Kibanda cha Bati kwenye kaburi la Hayati Magufuli kinatia aibu

Kila jambo la kiserikali lina utaratibu na mipangilio yake.
Vivyo hivyo, kujenga, kuliremba kaburi na hata kulitembelea.
Siyo lazima na hakuna umuhimu wa kutembelea kwenye kaburi la Hayati Magufuli kwa sasa ambapo halijawekwa vizuri.
Pili, familia yake haipo kule muda mwingi, unaenda kumtembelea nani?
 
Hapa unamwambia makamu wa Rais au unatuambia sisi?
 
Mbona mnakosa vitu vya kufuatilia jamani hilo banda ni la muda badae litabadilishwa acheni uchochezi wapuuzi nyie wakijenga tu mnaanza kulalamika sijui mko vipi?
Hizo taarifa kwamba hilo ni banda la muda umezitoa wapi? Wewe ni nani kwenye serikali unaeweza kutuhakikishia sisi wananchi kuwa hilo ni banda la muda? Je banda la kudumu mtaanza kulijenga lini?
 
It is good for nothing' makaazi mazuri huyajenga mwanadamu mwenyewe akiwa hapa ulimwenguni., that stupid thread ulioandika na kuleta hapa it is nosense, tutende mema na tumuabudu Mola kama alivyotuelekeza ili na sisi tuwe ni wenye makazi mazuri baada ya kuondoka hapa Ulimwenguni.,
 
Duh!!
Naamin familia hiyo.imejifunza mengi sana.
Kama atatokea mtoto wa kurithi tabia za ina ile basi atakua anamatatizo kichwani.
Hakika!! Inaonekana hata familia yake alikuwa anawaendesha kimeno meno
 
Hivi kwanini wameruhusu picha Zipigwe..
Anyway.. Zimepigwa. Kwanini zisambazwe.

Dahh.. Too bad.
 
Mna haraka na kiherehere....tuvute subira tutaona wanachotaka kujenga pale MATAGA hawaaamini ukuu wa Mungu
 
Kulikuwa na shida gani kujenga Banda la tofali permanently,ni zoezi la siku 1 au 2 tofali hazizidi hata 500 hadi waamue kujenga Banda la kufugia Kuku ili
Hapo ndipo anapostahili kutokana ushenzi wake wa kuua na kuumiza watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…