Kibanda cha Bati kwenye kaburi la Hayati Magufuli kinatia aibu

"Mtanikumbuka..."

Kumumisi munamumisi sana.. hayo ya kabuki nani amekuambia kwamba kuna kupelekesha familia za watu na jinsi wanaona kwao iwe hivyo?? Tuliza boli.. kwako utakuta pachafu kupita hayo yaliuokauka..

Heshimu ya watu na yao...
Kajifunze kwanza kiswahili fasaha ndio uje uchangie hoja hapa!mbafuuuuuuuuuu
 
Legacy inalindwa babu
 
Mjengo unaloendelea nyuma ya hilo bati ukiisha mtasaga meno.ni swala la muda tu. Tumeweka kwa wajili ya waombolezaji wanaokuja kila siku, huku ujenzi ukiendelea.

Mtulie sindano itawaangia vizuri njengo ukiisha
Sawa hakuna shida familia itajenga kwa fedha alizokwapua
 
Kila kukicha mnaanzisha thread mpya humu...mkiambiwa mumuenzi kwa vitendo hamtaki....twendeni tukajitolee kusafisha na kujenga maktaba ya kisasa na makumbusho kaburi likiwa ndani...iwe sehemu ya utalii kwa mzalendo namba moja..
Ww ndio umebaki na akili za kufikir hapo mataga
 
Mna haraka na kiherehere....tuvute subira tutaona wanachotaka kujenga pale MATAGA hawaaamini ukuu wa Mungu
Ndiyo tumekusikia! Lakini, status yake ya sasa ni ndani ya banda la Ma ba ti.
 
"Mtanikumbuka..."

Kumumisi munamumisi sana.. hayo ya kabuki nani amekuambia kwamba kuna kupelekesha familia za watu na jinsi wanaona kwao iwe hivyo?? Tuliza boli.. kwako utakuta pachafu kupita hayo yaliuokauka..

Heshimu ya watu na yao...
Dah, mdada uliyejitoa ufaham katika utawala wa magufuli, nakuinea huruma aisee, Mungu ni muweza wa yote
 
Kama Mwinyi alivyopewa zawadi ya Benz,ilikuwa ni upumbavu wa Hari ya juu na matumizi mabaya ya pesa ya umma,hata kulitunza kaburi la JPM ni matumizi mabaya ya pesa ya umma,JPM ana familia yake,yenye ukwasi mkubwa tu wanashindwa nini kutunza kaburi la dingi yao,kwetu wabongo huo mzoga hauna faida Tena,watunze wenyewe
 
Mimi nikifa nizikwe hapa hapa hapa mjini...najua hapatakosa masela wawili watatu wakuja kusafisha kaburi langu..kuliko mkinizika huko SITIMBI
 
Sio familia ni Serekali na Mwenge unaenda kuzimwa pale na kuzindua mosaleam ya hatari

Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
Serikali ya Bi. Mkubwa haishughuliki na mambo ya kipumbavu, umesahau msemo " malipo ni hapa hapa duniani ". Wajerumani hawataki kabisa kumsikia mtu anayeitwa Hitler maana unawakumbusha machungu yaliyowapata. Kumbuka watu wamepoteza wapendwa wao na wanahisi uchungu mkubwa. Wee unaongea nini?
 
Mzee wa miundombinu huyo! Na kweli wasukumu ni wasukuma tu manake siku ile ya mazishi mwili haukushushwa kaburini, watu walidanganywa na uchukuaji wa picha ulikuwa strictly directed kutoonesha ukweli wa mambo. Mtu alizikwa baadaye sana kwa staili ya kisukuma na mambo mengine mengi ya kienyeji.

Wangeacha wazi kuna haters wanaweza ingia humo wakakojolea kaburi.

Kwa hadhi yake wasingeshindwa kujenga kwa nguzo na kuezekwa kwa vigae .lakini hili si kama jiko la kijijini?

Ni bora wasingeweka hayo mabati.

Ujenzi unaendelea bwashee!

Labda kuna ujenzi unaendelea kwa nje, mpiga picha alitakiwa kupiga picha kwa nje pia

Hapa ni kama unabahatisha tuu. Tuombe iwe kweli

Bora angepotelea tu kusiko julikana kama Adolph Hitler! Hii ingewasaidia wafuasi wake kuacha kwenda kumuabudu/kuendelea kumtukuza.

Hivi kuna ulazima gani kujengea bati?au bado wanagopa mabeberu wanaweza kuja iba lile fuvu la kichwa

[emoji1787][emoji1787] mmemtelekeza mzee. Bora mngeacha aisee
 
Wacha kutogambanisha na Mama. Unajua mwenge unazinduliwa kesho na utazimwa Chato? Na kubwa litakuwa ni hilo Kaburi la shujaa wa wanyonge

Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo inatosha, at least inazuia asifukuliwe na fisi. Alikuwa na roho mbaya sana huyu babake Sabaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…