wajingawatu
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 2,633
- 3,463
Kwa hiyo na wewe ukawa masta wa kukariri.Kama ni ivyo salalee... Kuna dogo mmoja Huwa na mshukuru mpaka Leo..
Yupo mbeya idara ya afya huyu dogo tukiwa form one... Nilitaka anionyeshe majibu dogo akaninyima na tulikua marafiki
Akasema iviii baada ya kukutana nje baada ya pepa "" UNAONA MIMI SIPATI TABU KWENYE MITIHANI.. MIMI HUWA NA SOMA KILA KITU KIPO KWENYE VITABU NA NOTES ZA KWENYE DAFTARI.. ILI NA WEWE USIPATE TABU UWE TUNASOMA"
Baada ya hapo nikawa nasoma nikahakikisha masomo yote vitabu vyote form one mpaka four masomo yoteee na topic zotee nikaziweka KICHWANI
Hii falsafa ya bwana mdogo iliniondolea fedheha kwenye maisha ya kusoma popote kwenye level yeyote
Skiliza Dogo:
Elimu siyo kukariri vitu.
Elimu ni kuelewa vitu ufundishwavyo kwa ufasaha.
Elimu ni kuufundisha ubongo kufikiri
Elimu ni kumfanya mtu awe bora