wajingawatu
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 2,633
- 3,463
Kwa hiyo na wewe ukawa masta wa kukariri.Kama ni ivyo salalee... Kuna dogo mmoja Huwa na mshukuru mpaka Leo..
Yupo mbeya idara ya afya huyu dogo tukiwa form one... Nilitaka anionyeshe majibu dogo akaninyima na tulikua marafiki
Akasema iviii baada ya kukutana nje baada ya pepa "" UNAONA MIMI SIPATI TABU KWENYE MITIHANI.. MIMI HUWA NA SOMA KILA KITU KIPO KWENYE VITABU NA NOTES ZA KWENYE DAFTARI.. ILI NA WEWE USIPATE TABU UWE TUNASOMA"
Baada ya hapo nikawa nasoma nikahakikisha masomo yote vitabu vyote form one mpaka four masomo yoteee na topic zotee nikaziweka KICHWANI
Hii falsafa ya bwana mdogo iliniondolea fedheha kwenye maisha ya kusoma popote kwenye level yeyote
Km huna cha kuandika bora ukae kimya, umeandika uchafunecta wanaona AI itaenda haribu dili la kuuza mitihani shule zileeee
Ndiyo umeandika nini, watanzania kwa kujifanya wajuaji kwl wapo! We mwenyewe umefika hapo kwa kukariri huna ht unachokumbukaKwa hiyo na wewe ukawa masta wa kukariri.
Skiliza Dogo:
Elimu siyo kukariri vitu.
Elimu ni kuelewa vitu ufundishwavyo kwa ufasaha.
Elimu ni kuufundisha ubongo kufikiri
Elimu ni kumfanya mtu awe bora
Kama wameandika facts kuna tatizo gani wakitumia ChatGPT kusaka maarifa ikiwa Chat inatoa taarifa sahihi? Waache kuchanganya elimu na siasa.Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limefuta matokeo ya watahiniwa 58 baada ya kubainika kufanya udanganyifu kwenye mitihani. Waliofutiwa matokeo ni watahiniwa 44 wa Mtihani wa Kidato cha Sita na 14 wa Mtihani wa Stashahada ya Ualimu wa Elimu ya Msingi (DPEE), baadhi wakitajwa kutumia AI (Chatgpt).
Tazma hapa matokeo ya kidato cha Sita 2026 > NECTA
Aidha, Baraza limekifungia kituo cha mitihani cha P5584 Excellency Open School kilichopo mkoani Manyara kutokana na kukiuka miongozo ya uendeshaji wa Mitihani ya Taifa. Kituo hicho kitaendelea kufungwa hadi NECTA itakapojiridhisha kuwa kinafaa kuendesha mitihani kwa usalama.
Katibu Mtendaji Prof. Said A. Mohamed ameongeza kuwa ufaulu wa watahiniwa wa shule umefikia 99.92%, huku ukibaki juu ya 99% kwa miaka minne mfululizo. Amesema pia idadi ya waliopata Division One imeongezeka hadi 54.1% kutoka 48.6% mwaka 2025.
Na bado wanauza kama njugu. Kama vipi wafungie matumizi ya AI hapa nchini.necta wanaona AI itaenda haribu dili la kuuza mitihani shule zileeee
Kile chuo cha Kata bado kipo na kinadunda kama kawaida.Hivi kile chuo kikuu cha kiislamu morogoro kipogo?
Dogo The Icebreaker Kubwa la Maadui
adriz de mbusii
Wapuuzi tu hao. Kama wamegundua majibu ya ChatGPT basi hao wanafunzi watakuwa waliibia mtihani. Mwanafunzi yupo ndani ya chumba cha mtihani alipata wapi mwanya wa kutumia simu ku8ngia Chat wakati simu zinazuiliwa ndani ya chumba cha mtihani?Mwenye uelewa anisaidie ni vipi mtu anaweza baini kuwa hiki kitu kimeandikwa kwa AI au ni kwa kuwaza tu au Kuna vifaa vya kubaini AI generated contents
Sio hivyo mkuu. ChatGPT huwa haitoi majibu yanayofanana 100% mkuu. Hata ukiiliza swali hilo hilo mara 100 itakujibu kwa mpangilio tofauti mkuu. Sio rahisi wanafunzi wote kuuliza swali hilo hilo wakapata majibu yanayofanana.Tumia chatgpt iulize maswali utagundua utofauti katika namna inavyoandika, yani kiufupi AI zinajibu kiufundi sana na mpangilio sahihi wa maneno!. Chengine nafikiri waligundua mfanano wa majibu kwa watu kadhaa, yani mfano watu kumi muulize swali moja chatgpt itawajibu hivyohivyo so nawewe ukikopi hivyohivyo basi mfanano lazima uonekane tu!.
Hata kama ni smart watch ata-type swali saa ngapi na pia kunakiri majibu bila kushikwa na msimamizi? Basi inaonekana wasimamizi waliwaachia wanafunzi wafanye watakavyo. Imekula kwao!Jamaa anasema itakuwa smartwatch...
Hajaelewa hoja huyo jamaa. Kakurupuka😅😂🤣Kuna calculator zinatumia internet?
Du! Unaweza kusave text kwenye calculator mkuu? Nilidhani unaweza kuweka namba tu.Zipo mkuu
Zipo za chatgpt, DeepSeek na nyengine, black and white usipokua makini huwezi jua.
Huu mchezo haujaanza na Ai even before AI kuna calculator zina memory unasave formula na material kibao, msimamizi kama sio mzoefu hawezi jua.
Uwe na adabu kijana wewe ni mdogo sana sanaaa kwangu!Kwa hiyo na wewe ukawa masta wa kukariri.
Skiliza Dogo:
Elimu siyo kukariri vitu.
Elimu ni kuelewa vitu ufundishwavyo kwa ufasaha.
Elimu ni kuufundisha ubongo kufikiri
Elimu ni kumfanya mtu awe bora
Pole yao. Yamewakuta sasa.Hii kitu ilitokea mkoani kwangu.Hao wanafunzi waliondoa scientific calculator kwenye cover zake na badala yake wakapachika simu.Wengine waliingiza simu kupitia madirishani bila wasimamizi kuona.Walipanga ku cheat na wakakamatwa..
Calculator nyingi ambazo kioo chake sio chembamba kirefu zinasave text.Du! Unaweza kusave text kwenye calculator mkuu? Nilidhani unaweza kuweka namba tu.
We dogo vipi?Uwe na adabu kijana wewe ni mdogo sana sanaaa kwangu!
Yaani mkijikusanya wewe na kaukoo kenu MJIJUMLISHE WOTEEEEEEE hakuna aspect in life yoyote mnayo nizidi Mimi.
NB. Elimu ya kweli ni kile kinacho bakia KICHWANI kwako baada ya ku graduate kikusaidie kupambana na maisha/ mazingira yako.. ukiona elimu haikusaidi basi hiyo elimu ni SCAM.
Hizi shuleni miaka hiyo tuliziita programmable calculators..Calculator nyingi ambazo kioo chake sio chembamba kirefu zinasave text.
Brand hizi hizi za kawaida za mtaani kama Casio na TI
View attachment 3623864
😂😂😂😂well done necta, well done walimu, well done serikali sikivu ya CCM chini ya Dr Samia Suluhu kwa kubiresha mazingira ya elimu na maslahi ya walimu 🔥👊