nilikuwa king'ori nimerudi kuchapika ushenziniMkuu wape hi hapo Sing'isi kwa fundi.
nilikuwa king'ori nimerudi kuchapika ushenziniMkuu wape hi hapo Sing'isi kwa fundi.
Inawezekana kuna ambao wametumia AI kijanja na wamebahatika kutotambulika.Inategemeana tena mitihani hii maswali sijui 10 pepa inapigwa picha yote Ai anajibu ndani ya sekunde, Unakuta wajanja wanaandika key points. Hayo mabogus ndio yanacopy kila kitu ndio maana yamedakwa kama kuku.
Tena hizi scientific calculator ndio wanatumia kuweka simu kwenye mfuniko ule wa nyuma.
Dah unanikumbusha mbali sana King'ori, Maji ya chai, Kikatiti, Njia ya poli, Nshupu, Merirani, Jua kali, Momela, Nkuoranga, Usa, Makumira,Sadc, Tengeru, Akheri na home Sing'isi.nilikuwa king'ori nimerudi kuchapika ushenzini
Hii kitu ilitokea mkoani kwangu.Hao wanafunzi waliondoa scientific calculator kwenye cover zake na badala yake wakapachika simu.Wengine waliingiza simu kupitia madirishani bila wasimamizi kuona.Walipanga ku cheat na wakakamatwa..Mwenye uelewa anisaidie ni vipi mtu anaweza baini kuwa hiki kitu kimeandikwa kwa AI au ni kwa kuwaza tu au Kuna vifaa vya kubaini AI generated contents
Simple tu mkuu, hata humu jf, thread za AI Zinajulikana kabisaMwenye uelewa anisaidie ni vipi mtu anaweza baini kuwa hiki kitu kimeandikwa kwa AI au ni kwa kuwaza tu au Kuna vifaa vya kubaini AI generated contents
Bado kipo sanaHivi kile chuo kikuu cha kiislamu morogoro kipogo?
Dogo The Icebreaker Kubwa la Maadui
adriz de mbusii
Sasa hivi mashekh wameanza kujifunua upumbavu wao nilio sema sana hapa jf na watu kunipinga wakiniona chizi ..kule mitandaoni wanapigana ndole hadi wanatoana kinyesi hadharani ...niliwaambia watu hapa mtu awezi kuwa Sheikh na akawa na akili timamu.Hivi kile chuo kikuu cha kiislamu morogoro kipogo?
Dogo The Icebreaker Kubwa la Maadui
adriz de mbusii
Ikiulizwa AI yenyewe itatoa majibu ya uhakika kuhusu ukweli uliopo kwenye mashaka ya jibu husika, kama ni yenyewe imetoa jibu hilo ama lah.Mwenye uelewa anisaidie ni vipi mtu anaweza baini kuwa hiki kitu kimeandikwa kwa AI au ni kwa kuwaza tu au Kuna vifaa vya kubaini AI generated contents
Kama ni ivyo salalee... Kuna dogo mmoja Huwa na mshukuru mpaka Leo..Inategemeana tena mitihani hii maswali sijui 10 pepa inapigwa picha yote Ai anajibu ndani ya sekunde, Unakuta wajanja wanaandika key points. Hayo mabogus ndio yanacopy kila kitu ndio maana yamedakwa kama kuku.
Tena hizi scientific calculator ndio wanatumia kuweka simu kwenye mfuniko ule wa nyuma.
In non anglophone states like Tanzania, How fluent the written English is, can tell the whole thing.Mwenye uelewa anisaidie ni vipi mtu anaweza baini kuwa hiki kitu kimeandikwa kwa AI au ni kwa kuwaza tu au Kuna vifaa vya kubaini AI generated contents
Sitaacha kukusumbua kwa kila ID mpya. I love you mke wangu.Kumekucha
Utalibaini vipi jibu la AI bwashee?Kitu ambacho hawakujua hao wanafunzi, majibu ya AI yanajulikana, jibu la ai hupaswi kuliweka kama lilivyo, itabainika tu!
Kinyeo chako kimelegea sanawell done necta, well done walimu, well done serikali sikivu ya CCM chini ya Dr Samia Suluhu kwa kubiresha mazingira ya elimu na maslahi ya walimu 🔥👊
jikite kwenye hoja mahususi mezani bila mihemko useless jukwaani na itapendeza zaidi gentleman 🐒Kinyeo chako kimelegea sana