William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Alisema, hata taarifa zilizotolewa kuwa amefutiwa hati ya kuishi Marekani ziliongeza mashaka, kwa sababu alitakiwa kuondoka nchini humo baada ya kutotambuliwa, lakini hadi anakufa alikuwa huko.
Now ninaomba kuuliza hivi, Balali alifutiwa viza na serikali ya US akiwa US tayari, sasa ilikuwaje aliendelea kuishi huko bila ya viza? Naomba wenye kujua zaidi wanisaidie hili!
Maana kwa ufahamu wangu mdogo mtu akifutiwa viza akiwa ndani ya US, basi anatakiwa kuondoka haraka sana kama hakurudishwa na wenyewe wanyamwezi, au?
MWK anarudi lini jamvini?Assumption ya sumu ambayo hata Ballali mwenyewe alikuwa akiipromote na bila kuja clean kabla ya kifo chake haina nafasi kwa wakati huu!
Samahani wakuu Field Marshall na MKJJ na Ansbert Ngurumo!
Hatutaki hizo assumptions kwa sasa!
Tuhakikishiwe kwanza kuwa Ballali ni kweli kafa..Na nini kimemuua..Then tuendelee na ni nani aliyemuua na kwanini!
Thats the common sense approach on this matter!
Kwa maoni yangu tu.
Assumption ya sumu ambayo hata Ballali mwenyewe alikuwa akiipromote na bila kuja clean kabla ya kifo chake haina nafasi kwa wakati huu!
Samahani wakuu Field Marshall na MKJJ na Ansbert Ngurumo!
Hatutaki hizo assumptions kwa sasa!
Tuhakikishiwe kwanza kuwa Ballali ni kweli kafa..Na nini kimemuua..Then tuendelee na ni nani aliyemuua na kwanini!
Thats the common sense approach on this matter!
Kwa maoni yangu tu.
Ukiwa na green card hauhitaji visa!Mkuu mimi nilipolifuatilia hili kule State Department, niliambiwa kuwa Balali ana Green Card ambayo ni valid, nikaambiwa tulichomfutia ni viza tu kama ofisa wa serikali kutoka executive branch,
na bongo sasa hivi ninawajua viongozi wetu wengi kwenye sekta mbali mbali wanamiliki hizo Green Card, na ambao huenda US kwa siri sana kuzi-activate na kuna mpaka wenye pass kabisa za huko, sasa hili limekaaaje wakuu?
Now ninaomba kuuliza hivi, Balali alifutiwa viza na serikali ya US akiwa US tayari, sasa ilikuwaje aliendelea kuishi huko bila ya viza? Naomba wenye kujua zaidi wanisaidie hili!
Maana kwa ufahamu wangu mdogo mtu akifutiwa viza akiwa ndani ya US, basi anatakiwa kuondoka haraka sana kama hakurudishwa na wenyewe wanyamwezi, au?
. Assumption ya sumu ambayo hata Ballali mwenyewe alikuwa akiipromote na bila kuja clean kabla ya kifo chake haina nafasi kwa wakati huu!
Samahani wakuu Field Marshall na MKJJ na Ansbert Ngurumo! Hatutaki hizo assumptions kwa sasa!
Tuhakikishiwe kwanza kuwa Ballali ni kweli kafa..Na nini kimemuua..Then tuendelee na ni nani aliyemuua na kwanini!
Thats the common sense approach on this matter!
Kwa maoni yangu tu.
Umenisikia wapi nimeassume kuwa amekufa kwa sumu?
Unahakikishaje kuwa mtu kafa?
Na kama kweli ilikuwa ni kansa basi serikali inaogopa...............
Narudia tena serikali ina nafasi ya kuja clean kabla mambo hayajazidi kuwa mabaya!
1
Mkuu najua unapotumia jina hili la Mushi angalau you make a lot of sense, lakini one thing ambacho huna ni control over what watu wengine wanatakiwa kufikiri au kusema kuanzia hapa JF au popote pale kwenye vyombo vingine vya media unachoweza kufanya ni either kutoa maoni yako on the ishu au kukaa pembeni bila kutoa amri kwa wengine on what to do!
2.
Mkuu uliposema rais hataki Balali arudi ilikuwa ni assumption ambayo sasa inaelekea kuwa huenda ni kweli, sasa wewe tena hutaki wengine waa-assume, vipi mkuu mbona unajivisha ukiranja bila ya kupewa? Si nilishawahi kukuuuliza huko nyuma kuwa toka lini umekuwa kiranja na umepewa na nani hapa JF?
3.
Hapa ndio kabisaa unazidi kujichanganya mkuu, haya utayapata wapi? Na utamshawishi nani kuwa una ukweli on this things? Uhakikishiwe na nani?
Sasa cheki basi: Hata ukipigwa palanja (deported) hawakutafuti, unaachwa uondoke mwenyewe. Billali alikuwa hata hajapigwa palanja, hivyo wasingeweza hata kidogo kumfuata.
Haya maswali nikuulize wewe uliyeanzisha rumours kwamba keshakufa na hatukuambiwa.
.Then all over a sudden ukawa ni wewe pekee na Invicible wenye taarifa..Then eventually Fileld Marshall..Na sasa Ansbert Ngurumo!
Kwani nani asiyejua ni wewe pekee uliyeweza kupata access ya Chenge wakati akiwa ahera mpaka alipofika Bongo?
Sasa na Ballali utamtoa ahera?
mawazo huru hayana bei! ila mawazo ya upotoshaji huwa yananunulika. Watu hawanunui watu wenye mawazo huru wananunua wanaoweza kupotosha watu. Na wewe una bei.
Nyinyi ndio mtakaofanya watu wengine wasikubali kuburuzwa hapa JF!
Niliposema Kikwete alikataa si mlipinga wote na kusababisha isuue kupelekwa kwenye vibweka vya wakubwa?
What happen to the thread JK-Msijali kuitwa mafisadi?
Nyie mnafikiri watu hawaoni? Wamebakiza kaimani kadogo na mjaribu kuwarudisha kambini ili JF iendelee vyema!