwa elimu ya Saida huenda hakujua hata anachoimba
Usimshushe Saida hivyo akiwa ni msanii pekee aliyeimba Kilugha (Kihaya) na kusikika Tanzania nzima.

Kuhusu Khalid na Philimon alishatolea ufafanuzi kuwa ni Khalid na Philimonia.

Ana elimu ya kujua kuwa mapenzi ya jinsia moja hayakubaliki na siyo tamadumu za kihaya.
 
Wewe alihojiwa na akasema mwenyewe.
Vipi kwani au una nongwa
 
Ni halidi na filimona. Ila ktk kuimba ndo ikasikika kama filimoni
 

Halidi na filimoni ni marafiki walioshibana na watu wengi ukisikia neno mapenzi mnakimbilia ngono .ndio maana kiswahili sikipendi hakinipi pesa.

Tunaomba baraza la kiswahili ili neno mpenzi kugawanywa neno ili watu wajue.

maana ukisema "jamaa ana mapenzi na ccm"

basi akili yako itakuja unazini na ccm
 
Wewe alihojiwa na akasema mwenyewe.
Vipi kwani au una nongwa
Lakin ukisikiliza nyimbo zake na ukiwa unelewa lugha zina message Sana...

Mfano wimbo wake wa Kaisiki...unaongelea kuhusu wasichana wanaotoa mimba..na madhara yake ya kukosa mtoto..

Wimbo wake wa kereme unaongelea mke mvivu hasiyejishughulusha...

Wimbo wake wa Jeni unaongelea wasichana wanaoacha wapenzi wao na kuolewa na watu wengine...

Wimbo wake wa mukaile kilinjwi..anashauri wanaume waoe wanawake wanaowapenda vinginevyo ndoa hazitadumu...

Nk...


So nyimbo zote za Saida zina message Kali Sana...sijui Nani alimtungia mashairi aisee bila kusahau beat...na imagine ni miaka ya 2000 huko
 
Saida ana kipaji, hawa kina Zuchu ni promo tu
 
Naomba kujua njia rahisi ya kupotea bila kujulikana ulipo hata ukitafutwa usiweze kupatikana popote ni njia ipi?

Nataka kupotea na nisipatikane kokote milele,
 
Ni Khalid na flomena aliiweka sawa ilivyo hojiwa pale mawingu,nikwambwa flomena ilikataa kukaa kwenye hiyo bars ndio ikawa filimoni.
Uko sahihi lakini hata saida mwenyewe kiswahili alikuwa anakijua kweli usikute hakujua anachoimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…