Sinimesha kukula !Hivi kwa nini huwa mkishatuonja huwa mnahama kuelekea I love you too? Ni kwamba mnakuwa hamjafikishwa, humujitaji tena, au ni ego tu ya atanitafuta?
Why umsumbue mtoto wa watu !? If you hate revenge try to be real ,U make me hate men... I hate revenge kwenye mapenzi
I hate fake people
Kama hakuwahi kumsumbua he was suppose to love youI once loved a person truly japo kwake yeye mwanzoni haikuwa that serious ila badae akajua and bond tuliyoweka haivunjiki Hadi kesho japo haikuwa meant Tuoane. Hadi kesho amekuwa rafiki mzuri sana.
Zingatia kiporo hatupashi.
Love people unconditionally
Soma between lines utanielewaBwege π
Nimeelewa that's why nimechekaSoma between lines utanielewa
Are u having something personal....Why umsumbue mtoto wa watu !? If you hate revenge try to be real ,
Sio mambo ya kusumbuana sumbuana utadhani mafwele ana apologize USA embassy ili aweze kuondolewa ban ya kwenda USA
Hiyo inakuwa sio sawa , Mtu mzima umependwa then una ombwa Chiu lakini haitoki mpaka tuzungushane kama vitoto vya shule like seriously!?
We loved each other truly na sikuwahi kumsumbua kuna mazingira yalituweka mbali kill mtu akashika njia yake Ila sasa imebaki heshima na kusaidiana kwenye shida na rahaKama hakuwahi kumsumbua he was suppose to love you
You gals mnapaswa kubadilika mapenzi ya kusumbua sumbua wanaume Yana umri wake mwanaume akishafika 30+ kichwa chake kina kuwa na mambo mengi hawezi kukaa na ku- intertain ujinga if anajitambua never
Kiburi ni tabia ipo sana,hata vitabu vitakatifu na hadithi za mababu zetu zimeongelea sana kuhusu kiburi, na kiburi mara nyingi ndio anguko la watu,na watu wengi wakishaona una kiburi wanakaa mbali na wewehana kiburi ila hakupendi mwanetu, muache aende
Tatizo la rafiki yangu cacutee et al ni kujiona wapo sahihi kila mara. Ukimwambia Ukweli, anawaka. Sana sana unakaa kimya mwanaume. I wish ningemtolea mfano wake binafsi, lakini as a lady, utakuwa ni ugomvi tu. Tuyaache hayoNimeelewa that's why nimecheka
Nope just a comment, naanzaje kukubuly mtoto mzuri , wakati Mimi mwenyewe ukinipa sikatai ππAre u having something personal....
Who told u I am not real?
Me kama nakuelewa tunaenda kikweli kweli sawa tu
Yeah watu wazima always tunaishi hivyoWe loved each other truly na sikuwahi kumsumbua kuna mazingira yalituweka mbali kill mtu akashika njia yake Ila sasa imebaki heshima na kusaidiana kwenye shida na raha
Sina nipo nakusubiri wewe unayeelewekaπHaina noma mwanetu endelea kujiamlia mambo maana mpaka sahii naamin huna mume au mchumba anaeeleweka...π
Hee kumbe we were mkaka? Sasa uliposema ya niooookoo siku oleπππNope just a comment, naanzaje kukubuly mtoto mzuri , wakati Mimi mwenyewe ukinipa sikatai ππ
Hahaha Sasa siutani tu wengine tupo humu kuhave some funny ππHee kumbe we were mkaka? Sasa uliposema ya niooookoo siku oleπππ
Hadi nimechapia nkaandika ole badala ya ile πππHahaha Sasa siutani tu wengine tupo humu kuhave some funny ππ