change formula
JF-Expert Member
- Sep 8, 2020
- 729
- 1,559
Naona umedemka! Shauli yako!! Mimi sikai karibu na washenzi uwa nawavunja migongo kwa kuwainamisha! Wewe jipendekeze tu!Pumbavu mkubwa wewe. Umeandika ujinga wa hali ya juu. Mnahangika na kujidharirisha humu JF kwa upuuzi na upumbavu wenu.
Kila la kheri Yangaaaa.. Makolo lolote liwakute
Yaani Simba ameingia robo fainali champion's league mara nne! Amecheza robo fainali AFL mara moja! Aje afundishwe na timu ambayo imeingia robo fainali baada ya miaka 25? Kweli uko yanga wenye akili ni wawili tuporojo za vijiweni hizi
badala ya kujifunza wanafanyaje umatafuta kichaka cha kujificha
Majini kasema mayele,Kila siku sababuu mara TigonPesa mara Majinii hamuelwekiiii
Kuna watu duniani mnatafuta sifa za kuwaletea matatizo. Usioni umejificha sana humu. Utapatikana tu. Hapa unatafuta sifa za kipuuzi,Japo kichwani uko empty lakini utetengenezwa hivyo hivyo unyooshe maelezoSiku mamlaka za soka zikisimama imara kushughulika na mbinu za yanga shughuli yao itaishia hapo!
Hakuna siri kuwa yanga wanatumia dawa za kusisimua misuli zilizokatazwa michezoni! Nina ushahidi wa ilo kwa asilimia mia moja!
Nilipata uhakika wa ilo kwenye mechi moja iliyofanyika mkoani,hotel yanga waliofika nami nilifikia hapo kwenye shughuli zangu, niliona kwa macho yangu mabomba mengi ya sindano yaliyotumika yakienda kutupwa.
Katika udadisi wangu nilimuuliza mfanyakazi mmoja wa hotel hio hayo mabomba ya sindano yaliyotumika yaliyokuwa kwenye mfuko ni ya kazi gani? Akajibu kuwa amepewa na mmoja wa viongozi wa timu ya yanga akachome moto!
Nikapata jibu kuwa hawa jamaa wanatumia mbinu zilizokuwa zinatumiwa na Kunguru wa Lubumbashi kwa muda mrefu,nikawaza yule CEO wao ndio master mind wa hii michezo michafu maana aliwahi kuwa kiongozi pale Lubumbashi.
Mbio za sakafuni zina mwisho huu ujanja na usamjo wa viongozi wa yanga utafika mwisho kwa aibu kubwa.
Huyo unatafuta sifa tu za kijinga kwa Jambo ambalo amelitunga tu mwenyewe ili kujaribu kupata sifa. Hajui madhara yake kwa hiyo lugha yake. Na hajui chochote kuhusu alichokiongea,ila anasikia tu.Dawa za kusisimua misuli ni vidonge tu na wala hawatumii mabomba ya sindano CAF wana jukumu la kupima wachezaji wote na pia wakiwa na mashaka na mchezaji yeyote anaitwa na kwenda kupimwa kwenye maabara yao..unaona wachezaji wa Yanga wamechoka mpaka kupiga V pass wanashindwa mpaka kutolewa unazungumzia dawa inaonekana hakuna kitu unajua kuhusu mpira na pia hizi Timu hazikai na wageni tofauti Hotel moja hata iweje ndio maana wana book mapema kwa hilo utakua umedanganya kawatafute wengine sio hapa kwa watu wa Mpira..
Kwahiyo sio majini tena ni sindano? Maumivu yakizidi muone daktariIlizuka hiyo hoja kwamba walikuwa wanamdunga Mayele Sindano,sasa yuko Pyramids ameflop! Kuna uwezekano wa hizo tuhuma?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbumbumbu akiwa kwenye next level ya utaahiraSiku mamlaka za soka zikisimama imara kushughulika na mbinu za yanga shughuli yao itaishia hapo!
Hakuna siri kuwa yanga wanatumia dawa za kusisimua misuli zilizokatazwa michezoni! Nina ushahidi wa ilo kwa asilimia mia moja!
Nilipata uhakika wa ilo kwenye mechi moja iliyofanyika mkoani,hotel yanga waliofika nami nilifikia hapo kwenye shughuli zangu, niliona kwa macho yangu mabomba mengi ya sindano yaliyotumika yakienda kutupwa.
Katika udadisi wangu nilimuuliza mfanyakazi mmoja wa hotel hio hayo mabomba ya sindano yaliyotumika yaliyokuwa kwenye mfuko ni ya kazi gani? Akajibu kuwa amepewa na mmoja wa viongozi wa timu ya yanga akachome moto!
Nikapata jibu kuwa hawa jamaa wanatumia mbinu zilizokuwa zinatumiwa na Kunguru wa Lubumbashi kwa muda mrefu,nikawaza yule CEO wao ndio master mind wa hii michezo michafu maana aliwahi kuwa kiongozi pale Lubumbashi.
Mbio za sakafuni zina mwisho huu ujanja na usamjo wa viongozi wa yanga utafika mwisho kwa aibu kubwa.
Hata wewe!!Ilizuka hiyo hoja kwamba walikuwa wanamdunga Mayele Sindano,sasa yuko Pyramids ameflop! Kuna uwezekano wa hizo tuhuma?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo Chief Simba kafika mara zote hizo nao huwa wanadunga sindano?Yaani Simba ameingia robo fainali champion's league mara nne! Amecheza robo fainali AFL mara moja! Aje afundishwe na timu ambayo imeingia robo fainali baada ya miaka 25? Kweli uko yanga wenye akili ni wawili tu
Nadhani kwa heshma viongozi wa Yanga wapite hapa jukwaani na wathibitishe tuhuma hii kama ni kweli au laa!Kuna watu duniani mnatafuta sifa za kuwaletea matatizo. Usioni umejificha sana humu. Utapatikana tu. Hapa unatafuta sifa za kipuuzi,Japo kichwani uko empty lakini utetengenezwa hivyo hivyo unyooshe maelezo
Tena ngumi zitapigwaaa najua sahivi viongozi wa simba wanapishana kwa waganga kwenda kuwazubaisha washabiki..Ikatokea Yanga kafika ½ fainali na wao safari ikaishia hapo lazima 5imba migogoro iibuke.
Pole sana unateseka ukiwa wapi? Hakika Makolo mnatuchanganya. Mara Yanga inapata ushindi wa tiGo pesa,mara marefa,mara Majini sasa madawa ya kuongeza Nguvu. Kama ni kweli madawa au majuni au tiGo pesa kipigo cha goli[emoji870] mbona mmemtimua Robertinho.Siku mamlaka za soka zikisimama imara kushughulika na mbinu za yanga shughuli yao itaishia hapo!
Hakuna siri kuwa yanga wanatumia dawa za kusisimua misuli zilizokatazwa michezoni! Nina ushahidi wa ilo kwa asilimia mia moja!
Nilipata uhakika wa ilo kwenye mechi moja iliyofanyika mkoani,hotel yanga waliofika nami nilifikia hapo kwenye shughuli zangu, niliona kwa macho yangu mabomba mengi ya sindano yaliyotumika yakienda kutupwa.
Katika udadisi wangu nilimuuliza mfanyakazi mmoja wa hotel hio hayo mabomba ya sindano yaliyotumika yaliyokuwa kwenye mfuko ni ya kazi gani? Akajibu kuwa amepewa na mmoja wa viongozi wa timu ya yanga akachome moto!
Nikapata jibu kuwa hawa jamaa wanatumia mbinu zilizokuwa zinatumiwa na Kunguru wa Lubumbashi kwa muda mrefu,nikawaza yule CEO wao ndio master mind wa hii michezo michafu maana aliwahi kuwa kiongozi pale Lubumbashi.
Mbio za sakafuni zina mwisho huu ujanja na usamjo wa viongozi wa yanga utafika mwisho kwa aibu kubwa.
Sio majini tena!?
Usifananishe ujinga na uchoko kaka.Kubwa jinga
Ona hii kenge! Wewe malaya njoo unipe tendo!!Kuna watu duniani mnatafuta sifa za kuwaletea matatizo. Usioni umejificha sana humu. Utapatikana tu. Hapa unatafuta sifa za kipuuzi,Japo kichwani uko empty lakini utetengenezwa hivyo hivyo unyooshe maelezo
Utainamishwa uvunjwe uti wa mgongo uanze kuleta lawama za bure! Shauli yako.
Ujue mnatuchanganya sasaSiku mamlaka za soka zikisimama imara kushughulika na mbinu za yanga shughuli yao itaishia hapo!