Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limefuta matokeo ya watahiniwa 58 baada ya kubainika kufanya udanganyifu kwenye mitihani. Waliofutiwa matokeo ni watahiniwa 44 wa Mtihani wa Kidato cha Sita na 14 wa Mtihani wa Stashahada ya Ualimu wa Elimu ya Msingi (DPEE), baadhi wakitajwa kutumia AI (Chatgpt).
Tazma hapa matokeo ya kidato cha Sita 2025 > NECTA
Aidha, Baraza limekifungia kituo cha mitihani cha P5584 Excellency Open School kilichopo mkoani Manyara kutokana na kukiuka miongozo ya uendeshaji wa Mitihani ya Taifa. Kituo hicho kitaendelea kufungwa hadi NECTA itakapojiridhisha kuwa kinafaa kuendesha mitihani kwa usalama.
Katibu Mtendaji Prof. Said A. Mohamed ameongeza kuwa ufaulu wa watahiniwa wa shule umefikia 99.92%, huku ukibaki juu ya 99% kwa miaka minne mfululizo. Amesema pia idadi ya waliopata Division One imeongezeka hadi 54.1% kutoka 48.6% mwaka 2025.
Haya matokeo ya kidato cha sita mwaka huu yameakisi matokeo ya uchaguzi mkuu mwaka janaβ99% vs 98%.Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limefuta matokeo ya watahiniwa 58 baada ya kubainika kufanya udanganyifu kwenye mitihani. Waliofutiwa matokeo ni watahiniwa 44 wa Mtihani wa Kidato cha Sita na 14 wa Mtihani wa Stashahada ya Ualimu wa Elimu ya Msingi (DPEE), baadhi wakitajwa kutumia AI (Chatgpt).
Tazma hapa matokeo ya kidato cha Sita 2025 > NECTA
Aidha, Baraza limekifungia kituo cha mitihani cha P5584 Excellency Open School kilichopo mkoani Manyara kutokana na kukiuka miongozo ya uendeshaji wa Mitihani ya Taifa. Kituo hicho kitaendelea kufungwa hadi NECTA itakapojiridhisha kuwa kinafaa kuendesha mitihani kwa usalama.
Katibu Mtendaji Prof. Said A. Mohamed ameongeza kuwa ufaulu wa watahiniwa wa shule umefikia 99.92%, huku ukibaki juu ya 99% kwa miaka minne mfululizo. Amesema pia idadi ya waliopata Division One imeongezeka hadi 54.1% kutoka 48.6% mwaka 2025.
Jamaa anasema itakuwa smartwatch...Ndio najiuliza pia hapa
Hata mimi nimejiuliza sana, kwani hakuna msimamizi wa mtihani hadi mwanafunzi a copy majibu kwa ChatgptNdio najiuliza pia hapa
Prompt ni kama unaiambia/unaiamrisha Ai ijibu kwa mpangilio unaotaka wewe,mkuu inabidi nipate elimu kutoka kwako. hapo kutumia prompt imekaaje hapo?
Au calculatorJamaa anasema itakuwa smartwatch...
Kuna calculator zinatumia internet?Au calculator
Hata Mimi najiuliza hichi kitu ?Nachojiuliza wametumiaje chatGpt kujibia maswali hali ya kwamba watu hawaruhusiwi kutumia simu kwenye chumba cha mtihani.
Calculator hiyo hiyo inaweza kuchezewa ikawekewa mpaka na camera na vitu vingine ,, ili mradi iwe nene kiasi...Ndio najiuliza pia hapa
Itakua ni simu ,now wanafunzi wengi wanaingia na simu hao ni kikundi kidogo kilichoshitukiwa.Kuna calculator zinatumia internet?
Duh, itakuwa usimamizi wa mtihani wa siku hizi si kama zamani...Itakua ni simu ,now wanafunzi wengi wanaingia na simu hao ni kikundi kidogo kilichoshitukiwa.
Kuna Dogo mmoja tunafanya nae kazi ni injinia wa umeme anasema toka kidato cha sita hadi anamaliza chuo hawezi ingia kwenye pepa bila simu.
Kwa muktadha wa NECTA hao watahiniwa walikutwa na simu, na walikua wanatumia chatgpt kuuliza maswali.Mwenye uelewa anisaidie ni vipi mtu anaweza baini kuwa hiki kitu kimeandikwa kwa AI au ni kwa kuwaza tu au Kuna vifaa vya kubaini AI generated contents
Kwa sisi ambao tumeandaa ma proposal mengi mengiUkicopy na kupaste ni rahisi kujulikana
1. Msahihishaji anaweza weka swali kwenye AI na kuona ufanano wa jibu
2. Ai usipotumia prompt majibu yake yanaonesha kabisa hii ni AI the way inavyoelezea kwa maelezo mengi kupita kiasi yasiyo na ulazima
3. Zipo detectors sema ni kwa kudetect wa juu ambao ni layman
Kwa wazoefu ngumu mno kudetect
Inategemeana tena mitihani hii maswali sijui 10 pepa inapigwa picha yote Ai anajibu ndani ya sekunde, Unakuta wajanja wanaandika key points. Hayo mabogus ndio yanacopy kila kitu ndio maana yamedakwa kama kuku.Duh, itakuwa usimamizi wa mtihani wa siku hizi si kama zamani...
Zamani hadi chooni unasindikizwa na askari.. sijui kama hizi taratibu bado zipo..
Zipo mkuuKuna calculator zinatumia internet?
Dunia imebadilika ndugu,,, kuna AI mpaka kwenye peni.. au hizi smart-watch zilivyo ndogo si mtu anakata soli ya kiatu ika-fit na akaingia nayo ndani..Duh, itakuwa usimamizi wa mtihani wa siku hizi si kama zamani...
Zamani hadi chooni unasindikizwa na askari.. sijui kama hizi taratibu bado zipo..
Sasa wasimamizi wana kazi sana..Dunia imebadilika ndugu,,, kuna AI mpaka kwenye peni.. au hizi smart-watch zilivyo ndogo si mtu anakata soli ya kiatu ika-fit na akaingia nayo ndani..