Kibanda cha Bati kwenye kaburi la Hayati Magufuli kinatia aibu

Hata ka' ni chuki zenyewe kama ni hizo basi wanaJf tunafeli pakubwa.

Hivi mazishi ya viongozi wa kitaifa Tz baada ya uhuru yameanza kwa Magufuli?

Kwa Nyerere baada ya maziko ilikuwaje, kwa Mkapa baada ya maziko ilikuwaje?

Ninavyofahamu, kutokana na mahitaji ya familia ama wosia, baada ya mazishi hufuatiwa na maandalizi ya ujenzi wa nyumba ya kudumu itakayolihifadhi kaburi ndani.

Kibanda cha bati ni maandalizi ya mwanzo yavujenzi wa nyumba ya kudumu.

Tuache kuanzisha thread kwa ajili ya kudhalilisha viongozi
 
Kwa uelewa wangu wa ujenzi ni kama kuna ujenzi unaendelea kwa nje na hizo bati zimejengewa ili ujenzi usiharibu wala kuchafua kaburi
Ukiangalia picha jamaa aliyevaa shati nyeupe nyuma ya makamu as Rais Tofali zinaonekana,

Hiyo Inasupport statement yako.
 
Sijaona udhalilishaji huu ni uhalisia na picha zimepigwa sasa udhalilishaji uko wapi hapo?
 
Aliyepiga picha hana maadili.
Ndio maana ck ya mazishi hamukuona kitu kilichoendelea.
Si kila kitu chakurusha,Uhuru usio na mipaka.Nenda kwa mkwawa kapige picha bila Jodi then zirushe.
 
Si kazikwa na ngozi za wanyama?? Na wanyama walikuwa wanakaa kwenye mabanda ya bati au mabanda gani....???
 
Kaburi halieleweki, mashada yamekauka utunzanji hakuna kaburi la aliyekuwa mkuu wa nchi kweli wanaweka tuubao juu hii ni dharau bora lingekuwa wazi tu
 
Zile tilioni mbili zinafanya Kazi gani
 
Yoote ya duniani hii ni kujilisha upepo laiti kama ungejua kesho yake ni heri umtumikie Mola wako kiburi, utajiri,majivuno yote ni upepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…