Kiburi cha Hamas na Ujinga wa wapalestina vinaelekea kuwaangamiza kabisa huko Gaza

sio kiburi ni haki yao na sikia nikwambie kuwa hakuna anayeweza kuwamaliza hamas
Haya endelea kuwapa kiburi hao Hamas na kuwapongeza kwa ujinga hao wapalestina lakini usiendelee kulalamika na kulia lia wakiendelea kupukutishwa kama wadudu waliopuliziwa dawa.
 
Kama ushindi wa Hamas na wapalestina ni kuonewa huruma na dunia huku wakizidi kufa na kujeruhiwa kila siku basi huo ni UJINGA WA KIWANGO CHA JUU.

Kama wapalestina wanaona hichi kinachowapata sasa walikihisi kitatokea na wakawa tayari kukipokea, kwanini sasa wanalia, wanahuzunika na kuteseka hivyo? Kwanini wasitulie tu?
 
Mnalazimisha ya Suala la South Africa kuwa sawa na Palestina wakati ni vitu viwili tofauti.

Vita ya south Africa ilikuwa ni vita vya ubaguzi wa rangi kwa 100%. Wakati vita ya sasa ya Gaza ni vita vya kigaidi kwa 100%. Haiwezekani kikundi cha wanamgambo wa Hamas kivamie nchi ya Israel, kuteke, kuua na kujeruhi watu halafu Israel ikae kimya.
 
Ndivyo wazee wa akbar wanavyotaka.Kwao kuua raia wa Israel ni sawa ila si wao kuuwawa.Walitaka Israel afanyeje,akalalamike UN?
 
Je unajua kikundi cha Hamas kiliasisiwa na taifa la Israel
😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌
MOSSAD WA BUZA...

Ok...JF kuna watu wazito...inawezekana wewe ni Agent wa Mossad, so..unajua habari za ndani, na inawezekana ulikuwepo kwenye vikao vya Mossad vilivyounda HAMAS.
 
Umeamua kuchagua upande,

Anachofanya ISRAEL hakikubaliki na dunia yote kwa ujumla, na iko siku watalipia haya watendayo,lini?,"inabaki kuwa brackets"
Kwenda zako na porojo za abunwasi? Kwahiyo unashabikia shambulio la kigaidi la kushtukiza la kuwaua waisrael? Israel inachokifanya ni sahihi kabisa! Gaidi hana rafiki! Anaweza kukugeuka na kukudhiru hata wewe muda wowote ndo maana nchi za kiarabu zimemwacha apigwe!
 
Kwani makaburu waliondoka south Afrika?
Makaburu wapo na bado wanaitawala South Afrika. Ni suala la muda tu kuichukua tena south na kuiongoza kisiasa.
 
Wangelipiza hicho kisasi kwa kiasi walichochokozwa, sasa kisasi kimekuwa zaidi ya na vile walivyochokozwa. .
Huo mchezo wa kitoto hata mimi sifanyi, yan unikute niko na buznes zangu ,unikere, niache nachofanya kwanujinga wako halaf niki deal na wewe unataka unnipangie ni deal kidogo kama wewe ulivyofanya. 🤣🤣. Ili uje inichokoze tena and cycle begins agains??
 
Umeamua kuchagua upande,

Anachofanya ISRAEL hakikubaliki na dunia yote kwa ujumla, na iko siku watalipia haya watendayo,lini?,"inabaki kuwa brackets"
siku gani wewe? Hamas ni wapuuzi walianzisha vita kijinga sana huku wakijua hawana uwezo wa kushinda vita hiyo, kama walidanganywa na mataifa fulani waanzishe vita watasaidiwa kuipiga israeli hiyo imekula kwao. Israel iko tayari kupambambana na taifa lolote duniani litakotia pua yake pale gaza kuisaidia hamas. Wapalestina bora wawakatae hamas tu watawaangamiza badala ya kuwaokoa na vita kati yake na israel
 
Israel wameshaunganisha mipira ya kupump maji ya bahari ya pwani ya Gaza, wanataka kujaza tunnels/mahandaki. huku juu wamekaa kusubiri panya atakayechomoza kichwa akitokea kwenye shimo ili wajue wanafanya naye nini. halafu hamas walichofanya ujinga, waliitangazia dunia kwamba mle kwenye mashimo kuna HAMAS tu hakuna raia, hivyo israel akijaza maji mle hakuna atakayesema Israel anaua raia waliojificha kwenye mashimo kwa kuwajazia maji.
 
Hawakuangamizwa kwa miaka 75 sasa wataangamizwa leo?

Jwani kupigwa na kuuliwa Wapalestina kumeanza leo?

Wacha mashaheed wapigane mpaka dakika ya mwisho.

Ni heri ufe unapigana kishujaa kutetea ardhi yako kuliko kufa kishoga.
 
Hawakuangamizwa kwa miaka 75 sasa wataangamizwa leo?

Jwani kupigwa na kuuliwa Wapalestina kumeanza leo?

Wacha mashaheed wapigane mpaka dakika ya mwisho.

Ni heri ufe unapigana kishujaa kutetea ardhi yako kuliko kufa kishoga.
Only Jews remained Jews for 2000 years in exile,

Wakawekeza kwenye Elimu, Biashara, Mabank, Sayansi na kila kitu wakawa richest na ushawishi, Wapalestina wanaamini Watakufa mashahidi wapewe mabikira 72
 
kaka
1. unawafahamu vizuri hawa watu na mafundisho yao ya "majini wazuri na majini wabaya" ?!
2. Unafahamu ahadi waliyo ahidiwa endapo watajitoa kufa ?! (Wameahidiwa kum.a ati na mbo.o isiyolala peponi na mifereji ya pombe) na wanavyopenda kum.a unadhani hata wangeambiwa watauawa wote kwa kukaangwa kwenye mafuta, amimi bado tukio la oct 7 wangetekeleza.

ujuha na ujinga ni viungo muhimu katika dini ya mudi
 
Umeamua kuchagua upande,

Anachofanya ISRAEL hakikubaliki na dunia yote kwa ujumla, na iko siku watalipia haya watendayo,lini?,"inabaki kuwa brackets"
kwamb ulitaka wafanyaj baada ya lile tukio la 7 oct ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…