Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Baadhi najua wanafahamu kisonono ninini... Huu ni ugonjwa wa zinaa unaoathiri sehemu za siri.. Ni dugu moja na kaswende na gono.. Ni magonjwa ya aibu na baadhi hujitibia kwa siri.. UTI ni gono lililochangamka😂
Kifaduro ni ugonjwa wa kifua.. Sio ugonjwav wa aibu na hauna kificho.. Kwakuwa hata ukitaka kuuficha haufichiki maana unahusika na kukohoa mfululizo.. Ulikuwa ugonjwa maarufu miaka ya 80
Wakataa ndoa ni kifaduro na ni kisonono cha jamii..
Kuna usiri na kuna uwazi kwenye hili... Baadhi ya wakataa ndoa sababu zao zinatia soni na zinasikitisha pia
Kuna liroho baya sana linajitanua kwenye ishu ya ndoa.. Kuua familia! Kuua uumbaji... Wan awake kugeuka kuwa wasagaji (hatakama hawana machine) na wanaume kuwa mashoga hata kama ushoga wenyewe hawaujui
Haya mambo yalianzia kwa wazungu. Na sasa wamesharudisha mpira kwa kipa.. Ushoga na usagaji vinatambuliwa rasmi kama sehemu ua haki za binadamu..🤬🤪
Kwao uzazi sio ishu tena maana kuna watoto wa maabara.. Jinsia sio ishu tena! Mwanamke anaweza kuwa mwanaume na kinyume chake
Tafsiri yake ninini? Hakuna familia tena bali kuna makutano ya mazombi.. Imagine mtoto analelewa na midume miwili mchelemchele moja likijiita mama lingine baba! Mapapai tupu.. Hakuna muhogo hapo
Kama wazazi ni walinazi unategemea watoto watakuwa nani? Biriani? La hasha! Ukipanda viazi mbatata huwezi kuvuna viaZi mviringo!
Nimefurahi sana nina kadi nne za wakataa ndoa. Asili imeshinda.. Wanaoa karibuni.. Wanaoa wanawake halisi na kamili... Hakuna mkate mgumu mbele ya chai hasa ya rangi
Hakuna hitimisho!