Kiasi kikubwa cha bangi ya hapa nchini ni kushabu, watu wanavuta makapi sio bangi

Wenzenu walioendelea hawavuti kwenye misokoto ya magazeti ; hiyo bangi huvutwa kwenye pipe inayochuja uchafu wote kwahiyo unapata moshi mtupu!!!
Sawa lakini ikiwa genuine hata ukitumia karatasi uta enjoy tuu Kama unazungumzia Kiko ni kwa ajili ya kuweka kiasi kingi kuepuka usumbufu wa kunyonga Mara kwa mara na kumbuka kunyonga kunataka utalaam binafsi licha ya kuwa mvutaji kunyonga sijui.
 
Mkuu nitakufuata PM tuyajenge.Unielekeze huko zinakopatikana.
 
Juzi nilikuwa namtafuta jamaa yangu mmoja hivi alikuwa amefikia lodge....katika kupitapita kwenye room za lodge nikasikia harufu ya bangi ikabidi nisogee nijue yaliyomo..ile kuchungulia tu nikacheki madada kama watano hivi wametandika godoro chini halafu wanavuta bangi..chumba kimejaa moshi balaa😁😁....kwa hali hii mwanamke hata angeingiziwa chupa yeye anaona yote sawa tu.
 
Kuna
Bangi bangi tu. Me majamaa zangu wangu wa mbezi wakivuta Sana skanka Ila sijaona jipya Zaid inaleta usingizi tu Tena ile ya purple ..Haina maajabu ya kushangaza ujanja TU wa watu
Mkuu kuna Bangi ukivuta stiki moja tuu unapata stata swafii😁 hizo za kuvuta sana utaishia kuchoka mwili na hata njaa na kuumwa na kichwa
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Mkuu tujuze anakuwaje
 
Hahahah kuna sadali mmoja kino hapo alituwasha na vijiti high grade aisee nilikula stiki moja tu nikasizi kinoma. Ilibidi nimwambie muhuni aisee hii tosha kmmmk.

Yani imagine nshakula Hennesy langu af nkajaladia na bia kuja kuwasha kijiti mzee niliamini kweli kuna watu wanakula raha duniani.
 
Changamoto nyingine bongo,ni kutambua strain za bangi kama ni sativa(inayokufanya uwe active na huvutwa mara nyng asubuh/mchana) na indica ile inayokufanya usizi,unarelax, nzuri kuvuta baada ya mishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…