Kidato cha 6 wakamatwa wakitumia ChatGPT, NECTA yawafutia matokeo

Kidato cha 6 wakamatwa wakitumia ChatGPT, NECTA yawafutia matokeo

Acha ufala wewe elimu mnaifqnyiq masihara..? Unajua maana ya +99%
hayo masuala ya maana ya +99% ni kazi ya walimu kueleza maana yake, na wewe sio mwalimu ni mfuata mkumbo tu

si uache wenye taaluma yao wafanye kazi ya kutoa maana gentleman na itapendeza zaidi?

Otherwise vijana wetu wanafanya vizuri sana mwaka huu ukilinganisha na kipindi kilichopita. 🐒
 
Kipindi gani..? Mnawapa madesa watoto ili ufaulu upande hovyo kabisa
hayo ni maoni yako binafsi gentleman,
ambayo ni imani yangu yanafaa kugeuzwa kua fursa muhimu sana ya kujipanga upya tena, kujirekebisha na kufanya vizuri zaidi mbeleni 🐒
 
Elimu imekua ya hovyo wanazalishwa marobot binadamu yatakayo faulu mitihani ila ni mzigo kwa Jamiii.

Jitu lina A+ YA 99% Biology ila likiumwa kichwa halitojua litumie nini au afanye nn

hali ya sasa elimu, Kwa wazazi wanaojitambua kwasasa Wamehamia kwenye HOMESCHOOLING ndio watoto pekee watakuja ongoza kizazi kijacho.

Hawa wa mashuleni hasa English Medium na shule za kisasa ni mzigo mbeleni.

Viongozi 10 ifikapo 2050

5 watatokea Homeschooling

4 watatokea Shule za kawaida
serikali/kayumba

1 atatokea kwa wazee wa AI...

Homeschooling ndio muarobaini wa kuokoa watoto wetu or else tubadilishe mitaala.
 
Back
Top Bottom