Kiasili wanawake ni wabnafsi. Je ndivyo walivyoumbwa?

Ukimnyima pesa nae anakunyima penzi sasa???
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Duuuh hi hatareee hii.
Mkuu unaongea kweli au unatuchekesha tu hapa..πŸ˜‚πŸ˜‚
Seriously nilikua nahonga sana.Ngoja nikuambie kitu,kuna baadhi ya watu tulikua tunaona kuhonga wanawake ni sifa mbele ya jamii.Sasa nilipokaribia kufirisika wale mademu wote niliowapa mitaji wakanikazia.Ni mmoja tu ndio alinisaidia,wengine wote zaidi ya kumi walinikazia na hawakutaka hata mazoea kabisa.
 
Binadam kwa asili yake ni mbinafsi. Suala lililopo nikule kuzidisha.

Labda tungepata maana halisi ya ubinafsi
Inaweza kuwa kutaka vyako na vyawenzako uvimiliki wewe.

Hakuna asiependa kumiliki vitu vingi vizuri aidha viwe vyake au vyakupewa. Kinachoacha ubinafsi hauoneshwi zaidi na baadhi ya watu ni kwasababu ya aibu na utashi binafsi wa mtu
Hata hivyo anaedai hana chembe kabisa ya ubinafsi anayokasoro
 
Hapo nimekuelewa mkuu ila jamii ya kike wamezidi kwa ubnafsi.
 
Ahahahahah sasa kwanini ufanye yote haya au ndo harakati za kutaka tunda.
Yote hayo kuhonga ni kipaji . Hivyo sishangai sana πŸ™ŒπŸ™Œ
 
Kama ulipiga mbususu yake kwa muda huo basi kumbe ulilipwa usilalamike
Sikupiga mkuu,nilikua nasubiri tumalize chuo afu nitafute kazi afu ndio nimuoe.Nilipigwa counter attack moja balaa na wadau a.k.a wazee wa migodi kutoka arachuga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…