Kidini Israel na Trump wapo sahihi, kisheria Wapalestina wapo sahihi

Yesu hajatajwa kwenye quran, aliyetajwa ni isa,

Sasa yesu na isa wap na wap

Isa wa kwenye mtende , na yesu wa holi la ng'ombe wap na wap ? Kadanganye watoto wa madrasa
 
Wewe ndio unajindanganya,unafikiri hapo Palestina hakuna wakristo,wapo wakristo waarabu na wakristo waisrael,hawa wapo upande wa wapalestina kupigania hii ardhi.Ni wakristo wa Tanzania,tena kama wewe,,wengi wanaunga mkono wapalestina.Na ndio ukaona dunia nzima wamekataa kuutambuwa huu mji wa Jerusalem,kuwa makao makuu ya Israel.
 
Acha uongo

Quran imekuja miaka ya 600 ikadanganya kuwa ibrahimu,adamu ni waislamu.

Hata wewe unaweza kuanzisha dini yako na likitabu ukasema ibrahimu alikuwa wa hiyo dini

Ndicho kilichofanyika kwenye quran
 
Utajiumiza kichwa chako bure,funia nzima inatambuwa uwepo wa wapalestina.Na dunia nzima wameshsmpinga Trump,mpaka katika waziri wake wa mambo ya nje kushawishi mataifa ya kubali, wote wamekataa,kwa hiyo tulia,wengi wape, utaumia bure.
 
Jiulize swali dogo tu:
1:Kwa nini Yesu, alizikwa na sanda, kiislamu,hakuzikwa na Suti kama wakristo wanavyozikwa?
2:Kwa nini Yesu alivyaa Kanzu,mavazi ya kiislamu, hakuvaa suti, maisha yake yote.
Ukisema kanzu ni mavazi ya mashariki ya kati,mbona mkristo muarabu havai,muyahudi havai.
3:Mamake Yesu akijifinika Ushungu kichwani,na gauni refu,kiislamu.Hakuwa kichwa wazi, gauni fupi kikristo.
Chukuwa hatua,wacha kutoa kichwani,soma vitabu,hujui kusoma hata picha huelewi.
 
Angalia mavazi ya Yesu
1:Yesu akivaa kanzu, hakunyoa ndevu,hakuvaa suti.
2Yesu kazikwa na sanda,kiislamu,hakuzikwa na suti kikristo.
3:Mamake Yesu,Mariya,akivaa ushungi,kichwani na gauni refu,,hakuwa kichwa wazi kikristo na kigauni kifupi.
4:Yesu kutabu chake ni Injili,waislamu wanakiamini.Wakristo kitabu chao ni Biblia.
5.Ukristo umeanza baada ya kuondoka Yesu, wakati was Yes,kulikuwa hakuna kanisa, hakuna msalaba.
Tafakari,chukuwa hatua,hujachelewa.
 
Yesu mwenyewe alikuwa muislsmu:soma biblia
1:Akivaa kanzu,mavazi matakatifu
2:Hakunyoa ndevu
3:Akiswali kwa kusujudu,kiislamu
4:Alizikwa na sanda, kiislamu.Hakuzikwa na suti.
Hoja dhaifu kabisa hizi

Kwahiyo hizi ndizo nguzo za uislamu?

Kwahiyo nikifuga mzuzu, na kuvaa kanzu, tayari nishakuwa muislamu?

WAYAHUDI MPAKA KESHO WANAVAA KANZU, WANAFUGA NDEVU, KWAHIYO NI WAISLAMU?

halafu hiz hoja zenu mufilisi muwadanganye watanzania hapa hapa, KWINGINE MTAPIGWA MAWE, kwa uongo
 
Mbona hoja mufilisi kabisa hizi

Wayahud mpaka leo wanavaa kanzu, hawanyoi ndevu,

Kwahiyo nao ni waislamu?

Wayahud mpaka kesho wanasali kwenye masinagogi kule Tel aviv na jerusalem,

HAYA HICHO KITABU CHA INJILI CHA YESU, ingekuwa vizuri ukakileta hapa, tukafananisha na INJILI YA BIBLIA,

Inaonesha hicho kitabu cha injili mnacho misikitini
 
Angalia mavazi ya Yesu na mamake na waliokuwa pamoja na Yesu, walivyaa mavazi gani,na Ibadan zao zilikuwa vipi,je wanafanana na waislamu au wakristo au wayahud?
1:Yesu akivaa kanzu, vazi la waislamu.Hakuvaa Suti,hata ndani ya biblia,Kanzu imeitwa vazi takatifu.
:2:Yesu kazikwa na sanda,bila kutiwa kwenye sanduku,hata Lazaro aliyefufuliwa na Yesu, hakuna maelezo ya kutoka ndani ya sanduku,alitoka kaburini,kama waislamu wanavyozika.
3:Mamake Yesu, Mariya alivyaa ushungi na guni refu, na hata aliokuwa nao,wanawake wa wakati huo, walivyaa hivyo,hawakuwa kichwa wazi na magauni mafupi.
4:Yesu alikuwa na kitabu Injili,hakuwa na biblia,na waislamu wanaimini Injili.
5:Wakati wa Yesu hakukuwa na makanisa,kulikuwa na misikiti ya wayahudi.
 
Yesu hajatajwa kwenye quran, aliyetajwa ni isa,

Sasa yesu na isa wap na wap

Isa wa kwenye mtende , na yesu wa holi la ng'ombe wap na wap ? Kadanganye watoto wa madrasa
Kuwa na akili,wafikiri muarabu mkristo, Yesu atamwitwa Yesu kiswahili,atamwitwa kwa matamshi ya kiarabu I'ssa,kama wazungu wanavyomwita Jesus.
 
Acha kujitekenya

Wayahudi mpaka kesho wanavaa kanzu, wanafuga ndevu hizo ni tamaduni za kiyahudi huko mashariki ya kati,hazikufanyi wewe uende mbinguni ,ni matendo ya mwili tu

Kuhusu kuzika ,hata uzikwe uchi ,au utupwe kama mzogo haibadili matendo yako ,INASIKITISHA SANA DINI YA UISLAMU kukomaa na maiti eti why inavaa suti ,n.k

HALAFU NGOJA NIKUPE ELIMU NDOGO KUHUSU MASINAGOGI ,MISIKITI MAHEKALU NA MAKANISA, haya ni majengo manne tofauti ,na UZURI QURAN IMEELEZA VIZURI

NA HATA KWA KIARABU YANA MAANA TOFAUTI

NA MPAKA LEO UKIENDA ISRAELI ,BADO MASINAGOGI YAPO NA WAYAHUDI HATA LEO JUMAMOSI WANAENDA KUSALI HUMO, LAKINI HUMKUTI MUISLAMU ANAINGIA KWENYE SINAGOGI

Sinagogi siyo msikiti kwa maana halisi:-
Wakati wa kutafsiri Biblia, wakati ule kiswahili kilikuwa bado hajikakua, wafasiri walikosa neno hasa la kuweka ili liwe na maana katika kiswahili, wakaona Waweke Msikiti wa Wayahudi, kwa sababu Mashariki ya kati, majengo yao ya ibada, yalikuwa katika mfanano, Muhammad alipoanzisha Ujenzi wa Misikiti, aliiga majengo ya masinagogi yalivyo, ndo maana wakaweka msikiti wa Wayahudi, na siyo Msikiti tu katika mfanano wa majengo, maana Masinagogi yalijengwa baada ya Waisraeli kitoka utumwani, yakitumika kama madarasa ya kufundishia Torati, na hata Ibada kwa sababu Hekalu lilikuwa moja, wasingewza kukusanyika wote
Ila kwa sasa, Lugha imepanuka! Ndiyo maana sasa huoni tena uwepo wa maneno magumu! Kufasiri Sinagogi ni msikiti wa Wayahudi kwa sababu lugha imekuwa pana, na hata ukisoma Biblia ya Kiarabu, Sinagogi, halijaitwa Masjid (مسجد) Ambapo katika Lugha ya kingereza, Mosque, bali Limeitwa hivi.
لوقا
4: 16 و جاء الى الناصرة حيث كان قد تربى و دخل المجمع حسب عادته يوم السبت و قام ليقرا
Kumeandikwa
و دخل Wadakhara
المجمع
Ilal Maj'maa
Maj'maa مخمع Ndivyo Sinagogi linavyoitwa, Wakati Msikiti kiarabu huitwa, مسجد (Masjid)
Hata ukisoma katika Biblia ya kingereza, Sinagogi huitwa, Synagogue, na msikiti ni Mosque, Huwezi kwenda kusoma English Bible ukakuta sehemu ye yote imeandikwa, Synagogue ni Mosque, kwani hata Quran yenyewe inakiri wazi kuwa kuna tofauti baina ya sinagogi na Msikiti.
Quran 22: SUURATUL HAJJ
ﺍﻟَّﺬِﻳﻦَ ﺃُﺧْﺮِﺟُﻮﺍ ﻣِﻦ
ﺩِﻳَﺎﺭِﻫِﻢْ ﺑِﻐَﻴْﺮِ ﺣَﻖٍّ ﺇِﻟَّﺎ ﺃَﻥ
ﻳَﻘُﻮﻟُﻮﺍ ﺭَﺑُّﻨَﺎ ﺍﻟﻠَّﻪُ ﻭَﻟَﻮْﻟَﺎ
ﺩَﻓْﻊُ ﺍﻟﻠَّﻪِ ﺍﻟﻨَّﺎﺱَ ﺑَﻌْﻀَﻬُﻢ
ﺑِﺒَﻌْﺾٍ ﻟَّﻬُﺪِّﻣَﺖْ ﺻَﻮَﺍﻣِﻊُ
ﻭَﺑِﻴَﻊٌ ﻭَﺻَﻠَﻮَﺍﺕٌ
ﻭَﻣَﺴَﺎﺟِﺪُ ﻳُﺬْﻛَﺮُ ﻓِﻴﻬَﺎ
ﺍﺳْﻢُ ﺍﻟﻠَّﻪِ ﻛَﺜِﻴﺮﺍً
ﻭَﻟَﻴَﻨﺼُﺮَﻥَّ ﺍﻟﻠَّﻪُ ﻣَﻦ
ﻳَﻨﺼُﺮُﻩُ ﺇِﻥَّ ﺍﻟﻠَّﻪَ ﻟَﻘَﻮِﻱٌّ
ﻋَﺰِﻳﺰٌ
40. Ambao wametolewa
majumbani mwao pasipo haki
ila kwa sababu wanasema Mola
wetu ni Mwenyeezi Mungu. Na
kama Mwenyeezi Mungu
asingeliwakinga watu baadhi
yao kwa wengine, bila shaka
yangelivunjwa mahekalu na
makanisa, na masinagogi, na
misikiti ambamo jina la
Mwenyeezi Mungu hutajwa kwa
wingi. Na bila shaka Mwenyeezi
Mungu humsaidia yule
anayemsaidia Yeye. Hakika
Mwenyeezi Mungu ni Mwenye
nguvu Mtukufu.
Hapo Quran Imetaja kwa uwingi kila Jengo.
ﺻَﻮَﺍﻣِﻊُ
(1) Mahekalalu (Swawaamiu)
َﺑِﻴَﻊٌ
(2) Makanisani (biyaaun)
َﺻَﻠَﻮَﺍﺕٌ
(3) Masinagogi (Swalawaatun)
َﻣَﺴَﺎﺟِﺪُ
(4) Msikikiti (masaa jidu)
huo ni utofauti wa kuonyesha kwamba, Kuna tofauti kati ya sinagogi na msikiti,

HIVO ENDELEENI KUWADANGANYA MAAMUMA NA WAKRISTO WASIOSOMA VITABU VYENU,

MIMI NILIKUWA MUISLAMU WA KUZALIWA, NA NILISHATOKA HUKO,

UISLAMU NI DINI ALIYOILETA MUHAMAD, AWALI ALIKUWA ANASALI NA WAYAHUDI, MPAKA PALE ALIPOKOROFISHANA NAO, NDIO AKAANZISHA HUO UISLAMU NA KUWADANGANYA ETI ibrahimu ,musa walikuwa waislamu
 
Acha uongo

Quran imekuja miaka ya 600 ikadanganya kuwa ibrahimu,adamu ni waislamu.

Hata wewe unaweza kuanzisha dini yako na likitabu ukasema ibrahimu alikuwa wa hiyo dini

Ndicho kilichofanyika kwenye quran
Nimeshakufahamishwa uislamu,unatambua virabu kabla na baada ya
1:Zaburi
2:Taurat
3:Injili
Kama uislamu umekuja kwa Qur'an,usingetambuwa uwepo was vitabu hivyo.Zipo dini nyingi kama uhindu,Sikh,Mk,hawavitambui vitabu hivyo,kwa sababu ni dini zilizoanza baada ya hivyo vitabu.
 
Kuwa na akili,wafikiri muarabu mkristo, Yesu atamwitwa Yesu kiswahili,atamwitwa kwa matamshi ya kiarabu I'ssa,kama wazungu wanavyomwita Jesus.
Kweli wewe mweupe

Yesu kwa kiarabu ni YASU

hiyo yesu ni isa umeitoa wap?

MBONA MNADANGANYWA MCHANA KWEUPE?
 
Aya za uwongo kabisa. Mtu aje karne ya 6, ashushiwe qur an, halafu eti Sulemani alikuwa Muslim. Kwani Sulemani si Myahudi? huko kwenu kwa wenye dini yao Waarabu hamna manabii. Kwa mnang'ania manabii wa Mayahudi wakati huo huo mnawachukia wayahudi?
Sasa uulize kabla ya kusema utumbo hapa. Uyahudi ni dini inayofuata taurati ya Mussa. Hata hivyo taurati ya Mussa inaitakidi unyenyekevu kwa Mungu Mmoja. Suleiman ni mtoto wa Daudi aliyepewa Zaburi. Nayo pia inamtakidi Mungu Mmoja. Acheni upotoshaji kwa kusoma vitabu juu juu tu.
 
usizilazimishe hizo dini kutambua hivo vitabu

Kama mnavitambua. Vileten hivo vitabu tuvione ,

Halafu lazima UJUE muhamad aliishi vzr na wayahudi, ila alipotokewa na Shetani akampa Wahyi wa uongo na kuanzisha dini ya UISLAMU, ndipo alipoanza kugombana na WAYAHUDI , na amewarithisha hadi nyinyi hii chuki,

Kuanzia hapo akaanzisha hadi SIKU YA IBADA YA IJUMAA, AWALI ALISALI JUMAMOSI NA WAYAHUDI VZR TU

AKAANZA KUSEMA IBRAHIMU NA MUSA, NA YESU WALIKUWA WAISLAMU kitu ambacho sio kweli
 
Hakuna asiye muislamu akivaa mavaxi hayo, hata wewe ukikutana na mtu ,barabarani lavas mavazi hayo,utachukulia asilimia 100 ni muislamu.Ukimuona mwanamke kajifinika ushungi 100%,utasema kapita mwanamke wa kiislamu.
Maiti ikifufuliwa kokote duniani,akiwa kavalishwa sanda sio suti, anajulikana muislamu.
Na ndivyo Yesu alivyozikwa
1:Alivyalishwa sanda,
2:Hakutiwa kwenye sanduku.
Au hujui sanda ni nini,
Sanda ni shuka nyeupe anayovingirishiwa maiti wa kiislamu,kwa mpangilio maalumu.
 
Sasa Torati ya wayahudi na UISLAMU WAPI NA WAPI?

MBONA MNATUMIA LIKITABU ALILOKUJA NALO MUDY?

WAYAHUD MPAKA KESHO WANATUMIA BIBLIA AGANO LA KALE(TANAKH)

MBONA HAMUITAKI MNASEMA YA UONGO, HIYO YA UKWELI IPO WAPI?

SULEMAN ALIJENGA HEKALU,

HEKALU NA MSIKITI WAP NA WAPI?

MISIKITI IMEANZ kujengwa baada ya muhamad, before hakuna kitu kilichokuwa kinaitwa msikiti ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…