Kidata karibu tena TRA! Uungwana ni vitendo, usijaribu kuwa Kifutu

Hebu acha ujinga wako. Kusema ukweli hakuna uhusiano wowote na chuki. Sasa kama alikuwa smart kwanini alifukuzwa kazi kama balozi na kuvuliwa hadhi yake ya ubalozi!? Hebu tuondolee ujuha wako.
 
Kwani kafukuzwa. Kila anapokuja CEO mpya huwa anataka kuwa na timu yake mwenyewe. Kwa hiyo mama Suluhu anataka awe na timu yake. Anachofanya ni kubadilisha timu na hajamfukuza mtu. Yeye ndiyo coach mkuu wa timu na anajuwa wachezaji wapi watamfungia magoli. Kila raisi anakuja na timu yake, muacheni naye achague yake. Akishinda aisifu timu yake. Akishindwa ailalamikie timu yake.
 
 

Binafsi nimesikitika sana mhede kutolewa u kamishna anyway tumuachie mama anajua anafanya nini. Ila mhede ni bonge la mtenda kazi daah[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Hebu acha ujinga wako. Kusema ukweli hakuna uhusiano wowote na chuki. Sasa kama alikuwa smart kwanini alifukuzwa kazi kama balozi na kuvuliwa hadhi yake ya ubalozi!? Hebu tuondolee ujuha wako.
Wewe ni kati ya wanaJF wapumbavu zaidi. Soma vizuri hapo nimekuambia JPM hakuwa anawapenda watu ambao wapo smart kusimamia sheria. Acha chuki za kipuuzi MHEDE tunamjua na tumefanya nae kazi hamna kitu zaidi ya kutishia mameneja wa mikoa wafikie lengo bila kuweka strategy za uhakika. Amefanya biashara nyingi zifungwe. KARIBU TRA HQ BOYA WEWE.
 

Mkuu hujui chochote asee, mhede ni bonge la asset
 
Aisee,, mwenye bahati kweli habaatishi, tuwe wazi jamaa ana bahati sana. Wachache mno wanapata such dimensions
 
Binafsi nimesikitika sana mhede kutolewa u kamishna anyway tumuachie mama anajua anafanya nini. Ila mhede ni bonge la mtenda kazi daah[emoji24][emoji24][emoji24]
Hakuwa hivyo. Alifanya wafanyabiashara wengi wahame nchi au wafunge biashara zao. Sio mwelewa kwa wafanyabiashara mi kwangu naona sawa kabisa. Nakuhakikishia baishara nyingi zitarudi kama zamani na TAX BASE itakua. Mnapochangia lazima muwe mnaangalia impact yake kiuchumi hasa kwako ww mwananchi wa kawaida. Makusanyo mengi uliyokuwa unaambiwa ni madeni ya nyuma lkn currently TAX PAYERS wamepungua yaweza kuwa hata 30% nchi nzima.
 
Ilikuwa ngumu kufanya kazi na Jiwe kama we ni mzembe, mla rushwa na Fisadi! Abadani katika watu ambao walipata shida wenye sifa hizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jiwe mna mu over rate tu,
Mkurugenzi wa bandari alietumbuliwa juzi bw Kakonko mbona upigaji aliufanya enzi za Magufuli na Magufuli aliendelea kumkingia kifua,
Hayati ametumia nguvu kubwa kuwaaminisha watu kwamba hakuna kama yeye tangu tupate uhuru jambo ambalo si kweli.
Kama hujui kwenye nafasi za juu utawala wa Magufuli watu wamepiga sana pesa
 
Hauko NDANI hivyo hujui kitu... Mhede ni mtaalamu wa MAPISHI
Sasa kama hayo mapishi anapika ndani na hata harufu tuu haifiki nje basi aendelee tuu, hayana madhara.

Halafu hiyo kauli ya sipo ndani hivyo sijui kitu, umeisema kijinga sana. Hunijui mimi, na wala lengo sio kujuana. Chamuhimu zidisha umakini na matumizi ya akili.
 
Kwa hiyo Mhede anakuwa nani nchini?

Namkubali Sana Bro huyu kwa Uchapakazi na uaminifu. Sio mwizimwizi kama wengi wenye matuhuma.
 
We ni mpuuzi tu. Hujui lolote labda huyo MHEDE awe shemeji yako.
 
Sio lazima kocha kusajili upya kikosi cha watu 23. Kama kwenye uliowakuta kuna aliyebora na anafundishika, unasonganae. Mimi Mhede alifaa, angeshauriwa tu kudeal na malamiko kwa watumishi ili kushape maafisa.
 
Sio lazima kocha kusajili upya kikosi cha watu 23. Kama kwenye uliowakuta kuna aliyebora na anafundishika, unasonganae. Mimi Mhede alifaa, angeshauriwa tu kudeal na malamiko kwa watumishi ili kushape maafisa.
HASIKII YULE. KWENYE VIKAO ANASHAURIWA KILA LEO ILA KWAKUWA YY NDIO ANA NAMBA YA JPM HASIKILIZI WATU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…