Mama Jenet yuko wapi nyumba ya mzee imechakaa hivi kwa muda mfupi, hebu semeni huyu mama kama kuna mahali mliwahi kumuonaHii ni aibu kubwa sana kwa serikali. Hivi mmeshindwa kujenga kibanda chenye Hadhi kulizunguka kaburi la Magufuli?
Kwakweli japo sikufurahishwa na matendo mengi ya Marehemu magufuli lakini kumtendea haya sijafurahia.
Wahusika mjitathmini.
View attachment 1784695
View attachment 1784754
Mama yupo masaki anapumzika. Miaka mingi ilikuwa na mambo mengi.Mama Jenet yuko wapi nyumba ya mzee imechakaa hivi kwa muda mfupi, hebu semeni huyu mama kama kuna mahali mliwahi kumuona
Kuna mila za kichawii zilikuwa zinafanyika siku ya mazishi.Mzee wa miundombinu huyo! Na kweli wasukumu ni wasukuma tu manake siku ile ya mazishi mwili haukushushwa kaburini, watu walidanganywa na uchukuaji wa picha ulikuwa strictly directed kutoonesha ukweli wa mambo. Mtu alizikwa baadaye sana kwa staili ya kisukuma na mambo mengine mengi ya kienyeji.
Hii ni aibu kubwa sana kwa serikali. Hivi mmeshindwa kujenga kibanda chenye Hadhi kulizunguka kaburi la Magufuli?
Kwakweli japo sikufurahishwa na matendo mengi ya Marehemu magufuli lakini kumtendea haya sijafurahia.
Wahusika mjitathmini.
View attachment 1784695
View attachment 1784754
Wewe ni msemaji wa Jiwe?Jembe JPM halikupenda makuu likiwa hai na halipendi makuu likiwa kaburini!
Kabisa Kabisaa...Hii ni aibu kubwa sana kwa serikali. Hivi mmeshindwa kujenga kibanda chenye Hadhi kulizunguka kaburi la Magufuli?
Kwakweli japo sikufurahishwa na matendo mengi ya Marehemu magufuli lakini kumtendea haya sijafurahia.
Wahusika mjitathmini.
View attachment 1784695
View attachment 1784754
SawaMatendo yake hayakufa
Mama saivi anapumua kwa raha ... Incase u ddnt nouu.Mama Jenet yuko wapi nyumba ya mzee imechakaa hivi kwa muda mfupi, hebu semeni huyu mama kama kuna mahali mliwahi kumuona
Na wewe ni mwanafamilia... Pole sana.Bado kuna maua ya kumbukumbu kwa familia yake. Ingawa wewe ulifurahia kufa kwake elewa pia kuwa familia yake ilihuzunika.
Sio sheria wala kanuni ni ubinadamu tuHizo siku 100 ni kwa mujibu wa sheria/kanuni zipi?
Ulitakaje?Wewe ni msemaji wa Jiwe?
wangemjengea mabanzi tuHata hicho mbona wamemsaidia
Sasa kama ni ubinadamu kwanini usiseme siku elfu moja (1000) wewe ukasema 100?Sio sheria wala kanuni ni ubinadamu tu
Exactly, ina maana vijana wake hawawezi kufanya lolote aisee?Wameachia Serikali...
Hii nchi ina watu wa ajab sana
Mtu ukipata previledge vitu vyote ni serikali, hata sedan serikal ndio unanunua... huku shule za kata hata haijawah kuona spatula