Kibabage amegoma kubadilika, mbadala wake huyu anatufaa sana aletwe..

Nipo tofauti kidogo mtaalam adambwile ndiye aliyesababishwa yanga kutanguliwa goal ile match ya yanga day kwa uzembe wake. Na match nyingine japo sizikumbuki amekuwa akifanya makosa
Upo OK

Ni andambwile ndiyo alichomesha lile goli sababu ya uzembe wa kuruka alimuangalia tu mpigaji kichwa

Kwahiyo tutafute beki wa kati au gift arudishwe
Andambwile aendelee kucheza nafasi yake mama
 
Huyu kibabage inabidi atafutiwe mbadala wake mapema. Akipanda harudi kukaba kwa wakati. Huko mbele cross zake ndo ovyo kabisa
 
Coach awape nafasi wachezaji wengine
Ampe mechi Farid Musa badala ya Pacome
Ampe dakika Nkane
Kibabage hana hadhi ya kucheza Yanga
 
Huyu kibabage inabidi atafutiwe mbadala wake mapema. Akipanda harudi kukaba kwa wakati. Huko mbele cross zake ndo ovyo kabisa
Yaani sijui haonagi video zake.?
Coach awape nafasi wachezaji wengine
Ampe mechi Farid Musa badala ya Pacome
Ampe dakika Nkane
Kibabage hana hadhi ya kucheza Yanga
Mkuu naona hujaamua kupepesa maneno umenyoosha straight
 
Wakuu.
Ingawa mnaweza kuwa mpo sahihi kwenye hili, lakini napenda kutoa angalizo..

Yanga tunabahati mbaya ya miaka na miaka ya full back ya kushoto! Tangu Keneth Mkapa sijui kama tumeshawahi kupata beki ya kushoto wa kuaminika.

Hao mnaowalilia Sasa tuliwakimbiza sisi wenyewe kwa mapungufu yao!

Lomalisa alishafika mwisho wa career kama Aucho alikuwa hatoi mchango kama mwanzo!

Hiki kipindi Cha kufungwa kimetusaidia kujua uhalisia wa kikosi chetu! Tumejua panapo vuja!
 
Yaani sijui haonagi video zake.?

Mkuu naona hujaamua kupepesa maneno umenyoosha straight
Hao akina Pacome, Azizi, Yao na Baleke ni wachezaji wasiotambua kazi zao
Yao amekosea fitness yake ya mwanzo anaanguka ovyo
Nadhani Eng awateme tu washakuwa mapapai
Kocha awape nafasi zaidi Chama, Farid, Nkane na Kibwana
 
Hukumshuhudia Oscar Joshua na Mwinyi Hajji
 
Hao akina Pacome, Azizi, Yao na Baleke ni wachezaji wasiotambua kazi zao
Yao amekosea fitness yake ya mwanzo anaanguka ovyo
Nadhani Eng awateme tu washakuwa mapapai
Kocha awape nafasi zaidi Chama, Farid, Nkane na Kibwana
Kwanini awateme wote hao mkuu?
 
Upo sawa japo tulishawahi kupata mabeki wazuri pia kama gadiel Michael na mwinyi haji ingawaje hawakukaa sana
 
Unazungumzia tümü gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…