Kichaka cha waliokuwa wanajificha kufika robo fainali CAF CL kimefyekwa rasmi

Mijitu mingine mnakuwa miili tu
 
Unamaanisha hata zile 5-1 mlizopigwa jamaa walikua wamejidunga??
 
Itengue hii kauli, maneno ya mdomoni bila ushahidi ni majanga yatakayokufika. Mdomo utakuumiza, alafu ulivyo lindezi bado unausisitiza msimamo wako. Kama bado hayajakukuta, waulizie wenzio waliowahi kukamatwa kwa njia ya vyombo vya mawasiliano. Sio kila mtu ataichukulia hii kauli kishkaji tu. Kwanza kutoa hii kauli ni kuichafua taasisi nzima ya tff, maana yanga ndio bingwa wao watz ambaye kwa kauli yako, hakuupata huu ubingwa kwa njia halal. Jiangalie wewe. Kutosoma sio ujinga, ujinga ni kutoka nje ya maadili, unakosolewa alafu bado unadinda. Yangu macho tu
 
Hakuna awali mbovu

Bado simba ana record yake
 
acha ujuha
 
Yaani Simba ameingia robo fainali champion's league mara nne! Amecheza robo fainali AFL mara moja! Aje afundishwe na timu ambayo imeingia robo fainali baada ya miaka 25? Kweli uko yanga wenye akili ni wawili tu
Sio tu kuingia robo....kaingia kwa kishindo na historia ambayo hamuwezi ifikia.......
 
Akili chache
 
We mwanamke!njoo unipe tendo nitende kitendo!
 
Hivi inakuigia akilini kwamba Yanga wafanye hivyo vitu then mambomba wampe mhudumu wa hotel akatupe? una akili timamu kweli?
 
Sikulaumu, hapa ndipo akili yako ilipoishia. Sina uthibitisho, ila nina uhakika wewe hukuivuka 4. Wanaokujua watathibisha hili.
Aaah!umeshakuwa mpiga ramli! Njoo unipe tendo nitende kitendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…