Kifaduro na kisonono cha wakataa ndoa, zimwi la kuogopwa sana kwenye jamii

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Baadhi najua wanafahamu kisonono ninini... Huu ni ugonjwa wa zinaa unaoathiri sehemu za siri.. Ni dugu moja na kaswende na gono.. Ni magonjwa ya aibu na baadhi hujitibia kwa siri.. UTI ni gono lililochangamka😂

Kifaduro ni ugonjwa wa kifua.. Sio ugonjwav wa aibu na hauna kificho.. Kwakuwa hata ukitaka kuuficha haufichiki maana unahusika na kukohoa mfululizo.. Ulikuwa ugonjwa maarufu miaka ya 80
Wakataa ndoa ni kifaduro na ni kisonono cha jamii..

Kuna usiri na kuna uwazi kwenye hili... Baadhi ya wakataa ndoa sababu zao zinatia soni na zinasikitisha pia
Kuna liroho baya sana linajitanua kwenye ishu ya ndoa.. Kuua familia! Kuua uumbaji... Wan awake kugeuka kuwa wasagaji (hatakama hawana machine) na wanaume kuwa mashoga hata kama ushoga wenyewe hawaujui

Haya mambo yalianzia kwa wazungu. Na sasa wamesharudisha mpira kwa kipa.. Ushoga na usagaji vinatambuliwa rasmi kama sehemu ua haki za binadamu..🤬🤪

Kwao uzazi sio ishu tena maana kuna watoto wa maabara.. Jinsia sio ishu tena! Mwanamke anaweza kuwa mwanaume na kinyume chake

Tafsiri yake ninini? Hakuna familia tena bali kuna makutano ya mazombi.. Imagine mtoto analelewa na midume miwili mchelemchele moja likijiita mama lingine baba! Mapapai tupu.. Hakuna muhogo hapo

Kama wazazi ni walinazi unategemea watoto watakuwa nani? Biriani? La hasha! Ukipanda viazi mbatata huwezi kuvuna viaZi mviringo!

Nimefurahi sana nina kadi nne za wakataa ndoa. Asili imeshinda.. Wanaoa karibuni.. Wanaoa wanawake halisi na kamili... Hakuna mkate mgumu mbele ya chai hasa ya rangi

Hakuna hitimisho!
1741703542904.jpg
1741708262032.jpg
 
Baadhi najua wanafahamu kisonono ninini... Huu ni ugonjwa wa zinaa unaoathiri sehemu za siri.. Ni dugu moja na kaswende na gono.. Ni magonjwa ya aibu na baadhi hujitibia kwa siri.. UTI ni gono lililochangamka😂

Kifaduro ni ugonjwa wa kifua.. Sio ugonjwav wa aibu na hauna kificho.. Kwakuwa hata ukitaka kuuficha haufichiki maana unahusika na kukohoa mfululizo.. Ulikuwa ugonjwa maarufu miaka ya 80
Wakataa ndoa ni kifaduro na ni kisonono cha jamii.. Kuna usiri na kuna uwazi kwenye hili... Baadhi ya wakataa ndoa sababu zao zinatia soni na zinasikitisha pia
Kuna liroho baya sana linajitanua kwenye ishu ya ndoa.. Kuua familia! Kuua uumbaji... Wan awake kugeuka kuwa wasagaji (hatakama hawana machine) na wanaume kuwa mashoga hata kama ushoga wenyewe hawaujui

Haya mambo yalianzia kwa wazungu. Na sasa wamesharudisha mpira kwa kipa.. Ushoga na usagaji vinatambuliwa rasmi kama sehemu ua haki za binadamu..🤬🤪
Kwao uzazi sio ishu tena maana kuna watoto wa maabara.. Jinsia sio ishu tena! Mwanamke anaweza kuwa mwanaume na kinyume chake
Tafsiri yake ninini? Hakuna familia tena bali kuna makutano ya mazombi.. Imagine mtoto analelewa na midume miwili mchelemchele moja likijiita mama lingine baba! Mapapai tupu.. Hakuna muhogo hapo

Kama wazazi ni walinazi unategemea watoto watakuwa nani? Biriani? La hasha! Ukipanda viazi mbatata huwezi kuvuna viaZi mviringo!
Nimefurahi sana nina kadi nne za wakataa ndoa. Asili imeshinda.. Wanaoa karibuni.. Wanaoa wanawake halisi na kamili... Hakuna mkate mgumu mbele ya chai hasa ya rangi

Hakuna hitimisho!View attachment 3266897View attachment 3266904
Wanao kataa ndoa wana akili zaidi ya wanao shabikia ndoa maana hata walio oa wenye akili wanatambua akili kubwa ya kataa ndoa ...watu wenye akili ana oa tu sababu hakuna jinsi ila ukweli wanaujua vizuri.
 
Wanao kataa ndoa wana akili zaidi ya wanao shabikia ndoa maana hata walio oa wenye akili wanatambua akili kubwa ya kataa ndoa ...watu wenye akili ana on tu sababu hakuna jinsi ila ukweli wanaujua vizuri.
Ndoa hufanyoka mbinguni. Hii ina maana kwamba ndoa zimepangwa kabla au hutokea kulingana na mapenzi ya Mungu. Taasisi ya ndoa ina nafasi takatifu na yenye neema kubwa kiasili.

ZamaniWazazi walianza kutafuta mwenzi anayefaa kwa watoto wao punde tu wanapofikisha umri wa kuoa. Lakini ushawishi wa utamaduni wa Kimagharibi na kupenda mali umeleta mabadiliko kwa vijana ambao wamejikita zaidi katika taaluma na hivyo kuchelewesha ndoa hadi wawe wametulia vizuri. Wakati mwingine kutafuta mwenzi mkamilifu pia ni sababu ya kuchelewa kwa ndoa. Baadhi ya watu wamechelewa kwa sababu za hovyo kabisa huku wengine wakikataa kabisa ndoa. Kwasababu za kimaumbie
 
Uzuri ni kwamba walio kwenye NDOA ndiyo wanaoongoza kwa kuikubali hii movement "KATAA NDOA" ila basi Tu kwakuwa waliingia huko hawana namna na wengine wanaogopa kusema wazi ila mioyoni mwao wanasadiki "kukataa ndoa"
Mshana Jr tunashukuru kwa andiko lakini nikukumbushe tu kwamba NDOA ndizo zimezaa KATAA NDOA" na sasa zinaogopa kwasababu mtoto waliemzaa Yuko smart na logical.
Ramadhan Kareem!
 
Bro shkamoo, zama zimebadilika.Zama zenu ni tofauti na za sasa.Miaka hii kumpata mke ni kazi sana.Sikuhizi kuna wanawake hakuna wake.Mfano mimi nimefanya namna za kiungwana na za msingi za kuoa aisee hawa wadada wa miaka hii ni kiboko!
 
Whatever the case ndoa itabaki kuwa kitu bora na kithibitisho pekee cha hekima na akili na urijali kwa mwanaume.. Mwanaume kamili anayejiamini hawezi kukataa ndoa
 
Bro shkamoo, zama zimebadilika.Zama zenu ni tofauti na za sasa.Miaka hii kumpata mke ni kazi sana.Sikuhizi kuna wanawake hakuna wake.Mfano mimi nimefanya namna za kiungwana na za msingi za kuoa aisee hawa wadada wa miaka hii ni kiboko!
Bado wapo wachache wife material. Safiri mbali vijijini sio huku mijini.. Tatizo mnataka rangi na vishudu😀
 
Back
Top Bottom