Just Distinctions
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 3,322
- 6,998
This was the reason I guess. Kuna mtu alizicheleweshaMkuu nadhani tatizo lilikuja juu ya zile ndege zilizonunuliwa Canada!!! Kuna shida ilitokea kule ndio mwendazake akakurupuka kumrudisha bila heshima na kumvua ubalozi!! Ukweli ulipokuja julikana kimya kimya wakampeleka **** RAS huko Kusini.
View attachment 1743605
Sheria inataka mamlaka ya mapato kuzuia mali pale wanapobaini mfanyabiashara alikuwa na mikakati ya makusudi kudanganya kodi (kuna tests zake kabla ya kuchukua hatua hizo, usually it’s the last resort which requires supporting evidence).
Tatizo la msingi watanzania awajazoea kulipa kodi wala awafuati sheria za kodi hapo ndio kwenye shida (na ukisikiliza watoa elimu huko mitaani unaona kabisa huyo afisa nae uelewa wake wa taxation ni shida).
Kwa wafanyabiashara sheria inapochukua mkondo wake kwa makosa ya uhasibu wa kikodi utasikia malalamiko, wakati wao awafuati maelezo.
TRA ilikuwa inaelekea kwenye right direction challenge kubwa ilibaki wafanyabiashara kukubali the new norm, na kubadili tabia za wafanyakazi wachache waliokuwa wanatumia sheria vibaya katika nafasi zao kuonea wengine.
Kiongozi anatakiwa kuwa na malengo yake ya kuisogeza nchi mbele hasa hizi zetu maskini na katika harakati hizo it’s impossible to please everyone.
Hizi nafasi kila siku ni wao tu.....Huyu Second chance amepata mara ngapi?
Alikuwa Katibu mkuu Wizara ya Ardhi, JPM akamteua kuwa Kamishina wa TRA, akalegea wapi sijui akampeleka Ikulu bado akalegeza wapi sijui akampa Ubalozi nchini Canada huko sijui aliharibu nini sijui akavuliwa mpaka na Ubalozi wenyewe..!! Ila Mama sijui kama atatuvusha naanza kuwa na Mashakha sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuwa hivyo. Alifanya wafanyabiashara wengi wahame nchi au wafunge biashara zao. Sio mwelewa kwa wafanyabiashara mi kwangu naona sawa kabisa. Nakuhakikishia baishara nyingi zitarudi kama zamani na TAX BASE itakua. Mnapochangia lazima muwe mnaangalia impact yake kiuchumi hasa kwako ww mwananchi wa kawaida. Makusanyo mengi uliyokuwa unaambiwa ni madeni ya nyuma lkn currently TAX PAYERS wamepungua yaweza kuwa hata 30% nchi nzima.
Tai nyekundu alishakuwa mwendazake
Mama anaenda kuvurunda vibaya sana , hizi teuzi tu mbili tu Ni kipimo tosha , baraza la mawaziri kuvurunda , makatibu wakuu kuvurunda , hivi unaweza kumpa kazi Doto James kabisa ? Mwigulu waziri wa fedha ?Huyu Second chance amepata mara ngapi?
Alikuwa Katibu mkuu Wizara ya Ardhi, JPM akamteua kuwa Kamishina wa TRA, akalegea wapi sijui akampeleka Ikulu bado akalegeza wapi sijui akampa Ubalozi nchini Canada huko sijui aliharibu nini sijui akavuliwa mpaka na Ubalozi wenyewe..!! Ila Mama sijui kama atatuvusha naanza kuwa na Mashakha sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
We sema tu usiogope. Keshapata teuzi zaidi ya tano katika kipindi cha miaka mitano. Endekeza hapo.Kuna kitu nakijua kuhusu huyu mtu
Ndugu usitarajie makubwa,hii ni TZ lolote laweza kuwa.muda utaongea.Sisi tunasubiri may mosi tu
Embu kwanza. Tuwekee hapa USHAHIDI kuwa DOTO hana CV za kupata KMMama anaenda kuvurunda vibaya sana , hizi teuzi tu mbili tu Ni kipimo tosha , baraza la mawaziri kuvurunda , makatibu wakuu kuvurunda , hivi unaweza kumpa kazi Doto James kabisa ? Mwigulu waziri wa fedha ? Tusubiri wakuu wa mikoa na wilaya tuone atakavyovurunda nako , msishangae vifutu , Ali Hapi , Ole Sabaya , Eric Komanya , yuke DC wa kilolo wakaendelea na kazi ni upuuzi wa hali ya juu hii nchi inahitaji katiba mpya na CCM hawatakiwi kabisa , yaani DJ mpya muziki uleule .
Kila mradi mkubwa wa serikali alipewa Mayanga construction Company, unajua ni ya Nani? Wizi mtupuIlikuwa ngumu kufanya kazi na Jiwe kama we ni mzembe, mla rushwa na Fisadi! Abadani katika watu ambao walipata shida wenye sifa hizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Tanzania washabiki ni wengi sana kuliko watu wenye uwezo wa kuchambua mambo na kuyatazama katika undani na uhalisia wakePunguza chuki bro. Kwann tunapenda watu washindwe mara zote. Hii roho ya kimasikini sijui mnaitoa wapi. Utawala wa JPM uibe afu akuache hivihivi? Si mlikuwa mansema anachukia ufisadi?
KIDATA alikuwa smart sana akiwa CG TRA tatizo mna chuki sana. Alikuwa anakusanya mapato makubwa kuliko huyu MHEDE. We umeona MHEDE wa maana kisa KODI ZILE ZA HALMASHAURI kuhamishiwa TRA.
ILA CHINI YA MHEDE BIASHARA NYINGI ZIMEFUNGWA KWA KUKOSA WELEDI NA HASA KULAZIMISHA MALENGO MAKUBWA KWENYE MIKOA HALI ILIYOPELEKEA WATUMISHI WA TRA kukosa hata muda wa kupumzika, madeni ya miaka 10 nyuma yalikuwa yanadaiwa na RIBA juu yake. Pamoja na ukusanyaji mapato lakini lazima uzingatie ustawi wa wafanyabiashara wenyewe.
Wengi hamjui yanayoendelea ndani ya TAASISI hizi za SERIKALI. KULIKUWA HAKUNA UFANISI YAANI NI KUTAKA KUIRIDHISHA MAMLAKA MPAKA MTU ANATOKA NJE YA TAALUMA YAKE.
NAKUHAKIKISHIA NOW UCHUMI UTAFLOW VIZURI SANA. HATA ZILE TENDA ZA KIPUMBAVU KUPEWA WALE CHEAP LABOR (JKT) ZITAKOMA NA FEDHA ZITAANZA KUONEKANA MTAANI.
WENGI HUMU JF NI MAKANJANJA NA ELIMU ZAO NI MBOVU WANAFATA MKUMBO TU.
Katika akili yako unadhani Mama Samia ni mjinga kumteua Kidato??Hebu acha ujinga wako. Kusema ukweli hakuna uhusiano wowote na chuki. Sasa kama alikuwa smart kwanini alifukuzwa kazi kama balozi na kuvuliwa hadhi yake ya ubalozi!? Hebu tuondolee ujuha wako.
Katika akili yako unadhani Mama Samia ni mjinga kumteua Kidato??
Huko canada si ndiko ilikoshikiliwa ile ndege yetu flan hiv na Majembe Auction mart wa kule. yeye akiwa ni Baloz kule au nachanganya habariHuyu Second chance amepata mara ngapi?
Alikuwa Katibu mkuu Wizara ya Ardhi, JPM akamteua kuwa Kamishina wa TRA, akalegea wapi sijui akampeleka Ikulu bado akalegeza wapi sijui akampa Ubalozi nchini Canada huko sijui aliharibu nini sijui akavuliwa mpaka na Ubalozi wenyewe..!! Ila Mama sijui kama atatuvusha naanza kuwa na Mashakha sana.
Sent using Jamii Forums mobile app