Kifo cha David Balali: Kauli mbalimbali toka kwa watanzania

Kifo cha David Balali: Kauli mbalimbali toka kwa watanzania

Alisema, hata taarifa zilizotolewa kuwa amefutiwa hati ya kuishi Marekani ziliongeza mashaka, kwa sababu alitakiwa kuondoka nchini humo baada ya kutotambuliwa, lakini hadi anakufa alikuwa huko.

Now ninaomba kuuliza hivi, Balali alifutiwa viza na serikali ya US akiwa US tayari, sasa ilikuwaje aliendelea kuishi huko bila ya viza? Naomba wenye kujua zaidi wanisaidie hili!

Maana kwa ufahamu wangu mdogo mtu akifutiwa viza akiwa ndani ya US, basi anatakiwa kuondoka haraka sana kama hakurudishwa na wenyewe wanyamwezi, au?
 
Ndio maana State Department walinielekeza HOME LAND SECURITY!
LAZIMA KUNA JAMBO...Home land security ndio wanadili na mambo haya!
Wamarekani hawawezi kutuambia kila kitu!
Kama hao wanasheria nao ni wakweli basi wawaombe wamarekani kwa kupitia FBI habari zote ziwekwe mchana kweupe kwa manufaaa ya wananchi!
 
Na kama kweli ilikuwa ni kansa basi serikali inaogopa ile assumption kuwa walijua atakufa kwa kansa so wakakubaliana afanye uharamia halafu kwasababu wanajua kabla hajahojiwa kansa itakuwa imeshamuua akiwa huru!
Hata kama thats the case bado tuna kesi ya kuhitaji majibu!
Narudia tena serikali ina nafasi ya kuja clean kabla mabo hayajazidi kuwa mabaya!
 
Assumption ya sumu ambayo hata Ballali mwenyewe alikuwa akiipromote na bila kuja clean kabla ya kifo chake haina nafasi kwa wakati huu!
Samahani wakuu Field Marshall na MKJJ na Ansbert Ngurumo!
Hatutaki hizo assumptions kwa sasa!
Tuhakikishiwe kwanza kuwa Ballali ni kweli kafa..Na nini kimemuua..Then tuendelee na ni nani aliyemuua na kwanini!
Thats the common sense approach on this matter!
Kwa maoni yangu tu.
 
MWK anarudi lini jamvini?
 
Mkuu mimi nilipolifuatilia hili kule State Department, niliambiwa kuwa Balali ana Green Card ambayo ni valid, nikaambiwa tulichomfutia ni viza tu kama ofisa wa serikali kutoka executive branch,

na bongo sasa hivi ninawajua viongozi wetu wengi kwenye sekta mbali mbali wanamiliki hizo Green Card, na ambao huenda US kwa siri sana kuzi-activate na kuna mpaka wenye pass kabisa za huko, sasa hili limekaaaje wakuu?
 
Assumption ya sumu ambayo hata Ballali mwenyewe alikuwa akiipromote na bila kuja clean kabla ya kifo chake haina nafasi kwa wakati huu!
Samahani wakuu Field Marshall na MKJJ na Ansbert Ngurumo!
Hatutaki hizo assumptions kwa sasa!

Umenisikia wapi nimeassume kuwa amekufa kwa sumu?

Tuhakikishiwe kwanza kuwa Ballali ni kweli kafa..Na nini kimemuua..Then tuendelee na ni nani aliyemuua na kwanini!
Thats the common sense approach on this matter!
Kwa maoni yangu tu.

Unahakikishaje kuwa mtu kafa?
 
Mkuu mimi nilipolifuatilia hili kule State Department, niliambiwa kuwa Balali ana Green Card ambayo ni valid, nikaambiwa tulichomfutia ni viza tu kama ofisa wa serikali kutoka executive branch,

na bongo sasa hivi ninawajua viongozi wetu wengi kwenye sekta mbali mbali wanamiliki hizo Green Card, na ambao huenda US kwa siri sana kuzi-activate na kuna mpaka wenye pass kabisa za huko, sasa hili limekaaaje wakuu?
Ukiwa na green card hauhitaji visa!
Na green Card ili iendelee kuwa valid kama ukiwa nje ya nchi ni lazima urudi marekani at least mara moja kwa mwaka!
So hata kama alikuwa na green card..Then bado tutailaumu serikali kwasababu ndio imani kuwa walikuwa na mpango mchafu itaongezeka!
 
Now ninaomba kuuliza hivi, Balali alifutiwa viza na serikali ya US akiwa US tayari, sasa ilikuwaje aliendelea kuishi huko bila ya viza? Naomba wenye kujua zaidi wanisaidie hili!

Maana kwa ufahamu wangu mdogo mtu akifutiwa viza akiwa ndani ya US, basi anatakiwa kuondoka haraka sana kama hakurudishwa na wenyewe wanyamwezi, au?

Ubalozi wa Marekani Tanzania uliulizwa maneno hayo hayo uliyosema. Neno kwa neno. Balozi Green akasema, huwa hawaendi nyumba kwa nyumba wanagonga hodi kutafuta illegal immigrants. Wengi tumefukuzana fukuzana na Uhamiaji kiwanja hapa, hilo ni kweli. Raids za nyumbani zinafanywa Uingereza- nasikia, sijafika.

Halafu Field Marshal wewe baharia mwanangu you should know this Visa jazz better than anybody kwa sababu ulianza mbele kitambo, wakati Nyerere bado anabania kutoa Pasi.

Sasa cheki basi: Hata ukipigwa palanja (deported) hawakutafuti, unaachwa uondoke mwenyewe. Billali alikuwa hata hajapigwa palanja, hivyo wasingeweza hata kidogo kumfuata. Ushanikamata baharia?

Kwa hiyo, sio tu kwamba Ballali hakuwa Raia wa US (kama viongozi wa Upinzani walivyodai kimakosa leo), bali mzee alikuwa kanjanja. Ushanikamata?
 
1
. Assumption ya sumu ambayo hata Ballali mwenyewe alikuwa akiipromote na bila kuja clean kabla ya kifo chake haina nafasi kwa wakati huu!

Mkuu najua unapotumia jina hili la Mushi angalau you make a lot of sense, lakini one thing ambacho huna ni control over what watu wengine wanatakiwa kufikiri au kusema kuanzia hapa JF au popote pale kwenye vyombo vingine vya media unachoweza kufanya ni either kutoa maoni yako on the ishu au kukaa pembeni bila kutoa amri kwa wengine on what to do!

2.
Samahani wakuu Field Marshall na MKJJ na Ansbert Ngurumo! Hatutaki hizo assumptions kwa sasa!

Mkuu uliposema rais hataki Balali arudi ilikuwa ni assumption ambayo sasa inaelekea kuwa huenda ni kweli, sasa wewe tena hutaki wengine waa-assume, vipi mkuu mbona unajivisha ukiranja bila ya kupewa? Si nilishawahi kukuuuliza huko nyuma kuwa toka lini umekuwa kiranja na umepewa na nani hapa JF?

3.
Tuhakikishiwe kwanza kuwa Ballali ni kweli kafa..Na nini kimemuua..Then tuendelee na ni nani aliyemuua na kwanini!
Thats the common sense approach on this matter!
Kwa maoni yangu tu.

Hapa ndio kabisaa unazidi kujichanganya mkuu, haya utayapata wapi? Na utamshawishi nani kuwa una ukweli on this things? Uhakikishiwe na nani?
 
Umenisikia wapi nimeassume kuwa amekufa kwa sumu?

Unahakikishaje kuwa mtu kafa?

Haya maswali nikuulize wewe uliyeanzisha rumours kwamba keshakufa na hatukuambiwa..Then all over a sudden ukawa ni wewe pekee na Invicible wenye taarifa..Then eventually Fileld Marshall..Na sasa Ansbert Ngurumo!
Kwani nani asiyejua ni wewe pekee uliyeweza kupata access ya Chenge wakati akiwa ahera mpaka alipofika Bongo?
Sasa na Ballali utamtoa ahera?
 
Na kama kweli ilikuwa ni kansa basi serikali inaogopa...............

Serikali ya JK haina wasiwasi wala haiogopi kitu....nilishasema hakuna nchi rahisi kutawala Kama Tanzania....ppl don't have guts ni uswahili mwingi mchana usiku wamelala.

Narudia tena serikali ina nafasi ya kuja clean kabla mambo hayajazidi kuwa mabaya!

Mkuu Mushi usitegemee hilo. Jiulize,huyo Ngurumo kaja na theory lakini hakuna majina anaacha watu na kitendawili watu mnaanza kujadili.....na mtachukua the whole day kujadili na hatimaye nyie wenyewe mkarudiana.

Angalia vyama vya upinzani vinafanya nini zaidi tu ya kufanya press conference...audience yao ni only 20% of the population...wale wananchi ambao wanajua kuwa Tanzania ni CCM hakuna anachokipata wala kuelewa.
 
1

Mkuu najua unapotumia jina hili la Mushi angalau you make a lot of sense, lakini one thing ambacho huna ni control over what watu wengine wanatakiwa kufikiri au kusema kuanzia hapa JF au popote pale kwenye vyombo vingine vya media unachoweza kufanya ni either kutoa maoni yako on the ishu au kukaa pembeni bila kutoa amri kwa wengine on what to do!

2.

Mkuu uliposema rais hataki Balali arudi ilikuwa ni assumption ambayo sasa inaelekea kuwa huenda ni kweli, sasa wewe tena hutaki wengine waa-assume, vipi mkuu mbona unajivisha ukiranja bila ya kupewa? Si nilishawahi kukuuuliza huko nyuma kuwa toka lini umekuwa kiranja na umepewa na nani hapa JF?

3.

Hapa ndio kabisaa unazidi kujichanganya mkuu, haya utayapata wapi? Na utamshawishi nani kuwa una ukweli on this things? Uhakikishiwe na nani?

Hayo mabishano nakuachia wewe na wanasheria wanaofikiri kama mimi...Pia na wazalendo wote wanaifuatilia issue hii kwa ukaribu toka mwanzo kama wengi wetu!
Nyinyi ndio mtakaofanya watu wengine wasikubali kuburuzwa hapa JF!
Niliposema Kikwete alikataa si mlipinga wote na kusababisha isuue kupelekwa kwenye vibweka vya wakubwa?
What happen to the thread JK-Msijali kuitwa mafisadi?
Nyie mnafikiri watu hawaoni?
Wamebakiza kaimani kadogo na mjaribu kuwarudisha kambini ili JF iendelee vyema!
 
Sasa cheki basi: Hata ukipigwa palanja (deported) hawakutafuti, unaachwa uondoke mwenyewe. Billali alikuwa hata hajapigwa palanja, hivyo wasingeweza hata kidogo kumfuata.

Sasa mkuu huoni kuwa profile ya kesi ya huyu mkuu ilikuwa ni too big kwao US kutom-deport? Maaaana ninakumbuka kuwa Kurt Waldheim yula m-Austria, walipomshitukia tu kuwa ana noma, wanyamwezi kwanza walimfukuza na kumpiga marufuku kuingia tena US kama raia lakini walisema wazi kuwa hawawezi kumzuia kuingia US kama rais wa Austria,

Sasa iweje hii ya Balali wakamuachia tu hivi hivi aishi huko bila viza ambayo tayari walishaitangaza kuwa wameifuta? Wakati wabunge wetu wa upinzani walikuwa tayari wameitwa huko Congress na kutema wazi sumu nzima ya Balali hapa bongo? Na jinsi tulivyokuwa tukumuhitaji sana kulisaidia taifa letu kwa uchunguzi wa EPA ambao wao wenyewe wanyamwezi waliushinikiza ufanyike?

Naomba shule zaidi hapa wakuu!
 
Haya maswali nikuulize wewe uliyeanzisha rumours kwamba keshakufa na hatukuambiwa.

hilo ndilo tatizo lako, husomi kilichoandikwa unadandia. NIlianzisha rumor au nilisema kwa kufuata mantiki. Nenda kasome tena posti yangu ya kwanza na utaelewa kwanini siku mbili baadaye tukaambiwa amekufa.

.Then all over a sudden ukawa ni wewe pekee na Invicible wenye taarifa..Then eventually Fileld Marshall..Na sasa Ansbert Ngurumo!

Kwa sababu wenzio hatubakii kuuliza maswali, tunaenda kwenye majibu!

Kwani nani asiyejua ni wewe pekee uliyeweza kupata access ya Chenge wakati akiwa ahera mpaka alipofika Bongo?

Kwa sababu, sikutaka porojo za mitaani ninaenda kwenye source. Siku wewe ukienda kwenye source ya habari utashangaa hiyo access inavyopatikana. Wengine majina yetu yametutangulia. Fanya utafiti, usiogope kuwapigia simu wahusika na ikibidi funga safari. Uzalendo wa kutype unabakia kwenye screen ya computer!

Sasa na Ballali utamtoa ahera?

Kama Ahera watu wanarudi basi ujue na yeye atarudi tu!
 
Jf kama chombo chenye nguvu na watu wenye ushawishi ambao wanajulikana kuitikisa serikali!
We unafikiri mafisadi hawajajaribu kununua figures machachari?
Dolla millioni mia kadhaa ni nyingi mno ndugu zangu na hilo tunalifahamu!
 
mawazo huru hayana bei! ila mawazo ya upotoshaji huwa yananunulika. Watu hawanunui watu wenye mawazo huru wananunua wanaoweza kupotosha watu. Na wewe una bei.
 
mawazo huru hayana bei! ila mawazo ya upotoshaji huwa yananunulika. Watu hawanunui watu wenye mawazo huru wananunua wanaoweza kupotosha watu. Na wewe una bei.

MKJJ hii ni mara ya mwisho nakuomba urudi upande wa wazalendo ili imani yao kwako irudi!
Mafisadi walijua una ushawishi mkubwa!
Lakini hawakujua kuna kina JMushi.
Narudia tena...RUDI KAMBINI MKUU USIJE UAKANGUKA KIFO KIBAYA CHA IMANI YA SIASA ZETU AMBAYO TULIKUWA NAYO KWAKO WAKATI UKIWA UPANDE WA WAZALENDO!
 
Mwafrika wa Kike umempunzisha utapata tabu zaidi kwasababu wote nyie wawili mli prove wrong mlipomkataza Zitto asiyafuatilea masuala ya Ballali wakati akiwa hai!
Na kuwazuia hata wale ndugu wa marehemu wasipeleke habari bongo bali mtandaoni!
HALAFU BADO UNAJIITA MZALENDO?
 
1.
Nyinyi ndio mtakaofanya watu wengine wasikubali kuburuzwa hapa JF!
Niliposema Kikwete alikataa si mlipinga wote na kusababisha isuue kupelekwa kwenye vibweka vya wakubwa?

Ni mtu mjinga na mpuuzi tu ndiye anayeweza kukubali kuburuzwa hapa JF, na wewe unajua vyema kuwa hilo, na kwamba kukubali kuburuzwa kwa mtu hapa JF ni ufala wake mwenyewe it has nothing to do na JF,

Uliposema rais na kukataa, ni mimi peke yangu ndiye nilyekuokoa with a strong hand na hoja nzito kumbe wewe ni mwepesi sana kusahau na kukumbuka?

2.
What happen to the thread JK-Msijali kuitwa mafisadi?
Nyie mnafikiri watu hawaoni? Wamebakiza kaimani kadogo na mjaribu kuwarudisha kambini ili JF iendelee vyema!

Mkuu naomba uache assumpitons zako, I have nothing to do na umiliki wa JF, kwa hiyo ondoa hiyo "nyie" ni pure nonesense, mimi sielewi maoni yangu yanahusika vipi na JF? Mbona tunaambiwa JF ni mali ya Chadema sasa iweje tena waondoe topic zinazomhusu Kikwete as of your complain?

Halafu ni wewe mwenyewe ndiye umeanza kurusha majina kuanzaia la MMJ, mimi na Ngurumo, nafikiri unajua kuwa Ngurumo ni active mamber hapa, sasa mbona hutaki kujibiwa? Unarusha maneno ambayo hayahusiani kabisa na uchokozi wako mwenyewe?

Halafu tizama hoja zako za nguvu, eti imani kwa JF huwa inapimwa tu wewe ukiwa challenged on maneno yako wewe mwenyewe? Wewe huoni kuwa this is pure childish thinking kwa mtu mzima kama wewe?

Next time unapotoa hoja sio lazima utaje majina ya wnegine maana utajibiwa na hutapenda kama unavyooonyesha hapa!
 
Back
Top Bottom