fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
Ongeza juhudi kwenye kujifunza tofauti ya umoja na wingi.huu ni ukweli wakuu hii ni nyimbo ambayo hata ukiiskia tu hisia za kulia inakujia hii nyimbo ni nyimbo ambayo haitowahi kutokea kwenye muziki wa bongo flava [emoji119]🥲 hakuna na haitowahi kutokea nyimbo ya kuhuzunisha kama hii
Angekuwepo rafiki nisingewaza rafiki kipenzi ninaye mpendaHatari sana, na ya yule alieimba angekuwepo rafiki nisingewaza!
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
1.KamandaHatari sana, na ya yule alieimba angekuwepo rafiki nisingewaza!
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
R.I.P Mama yako & R.I.P Jeby(mtunzi na muimbaji wa hiyo ngoma).Angekuwepo rafiki nisingewaza rafiki kipenzi ninaye mpenda
Angekuwepo rafiki nisingewaza rafiki kipenzi ninaye mpenda
Ayupo Tena Dunia swaiba niliye mpenda kwa kumoyo Swaiba

Na nukuu amaneno yake busara zake alikuwa mtu wa watu uyu mtu
Nuru aina mwanga mbele giza rafiki niliye mpenda amenitoka
Nilikuwa na marafiki sikatai lkn rafiki wa kwel bye bye
Akufa kwa ngoma donsalale siku yake ilisha fika pema alale
Uzuni isiyo kiwisha moyoni nashika tama sioni
Ananijia ndotoni swahiba ananiambia nisikonde
Rest in peace Mama
kabsa ile nayo inatianhuzuni ila kwa kamanda kaka napiga saluteHatari sana, na ya yule alieimba angekuwepo rafiki nisingewaza!
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
pole sana mkuu RIP MAMAAngekuwepo rafiki nisingewaza rafiki kipenzi ninaye mpenda
Angekuwepo rafiki nisingewaza rafiki kipenzi ninaye mpenda
Ayupo Tena Dunia swaiba niliye mpenda kwa kumoyo Swaiba
Ayupo Tena Dunia swaiba niliye mpenda kwa kumoyo Swaiba
Na nukuu amaneno yake busara zake alikuwa mtu wa watu uyu mtu
Nuru aina mwanga mbele giza rafiki niliye mpenda amenitoka
Nilikuwa na marafiki sikatai lkn rafiki wa kwel bye bye
Akufa kwa ngoma donsalale siku yake ilisha fika pema alale
Uzuni isiyo kiwisha moyoni nashika tama sioni
Ananijia ndotoni swahiba ananiambia nisikonde
Rest in peace Mama
hilo sio lengo la uzi mkuuOngeza juhudi kwenye kujifunza tofauti ya umoja na wingi.
Wimbo Vs Nyimbo.
Ongeza Dudubaya - Nimeondoka na Matonya - Dunia mapito1.Kamanda
2.Barua
3.Maji ya shingo
4.Rafiki-Jeby
5.Tutakukumbuka -GK
Dah zamani kulikua na ngoma bwana yaani huwezi peleka mbele ngoma yoyote ikipigwa hit tupu.
Hatari sana, na ya yule alieimba angekuwepo rafiki nisingewaza!
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Naye pia hayupo.Angekuwepo rafiki nisingewaza rafiki kipenzi ninaye mpenda
Angekuwepo rafiki nisingewaza rafiki kipenzi ninaye mpenda
Ayupo Tena Dunia swaiba niliye mpenda kwa kumoyo Swaiba
Ayupo Tena Dunia swaiba niliye mpenda kwa kumoyo Swaiba
Na nukuu amaneno yake busara zake alikuwa mtu wa watu uyu mtu
Nuru aina mwanga mbele giza rafiki niliye mpenda amenitoka
Nilikuwa na marafiki sikatai lkn rafiki wa kwel bye bye
Akufa kwa ngoma donsalale siku yake ilisha fika pema alale
Uzuni isiyo kiwisha moyoni nashika tama sioni
Ananijia ndotoni swahiba ananiambia nisikonde
Rest in peace Mama
YEYOOOOKamandaaaaaa........
Ongeza1.Kamanda
2.Barua
3.Maji ya shingo
4.Rafiki-Jeby
5.Tutakukumbuka -GK