Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mataga wameenda wapi ?Nenda wewe ukafagie!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mataga wameenda wapi ?Nenda wewe ukafagie!
Yeye ameomba kibarua!Mataga wameenda wapi ?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umejibu kwa hasira sana.Nenda wewe ukafagie!
Hizo siku 100 ni kwa mujibu wa sheria/kanuni zipi?Hayo ni maua yamekauka tu, watu waliweka kwakuonesha heshima zao hivyo kaburi lingekua nje yangekua yameanza kupotea lakini kwakua ni ndani basi angalau yakae kwa siku 100 ndo yatolewe.
Hahahaaaa...... Namfungulia fursa bwashee![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umejibu kwa hasira sana.
Kama unaona chafu mchukue mumeo na mke mwezio mkafanye usafi
Mbona hasira! Mmekumbushwa kuwa yule mtu wenu mliyemuweka katika kile kibanda umiza mkafanye usafi basi!Kweli kabisa liende likafagie lenyewe
Hapa unamwambia makamu wa Rais au unatuambia sisi?Kila jambo la kiserikali lina utaratibu na mipangilio yake.
Vivyo hivyo, kujenga, kuliremba kaburi na hata kulitembelea.
Siyo lazima na hakuna umuhimu wa kutembelea kwenye kaburi la Hayati Magufuli kwa sasa ambapo halijawekwa vizuri.
Pili, familia yake haipo kule muda mwingi, unaenda kumtembelea nani?
Hizo taarifa kwamba hilo ni banda la muda umezitoa wapi? Wewe ni nani kwenye serikali unaeweza kutuhakikishia sisi wananchi kuwa hilo ni banda la muda? Je banda la kudumu mtaanza kulijenga lini?Mbona mnakosa vitu vya kufuatilia jamani hilo banda ni la muda badae litabadilishwa acheni uchochezi wapuuzi nyie wakijenga tu mnaanza kulalamika sijui mko vipi?
It is good for nothing' makaazi mazuri huyajenga mwanadamu mwenyewe akiwa hapa ulimwenguni., that stupid thread ulioandika na kuleta hapa it is nosense, tutende mema na tumuabudu Mola kama alivyotuelekeza ili na sisi tuwe ni wenye makazi mazuri baada ya kuondoka hapa Ulimwenguni.,Hii ni aibu kubwa sana kwa serikali. Hivi mmeshindwa kujenga kibanda chenye Hadhi kulizunguka kaburi la Magufuli?
Kwakweli japo sikufurahishwa na matendo mengi ya Marehemu magufuli lakini kumtendea haya sijafurahia.
Wahusika mjitathmini.
View attachment 1784695
View attachment 1784754
Duh!!Wote wamehamia Dar..mke ametulia zake tu masaki anakula bata
Hakika!! Inaonekana hata familia yake alikuwa anawaendesha kimeno menoDuh!!
Naamin familia hiyo.imejifunza mengi sana.
Kama atatokea mtoto wa kurithi tabia za ina ile basi atakua anamatatizo kichwani.
Ha ha haHata kukifanyika usafi malaika wa zamu hawaachi kutembeza Bakora.
Alipaswa kuchomwa moto punguani yuleHata hicho mbona wamemsaidia
Jembe JPM halikupenda makuu likiwa hai na halipendi makuu likiwa kaburini!Hii ni aibu kubwa sana kwa serikali. Hivi mmeshindwa kujenga kibanda chenye Hadhi kulizunguka kaburi la Magufuli?
Kwakweli japo sikufurahishwa na matendo mengi ya Marehemu magufuli lakini kumtendea haya sijafurahia.
Wahusika mjitathmini.
View attachment 1784695
View attachment 1784754
Bwashe na ww umekuwa msaliti[emoji23][emoji23]Nenda wewe ukafagie!
Mna haraka na kiherehere....tuvute subira tutaona wanachotaka kujenga pale MATAGA hawaaamini ukuu wa MunguMkuu,
Ungeuliza swali kwanza hivi:
Je, nani alikuwa mwenyekitui wa kamati ya mazishi ya hayati JPM?
Je, kaburi la hayati JPM liligharamiwa na serikali kuu au srikali ya mkoa wa Geita?
Je, siku kumi za maombolezo kabla hajazikwa tarehe 26/3/2021 tangu tarehe 17/3/2021 zilikuwa hazitoshi kufanya maandalizi ya kaburi hilo na kuwa na hadhi ya Rais?
Je, tatizo lilikuwa gharama au uhaba wa fedha?
Je, kuna mtu alizuia kaburi lisitengezwe kufikia hadhi ya kuzikwa Rais?
Kwanini, mashada ya maua ambayo waombolezaji walikuwa wakiweka simu ya maziko hayajahamishwa na kuhifadhiwa kwa utaratibu wa kueleweka mpaka sasa kiasi inaonesha hayati alizikwa na watu wasiompenda na hawataki kumbukumbu naye tena?
Je, familia ndio ilizuia asijjengewe kaburi lenye hadhi ya Rais ijapokuwa uhai haupo tena?
WITO kwa mamlaka ya NCHI ya JAMHURI ya MUUNGANO wa TANZANIA
1. Nendeni mkajifunze namna bora kaburi la hayati Maalim Seif Sharrif Hamad lilivyojengwa kwa ustadi na usalama kwa kumubukumbu endelevu
2. Makaburi yafuatayo yaingizwe kwenye kumbukumbu ya taifa: Mwalimu Julius Nyerere, Sheikh Abeid Aman Karume, Benjamin William Mkapa, Dk John Pombe Magufuli, Aboud Jumbe Mwinyi, Dk Omar Ali Juma, Edward Moringe Sokoine, Adamu Sappi Mkwawa, Samwel Sitta. Sanamu zao ziwekwe kwenye Uwanja wa mashujaa DODOMA karibu na stendi uya zamani ya mabasi iwe ni sehemu ya utalii
Hapo ndipo anapostahili kutokana ushenzi wake wa kuua na kuumiza watuKulikuwa na shida gani kujenga Banda la tofali permanently,ni zoezi la siku 1 au 2 tofali hazizidi hata 500 hadi waamue kujenga Banda la kufugia Kuku ili