'Khalid na Philemon walipendana' - Saida Karoli alimaanisha nini hapa?

Wadau

Naomba kujua njia rahisi ya kupotea bila kujulikana ulipo hata ukitafutwa usiweze kupatikana popote ni njia ipi?

Nataka kupotea na nisipatikane kokote milele,
 
Huyo mmama ana kipaji sana.

Nilimjua kabla hamjamjua kipindi anaimba nyimbo sehemu za walevi wale local local sana sehemu za rwamishenye kwenye vilabu vya bilolo

Nikamuona tena kemondo akiwa anaimba vilabuni itoshe kusema yule binti ana kipaji sana.
 
Toina magezi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Naomba kujua njia rahisi ya kupotea bila kujulikana ulipo hata ukitafutwa usiweze kupatikana popote ni njia ipi?

Nataka kupotea na nisipatikane kokote milele,
Uko serious au masiala ?
 
Naomba kujua njia rahisi ya kupotea bila kujulikana ulipo hata ukitafutwa usiweze kupatikana popote ni njia ipi?

Nataka kupotea na nisipatikane kokote milele,
Yaani,upotee milele halafu uendelee kuwa hai?au haijalishi kama uwe hai au umekufa ilimradi we upotee tu
 
Niwe hai Ila nisiweze kupatikana na nisiweze kuonekana au kua traced popote
 
Siju status yake kwa sasa ila miaka minne nyuma alirudi tena kuimba vijijini kwa kingilio cha bukubuku kwenye viwanja vya kijijini,nakumbuka nikimkuta kijiji fulani ndani sana huko Tabora.
 
Kupendana tu, urafiki wa kawaida kama na rafiki yako yoyote mlioshibana(kama unaye rafiki wa hivyo).
Wengine huwa hatuna marafiki zaidi ya business associates.
 
Watu wanajifanya wanaamka sasa kuhusu ushoga ......
 
Siju status yake kwa sasa ila miaka minne nyuma alirudi tena kuimba vijijini kwa kingilio cha bukubuku kwenye viwanja vya kijijini,nakumbuka nikimkuta kijiji fulani ndani sana huko Tabora.
Basi atakuwa alichezea pesa maana miaka kumi nyuma alitengeneza sana hela
 
Niwe hai Ila nisiweze kupatikana na nisiweze kuonekana au kua traced popote
No way,stow away,inaonekana kuna kitu kinakusumbua,rudi kwenye imani yako usaidiwe haraka,muone mchungaji/Sheikh au muone mwanasaikolojia mueleze maelezo hayahaya atakupa majibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…