Kidato cha 6 wakamatwa wakitumia ChatGPT, NECTA yawafutia matokeo

Inawezekana kuna ambao wametumia AI kijanja na wamebahatika kutotambulika.

Tena itakuwa ni wengi sana.

Maana mtu ambae amesahau concept au topic flani akipata maelezo kudogo tu anatoririka mwenyewe...

Sasa hao ni bogus kama ulivyosema, yaani yame copy & paste.
 
Mwenye uelewa anisaidie ni vipi mtu anaweza baini kuwa hiki kitu kimeandikwa kwa AI au ni kwa kuwaza tu au Kuna vifaa vya kubaini AI generated contents
Hii kitu ilitokea mkoani kwangu.Hao wanafunzi waliondoa scientific calculator kwenye cover zake na badala yake wakapachika simu.Wengine waliingiza simu kupitia madirishani bila wasimamizi kuona.Walipanga ku cheat na wakakamatwa..
 
Hivi kile chuo kikuu cha kiislamu morogoro kipogo?

Dogo The Icebreaker Kubwa la Maadui

adriz de mbusii
Sasa hivi mashekh wameanza kujifunua upumbavu wao nilio sema sana hapa jf na watu kunipinga wakiniona chizi ..kule mitandaoni wanapigana ndole hadi wanatoana kinyesi hadharani ...niliwaambia watu hapa mtu awezi kuwa Sheikh na akawa na akili timamu.
 
Mwenye uelewa anisaidie ni vipi mtu anaweza baini kuwa hiki kitu kimeandikwa kwa AI au ni kwa kuwaza tu au Kuna vifaa vya kubaini AI generated contents
Ikiulizwa AI yenyewe itatoa majibu ya uhakika kuhusu ukweli uliopo kwenye mashaka ya jibu husika, kama ni yenyewe imetoa jibu hilo ama lah.

Au kwa kuuliza swali hilo hilo na kulinganisha majibu.
 
Kama ni ivyo salalee... Kuna dogo mmoja Huwa na mshukuru mpaka Leo..

Yupo mbeya idara ya afya huyu dogo tukiwa form one... Nilitaka anionyeshe majibu dogo akaninyima na tulikua marafiki

Akasema iviii baada ya kukutana nje baada ya pepa "" UNAONA MIMI SIPATI TABU KWENYE MITIHANI.. MIMI HUWA NA SOMA KILA KITU KIPO KWENYE VITABU NA NOTES ZA KWENYE DAFTARI.. ILI NA WEWE USIPATE TABU UWE TUNASOMA"

Baada ya hapo nikawa nasoma nikahakikisha masomo yote vitabu vyote form one mpaka four masomo yoteee na topic zotee nikaziweka KICHWANI

Hii falsafa ya bwana mdogo iliniondolea fedheha kwenye maisha ya kusoma popote kwenye level yeyote
 
Mmiliki wa hiyo Excellence naona kabisa ataenda kwa waganga soon. Anachezea mabalaa tu
 
well done necta, well done walimu, well done serikali sikivu ya CCM chini ya Dr Samia Suluhu kwa kubiresha mazingira ya elimu na maslahi ya walimu πŸ”₯πŸ‘Š
Kinyeo chako kimelegea sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…