Hivi wale wanaopiga mbinja kila siku kuwa wanaenzi matendo ya mwenda zake na kuonyesha mapenzi yaliyopitiliza wanaliona hili na kulinyamazia?
Lile banda la bati kwenye kaburi mbona linatia aibu? Yaani halifanyiwi usafi kiasi imekuwa kama zizi la mbuzi?
Yapo mashada ya maua ambayo yaliwekwa siku ya mazishi miezi miwili iliyopita na hivi sasa yamekauka na kuwa uchafu ulio lundikwa kaburini.
Je, hakuna mtu wa kutunza eneo hilo au ni dharau tu?
Wahusika na familia wajitafakari hata kama walikuw hawampendi.
View attachment 1786719