Kibanda cha Bati kwenye kaburi la Hayati Magufuli kinatia aibu

Ayo mataji tu ata kuyatoa wameona kazi doh....ina onesha adi wana familia hawaendi kabsa wamesha jichimbia dar
 
Ni bora yeye wamemjengea hilo banda kama la mbwa kwasababu yeye alipoteza watu wengi sana.
 
Maisha haya yani Jamaa kupita kote barabarani na mavifaru na magari yenye minara Leo ndio ameishia hapo??
na hakuna ajuaaye pengine ukute yupo kuzimu anateswa na shetani na mapepo wakati huku tulio hai tunajua kaenda peponi. Tulio hai tumche Mungu na kutenda mema maana bado tuna nafasi ya kujirekebisha na kwenda peponi Mungu atusaidie kwa kweli👋👋👋👋👋👋
 
Wangeacha wazi kuna haters wanaweza ingia humo wakakojolea kaburi.
LOoooh, kuna majibu ambayo hayategemewi kabisa!

Siyo swala la kibanda pekee. kwa kiongozi aliyeliliwa vile, pamoja na mabaya yanayomhusu; lakini mwonekano katika eneo hilo ulivyo kwa sasa ni wa kusikitisha.

Hata hayo maua yaliyokaukiana humo hayastahili kabisa kuwemo humo.

Hata ndugu tu, wangeweza kujitolea kadri wawezavyo kulipa mwonekano wa hadhi kaburi hilo.

Hii inatoa tafsiri pana sana kuhusu maisha ya Magufuli.
 
Mlitafuta umbea kipindi cha msiba mkaishia kupata picha ya ukuta sasa hivi mmegeukia kaburi,fuatilieni makaburi ya Babu zenu na ndugu zenu.
 
Hii noma sana, hela zote alizokwapua mwendazake enzi za uhai wake mmeshindwa kumjengea Banda la maana kwenye kaburi lake??

Au ni masharti fulani nini tuambizane basi
 
Huu utawala watendaje wengi walikuwa na vinyongo sana , nadhani sasa ndio wanalipa visasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…