Hakika mkuu na haya yote ni juhudi zetu wana cdm ambao kiuhalisia ndiyo chama pekee cha upinzani kilichopo nchi kwa sasa.Ni jambo jema kwa kuwa Rais ameachana na siasa za mitulinga. Tumefikia hatua hii kwa jasho na damu, tumelipa gharama hapa tulipofika " alisema kiongozi huyo.[emoji1534][emoji1533]
Hao ni waganga njaa na wengi wao ni wafuasi wa jiwe ambaye hakutaka tanzania itawaliwe kwa utashi wa wananchi.Narudia tena, magu hakuwa mwanasiasa bali limbukeni wa madaraka. Kwa sasa wapinzani wanataka siasa za kistaarabu maana dalili wangalau zipo. Wapinzani walipoenda kutaka maridhiano kwenye sherehe ya uhuru kule Mwanza, hilo dubwasha lako lilitaka? Weka uzi hapa uliosema kuhusu ujio wa Lowassa kama sio bendera fuata upepo. Ww mwenyewe umejiunga hapa jukwaani 2020, sasa hayo ya Lowassa uliyaongelea wapi na nani?
Unachokiongea hapa ni hadithi zilezile za kuokota huku mitandaoni kwamba chama kinadandia kila hoja wala hujui kinasimia nini. Nikikuuliza kama umesoma sera zao wala hujasoma, nikikuuliza kama umesoma ilani yao wala hujasoma. Bali unashinda hapa jukwaani kuukoteza maneno ya kila kada wa ccm na ww ndio unajengea hoja humo humo. Ni hivi, ww huna ujualo zaidi ya kupiga siasa za kichovu hapa jf.
Wewe sisi tumekua humu tokea enzi za akina mwanakijiji, mtoto wa mkulima Mm1, Wewe unaongelea 2000,kwa tarifa yako me nimeshiriki chaguzi zote Nchi hii, tokea tunampigia kura mwinyi na giza,amekuja akina mrema tukajiunga nao,akuna mwanasiasa nisiye mfahamu hapa NchiniNarudia tena, magu hakuwa mwanasiasa bali limbukeni wa madaraka. Kwa sasa wapinzani wanataka siasa za kistaarabu maana dalili wangalau zipo. Wapinzani walipoenda kutaka maridhiano kwenye sherehe ya uhuru kule Mwanza, hilo dubwasha lako lilitaka? Weka uzi hapa uliosema kuhusu ujio wa Lowassa kama sio bendera fuata upepo. Ww mwenyewe umejiunga hapa jukwaani 2020, sasa hayo ya Lowassa uliyaongelea wapi na nani?
Unachokiongea hapa ni hadithi zilezile za kuokota huku mitandaoni kwamba chama kinadandia kila hoja wala hujui kinasimia nini. Nikikuuliza kama umesoma sera zao wala hujasoma, nikikuuliza kama umesoma ilani yao wala hujasoma. Bali unashinda hapa jukwaani kuukoteza maneno ya kila kada wa ccm na ww ndio unajengea hoja humo humo. Ni hivi, ww huna ujualo zaidi ya kupiga siasa za kichovu hapa jf.
Chadema ndio walikuwa waganga njaa, Maana kila uchaguzi walikuwa wanakataa kiongozi aliyechaguliwa eti wameibiwa kura, Sasahivi mmeona mabwana wenu Wazungu wamewasusa,ndio mnasema eti mnataka siasa za usitarabu,kwani ninani aliyemtuma Mbowe abwatuke maneno ya kejeli pale mwanza,akizani Samia hatakuwa mwepesi,Samia kamkomesha Mpaka alivyoramba miguu ya Samia,alivyotoka hapo eti tunataka kufanya siasa za kistarabu,kwani tokea mwanzo ninani aliwazuia kufanya hizo siasa?Hao ni waganga njaa na wengi wao ni wafuasi wa jiwe ambaye hakutaka tanzania itawaliwe kwa utashi wa wananchi.
HahmBila shaka wewe utakuwa kama sio Polepole basi utakuwa Musiba. Da!! Mnatia huruma sana
Wewe sisi tumekua humu tokea enzi za akina mwanakijiji, mtoto wa mkulima Mm1, Wewe unaongelea 2000,kwa tarifa yako me nimeshiriki chaguzi zote Nchi hii, tokea tunampigia kura mwinyi na giza,amekuja akina mrema tukajiunga nao,akuna mwanasiasa nisiye mfahamu hapa Nchini
Sasa nu rasmi tunaelekea siasa za Ulaya na Marekani.
Siasa za maendeleo. Siasa za kistaarabu.
Wanamkosea Mzee wa watu kumuwazia vibaya.Mkuu wachana na hao kenge kwenye msfara wa mamba
Hakuna lolote, Afrika toka lini ikawa na siasa za kistaarabu? Marekani kwenyewe unakosema hakuna siasa za kistaarabu sembuse Afrika?Sasa nu rasmi tunaelekea siasa za Ulaya na Marekani.
Siasa za maendeleo. Siasa za kistaarabu. Zile siasa za kitafutana kuuana, kutekana, kufungana na kufilisiana mali Mh Rais Samia ameona hazina tija kwa taifa.
Akiongea na Wasikilizaaji ktk Mtandao wa maongezi wa Club House Mh Makamu Mwenyekiti Chadema Tundu Antiphas Lissu ameungi mkono jambo zuri alilofanya Mh Freeman Mbowe Mwenyekiti wa Chama hicho kuwa ni jambo jema.
Ni jambo jema kwa kuwa Rais ameachana na siasa za mitulinga. Tumefikia hatua hii kwa jasho na damu, tumelipa gharama hapa tulipofika " alisema kiongozi huyo.
Aliongeza kuwa Mbinu na mikakati iliyotumika kuishi wakati za awamu ya tano haiwezi kuzaa matunda wakati wa awamu ya sita kwani wakati huo tuliamua kubadilika kwa ajili ya Individual survival.
Jambo hili limeungwa mkono na wadau mbali mbali wa siasa na watanzania woote wakidai kuwa sasa tunaelekea Tanzania Mpya.
Wito kwa vyombo vingine vya serikali viige mfano mwema wa Rais Samia.
Wikendi njema
Hakika hao ni wale wasiyo itakia mema nchi yetu maana kwao migogoro ndiyo wakati wao wa kujinufaishaWanamkosea Mzee wa watu kumuwazia vibaya.
Angetaka kuwauza basi hata asingehangaika kunyanyasika namna ile.
Hutaki kajinyongeHakuna lolote, Afrika toka lini ikawa na siasa za kistaarabu? Marekani kwenyewe unakosema hakuna siasa za kistaarabu sembuse Afrika?
Safari hii nyinyi chawa wa sukuma gang mtakufa njaa shenziChadema ndio walikuwa waganga njaa, Maana kila uchaguzi walikuwa wanakataa kiongozi aliyechaguliwa eti wameibiwa kura, Sasahivi mmeona mabwana wenu Wazungu wamewasusa,ndio mnasema eti mnataka siasa za usitarabu,kwani ninani aliyemtuma Mbowe abwatuke maneno ya kejeli pale mwanza,akizani Samia hatakuwa mwepesi,Samia kamkomesha Mpaka alivyoramba miguu ya Samia,alivyotoka hapo eti tunataka kufanya siasa za kistarabu,kwani tokea mwanzo ninani aliwazuia kufanya hizo siasa?
Raha tupuView attachment 2147937
Siasa muruwaa muruwaa!! Mungu atupe nini.
DuuhLimemshuka kamanda mssssengerema aliyechoka Kamanda Asiyechoka
Limemshuka kamanda mssssengerema aliyechoka Kamanda Asiyechoka
Acha hizo ndugu yangu. Kuwa mkweli wa nafsi yakoHakuna lolote, Afrika toka lini ikawa na siasa za kistaarabu? Marekani kwenyewe unakosema hakuna siasa za kistaarabu sembuse Afrika?
Wengi sana walikuwa wnaanufaika. Sasa wanaona watakosa kaziHakika hao ni wale wasiyo itakia mema nchi yetu maana kwao migogoro ndiyo wakati wao wa kujinufaisha
Ndugu yangu sisi tuliondoka humu baadala ya Mbowe kuuza chama kwa Lowassa,tukaamua kuendelea na mambo mengine tu, Sasahivi tuigia humu kiobi tu,na kuna wwengi hawajawahi kurudi humu,kisa upumbavu aliotufanyia mbowe,hata hivo kutooekana ktk jamvi Sio kwamba sijui siasa na wanasiasa wa Tanzania BlooNasema hivi, huna ujualo zaidi ya kuwa bendera fuata upepo. Id yako ni ya 2020, kama una multiple id hiyo ni juu yako. Hao unaowataja sio moderator wa mijadala humu ndani. Isitoshe hata sijui unaongea nini. Hao wanasiasa unaowataja sio kiwango cha uelewa wa siasa. Unaweza kuwa uliwasikia wakiwa wanatajwa, lakini hiyo haimaanishi kuwa unawajua, na ama una uelewa wa siasa. Ingekuwa unajua siasa usingekuwa bendera fuata upepo wa maneno mepesi ya wanaccm huku jukwaani.
Waanzilishi wa siasa za uadui hao hao wanaliliaji wa siasa za amani. Aiseee wanasiasa wanafiki