jmushi,
Mkuu huyo Mama Muganda amehusika vipi na kesi za EPA hata umefikia kumwita fisadi na hata kuhoji ndoa yake.. mkuu vipi wewe nambie katika hayo makampuni 22 ni ipi anamiliki yeye?..
Unamtaka aje kueleza UMMA ambao tayari umekwisha mwekea mashaka yeye.. Je aje kujieleza yeye uhusiano wake na Ufisadi ama kuhusiana na mumewe!..maanake sielewi unapomtukana mtu kisha unataka ushirikiano wake...Kafiwa na mumewe wewe umempa hata hiyo pole au ndio bado unaamini kamficha!
Wabongo jamani hata lugha nzuri hatuna!
. Upo kwenye mduara wa kutudanganya kuhusu ukweli wa kuugua na kufa kwa Balali. If you think saying this is criminal, as you said in your post, as a responsible citizen, you know what to do when a felllow citizen commits criminal offence.
jmushi,
Mkuu huyo Mama Muganda amehusika vipi na kesi za EPA hata umefikia kumwita fisadi na hata kuhoji ndoa yake.. mkuu vipi wewe nambie katika hayo makampuni 22 ni ipi anamiliki yeye?..
Unamtaka aje kueleza UMMA ambao tayari umekwisha mwekea mashaka yeye.. Je aje kujieleza yeye uhusiano wake na Ufisadi ama kuhusiana na mumewe!..maanake sielewi unapomtukana mtu kisha unataka ushirikiano wake...Kafiwa na mumewe wewe umempa hata hiyo pole au ndio bado unaamini kamficha!
Wabongo jamani hata lugha nzuri hatuna!
You know the pendullum swings both ways, na kama kuna watu wanafikiria kuna mduara kama huo hapa JF na mimi nachelea kufikiria kuwa akina Yebo Yebo, Kitila Mkumbo, Mtanzania na Kuhani Mkuu nao wako kwenye mduara wa kuendeleza hizi conspiracy theories ili ionekane kuwa Balali aliziiba zile hela na sasa amefake kifo and out of reach na kuwakinga mafisadi halisi ili waendelee kupeta untouched kule bongo.Vipi na ninyi wana JF mmetumiwa na mafisadi, au?
Siko peke yangu karibu na Ukweli!....
Mmoja wa wanasiasa wakongwe nchini, Jaji Joseph Warioba akizungumzia kifo hicho cha Dk. Ballali wiki hii, ameiambia Raia Mwema kwamba anaona unafiki wa hali ya juu katika matamshi na matendo ya wanasiasa.
Huu ni unafiki mkubwa. Muacheni Ballali apumzike kwa amani. Kwanza walimwita ni fisadi, sasa wanasema shahidi muhimu amekufa. Katoka kuwa fisadi wakati wa uhai kuwa shahidi katika mauti, alisema Warioba katika mahojiano ya simu mwanzoni mwa wiki hii.
Aliongeza Warioba: Amekuwa kafara. Taarifa ya Serikali kuhusu fedha za EPA ilionyesha wazi Ballali amechukuliwa hatua katika utaratibu wa kawaida wa kuwajibika. Haikumtuhumu kwamba alikuwa ameiba fedha. Fedha zile bilioni 133 ni jumla ya fedha zote zilizochukuliwa na kampuni 22 zilizotajwa katika taarifa ya Serikali.
Ballali hakutajwa katika orodha ya kampuni hizo. Hilo Serikali inajua, viongozi wa siasa wanajua na vyombo vya habari vinajua. Lakini wote hao, kwa kipindi chote alichokuwa hai walimhukumu kama mtu aliyekuwa ameiba fedha. Lakini waliochukua fedha zile wanafahamika.
Kwa muda wa miezi mitano Kamati (ya uchunguzi wa kashafa ya EPA) imekuwa ikiwaambia wananchi inakusanya fedha hizo kutoka kwa watu wanaoitwa. Ilipoulizwa kuhusu Ballali ilisema haimuhitaji. Maana yake hakuwamo katika orodha ya waliochukua fedha zile. Lakini sasa amefariki wimbo umebadilika. Wanasiasa na vyombo vya habari vinamwita si fisadi tena, bali shahidi muhimu wa wizi wa EPA.
Huu ni unafiki mkubwa. Kuna visingizio kwamba ugonjwa wa Ballali haujulikani, lakini Serikali inajua kwani alikuwa analipiwa matibabu na Benki Kuu. Alikuwa Boston, Marekani, ile nchi iko wazi mtu angetaka kujua angejua. Lakini sasa wanasiasa na vyombo vya habari vinalalamika kwamba ugonjwa wake ulifanywa siri. Kumbe ni uzembe wao.
Sasa tumeanza kutafuta mchawi huku. Na hapa ikisha kutamkwa neno fisadi tu, basi hata kama mtu hana ushahidi unakuwa fisadi. Lakini yote haya hakuna anayekuambia Ballali aliiba kiasi gani. Wamuache apumzike kwa amani, siku moja ukweli utafahamika.
Sawa kabisa mimi nilisema kwamba wewe ulikuwa kwenye mduara wa kudanganya kuhusu kuugua na kufa kwa Balali.
Huwa nakukosoa pale inapobidi na ninapoona kwamba ni lazima. My only humbe advice is that you should stop thinking that you are infallible bacause you are not. As binadamu, sisi sote hukosea na tunakosoleka ukiwemo wewe.
Sawa kabisa mimi nilisema kwamba wewe ulikuwa kwenye mduara wa kudanganya kuhusu kuugua na kufa kwa Balali.
Kwi kwi kwi!!!! Mkuu Jasusi hizo sio conspiracy theories tena, badala yake ndio ukweli wa yaliyotokea kwenye hili la Ballali. Amefake kifo kwa faida yake na mafisadi.
Mtanzania,
Kwa mtaji huo na ninyi basi mnaendeleza dhana hizo kwa faida ya mafisadi ambao hawajaguswa huko Tanzania.
Conspitacy theories zitamalizwa na Mama Anna Muganda Ballali peke yake na si mtu mwingine yeyote!
Kama kuna mtu wa kumwambia kuhusu kuwapa mafisadi faida basi si mwingine zaidi ya Mama Muganda Ballali.
After consipary theories are solved by Mama Muganda Ballali then what? Do we get solution on EPA, Meremeta and Tangold?