Kichaka cha waliokuwa wanajificha kufika robo fainali CAF CL kimefyekwa rasmi

Ikatokea Yanga kafika ½ fainali na wao safari ikaishia hapo lazima 5imba migogoro iibuke.
Ila ukiiwazia vizuri hizi mm nimefanya/fika huku ni nzuri sn kwakua zinasaidia timu pimzani kuondoa huo ubezo mm naamini hata petro ya Angola atafika mbali sn Kwa mpira wanaocheza
 
Hard work pays, Yanga wanastahili kabisa kufika hata final! Ndio uwezo wanao kuanzia kwa uongozi mpaka kwa wachezaji, Unaona kabisa wanachokitafuta ni mafanikio ya Timu nzima, Yanga hakuna blah blah nawapongeza sana, boli linapigwa kweli mpaka mpinzani unaenjoy. Yule Pacome mpira unavyomtii yaan dah! What a player! Chukueni maua yenu watani.
 
Unamaumivu makubwa sana aisee kumbe.
 
Acha basi, ya kweli haya mkuu?😂
Jamaa hajui anachoongea na CAF wanapima mkojo maana chembe chembe za dawa zinapatikana kirahisi huko kuliko kwenye damu na muda mwingine ni kama Juice tu huyu asiejua mpira bado yupo kwenye zama za kale eti akae Hotel moja na team anajua yupo kijijini hapa atamdanganya kila mtu hao jamaa wapo radhi chumba kilipiwe na asilale mtu..kulinda usalama wa wachezaji.
 
OK.
 
 
Yanga watakuja kuwa kama mamelodi ukanda wa east Africa, ✅ viongoz, management, scouting ya wachezaji, malengo halisi, vyote hivyo pia hamasa vitachangia. Simba ni timu yangu but kusema kweli msimu huu hatufik mbali. Limebak tu iina. Period 😏
 
Duh!....mbona umeandika mambo magumu hivi ?
 
Nadhani kwa heshma viongozi wa Yanga wapite hapa jukwaani na wathibitishe tuhuma hii kama ni kweli au laa!

Kama ni tuhuma basi jf isaidie kupatikana kwa mtu huyu..
Viongozi wa YANGA kulifuatilia hili itakuwa wamechizika nao. Hivi utafuatilia mangapi? YANGA ni club kubwa haiwezi kufuatilia kila Ujinga mnaoeneza ngada FC. Haipo hiyo
 
We nae acha porojo zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…