Kifo cha David Balali: Kauli mbalimbali toka kwa watanzania

Kifo cha David Balali: Kauli mbalimbali toka kwa watanzania

jmushi,
Mkuu huyo Mama Muganda amehusika vipi na kesi za EPA hata umefikia kumwita fisadi na hata kuhoji ndoa yake.. mkuu vipi wewe nambie katika hayo makampuni 22 ni ipi anamiliki yeye?..
Unamtaka aje kueleza UMMA ambao tayari umekwisha mwekea mashaka yeye.. Je aje kujieleza yeye uhusiano wake na Ufisadi ama kuhusiana na mumewe!..maanake sielewi unapomtukana mtu kisha unataka ushirikiano wake...Kafiwa na mumewe wewe umempa hata hiyo pole au ndio bado unaamini kamficha!
Wabongo jamani hata lugha nzuri hatuna!
 
Je hii ni kweli?

The Meremeta Gold Company
The Governor is the custodian of this ill conceived mining project. He
guaranteed this project from the Government for USD 100 million in 1999.
Anna Muganda was a major shareholder and partner who brought in Time Mining
to manage and operate the Meremeta Mines on behalf of the Government of
Tanzania. She went on to become the wife of Balali in 2004. The Meremeta
Mines was a classic example of Daudi Balali giving Guarantees to companies
in which he had an interest, the company thereafter filed bankruptcy and
the Bank of Tanzania paid the funds against the Guarantee. Noting the
strategic importance of having its own Gold Mine, Bank of Tanzania invested
heavily into this mine while the South African partners raised the money
and sold their shares after utilizing the funds in the first year of
operation. The Governor, after supporting the loss making operation for 7
years, sold the mining rights to Rand Gold, making the Government mine
unsustainable. The loss to Government of Tanzania is USD 132 million paid
to the lenders against the Guarantee from BOT with interest and penalties.
The Governor made payments in October 2005 before the end of Third Phase
Government. He sold the mining rights to RAND Gold for below market prices
causing a further loss of USD 100 million. Total loss to Government of USD
232 million
 
Na kama siyo..Je madai na maswali haya ya Slaa ni vipi?

Alieleza kwamba taarifa hiyo inamtaja mke wa Gavana, Bi. Anna Muganda kuwa mmoja wa wakurugenzi wa kampuni ya Time Mining, ambayo ndiyo iliyokuwa inaendesha kampuni ya Meremeta, na baada ya BoT kulipa dhamana ya zaidi ya Dola za Marekani 100,000 kabla ya kuuzwa kwa Rand Gold ambako Bi. Anna, mke wa gavana, pia ni mwenye hisa.

Alisema Watanzania wanahoji kuna nini na kwamba kila siku Serikali ikihojiwa haitoi majibu.

Aliendelea kueleza kuwa wakurugenzi wa Alex Stewart waliolipwa zaidi ya Dola za Marekani 65 milioni nao walitoka Time Mining ambako Bi. Anna Muganda anahusika.

Pia alisema kwenye External Debt Service Accounts, au kwenye Bank M, ambayo inasemekana imeandikishwa bila kufuata utaratibu, inamilikiwa na wamiliki walioonyeshwa kwenye waraka alioutoa bungeni.

Alisema mmoja wa wamiliki hao anasemekana kuwa ni Gavana kupitia kampuni yake na mkewe inayoitwa Napster Group iliyosajiliwa Uswisi.

Jumla ya wabunge 91 wanatarajiwa kuchangia hotuba ya Bajeti ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa fedha 2007/2008.
  • SOURCE: Nipashe
 
jmushi,
Mkuu huyo Mama Muganda amehusika vipi na kesi za EPA hata umefikia kumwita fisadi na hata kuhoji ndoa yake.. mkuu vipi wewe nambie katika hayo makampuni 22 ni ipi anamiliki yeye?..
Unamtaka aje kueleza UMMA ambao tayari umekwisha mwekea mashaka yeye.. Je aje kujieleza yeye uhusiano wake na Ufisadi ama kuhusiana na mumewe!..maanake sielewi unapomtukana mtu kisha unataka ushirikiano wake...Kafiwa na mumewe wewe umempa hata hiyo pole au ndio bado unaamini kamficha!
Wabongo jamani hata lugha nzuri hatuna!

Mkandara,

Umeng'ang'ania kusema hayo makampuni 22, je ni kweli hizo pesa zote zilienda kwenye hayo makampuni 22? Kuna kampuni moja kati ya hayo 22, wameshasema waziwazi kwamba
wao walitaka bilioni tano, wakapewa nane ili bilioni tatu warudishe kwa kigogo wa BOT (Sio Ballali).

Kwahiyo unapoongelea EPA lazima uende mbali zaidi ya hayo makampuni 22. EPA pia ni sehemu ndogo tu ya wizi huo, ukigusa Tangold na meremeta unawakuta vigogo wengine wa CCM kama akina Jaji Warioba, akina Chenge, Mkapa na uchaguzi wa 2005.

Kuhusu Anna Muganda link ipo kwamba alikuwa kiungo mzuri kwenye mtandao wa ufisadi. Hata kama alikuwa hafungi magoli yeye mwenyewe lakini alisaidia kuwaunganisha baadhi ya
mafisadi na Ballali na pia ana shares kwenye baadhi ya makampuni yanayohusika na huo ufisadi wa BOT.

Huwezi kujua hizo pesa ziliishia kwa nani bila kufanyika uchunguzi. Tuliahidiwa uchunguzi unafanyika na utachukua miezi sita. Tukaambiwa tusubiri miezi sita, ghafla kabla ya miezi sita kwisha, kinara kwenye huo wizi anapotea, unataka tukae kimya? Hapana lazima tuendelee kufuatilia mpaka tutakapojiridhisha kwamba kweli kafa au yuko sehemu akifaidi pesa za wizi.
 
. Upo kwenye mduara wa kutudanganya kuhusu ukweli wa kuugua na kufa kwa Balali. If you think saying this is criminal, as you said in your post, as a responsible citizen, you know what to do when a felllow citizen commits criminal offence.

You know, nilishaamua kubaki nje ya mjadala huu baada ya credibility yangu kuwa questioned. Inaonekana kuna kundi limeshaamua kuwa kuna "mduara" wa kudanganya kuhusu ukweli wa kuugua na kufa kwa Balali. Fair enough. You know the pendullum swings both ways, na kama kuna watu wanafikiria kuna mduara kama huo hapa JF na mimi nachelea kufikiria kuwa akina Yebo Yebo, Kitila Mkumbo, Mtanzania na Kuhani Mkuu nao wako kwenye mduara wa kuendeleza hizi conspiracy theories ili ionekane kuwa Balali aliziiba zile hela na sasa amefake kifo and out of reach na kuwakinga mafisadi halisi ili waendelee kupeta untouched kule bongo.Vipi na ninyi wana JF mmetumiwa na mafisadi, au?
 
Na wale wanaokomalia kuwa Ballali kafa...Then wanatakiwa wakubaliane na sisi tunaotaka kujua mazingira ya kifo!
Kutokufanya hivyo itabidi Mama Muganda Ballali na serikali wajitokeze na kuweka wazi kuwa kati yao ni nani wa kulaumiwa kwa kifo hicho!
Either one of them...Or both of them as in the Govt. & Mrs Muganda Ballali to be held responsible for the death and NOT GOD as our leaders wants us to believe!
 
jmushi,
Mkuu huyo Mama Muganda amehusika vipi na kesi za EPA hata umefikia kumwita fisadi na hata kuhoji ndoa yake.. mkuu vipi wewe nambie katika hayo makampuni 22 ni ipi anamiliki yeye?..
Unamtaka aje kueleza UMMA ambao tayari umekwisha mwekea mashaka yeye.. Je aje kujieleza yeye uhusiano wake na Ufisadi ama kuhusiana na mumewe!..maanake sielewi unapomtukana mtu kisha unataka ushirikiano wake...Kafiwa na mumewe wewe umempa hata hiyo pole au ndio bado unaamini kamficha!
Wabongo jamani hata lugha nzuri hatuna!

Nadhani issue ya MEREMETA imekuelewesha uhusikaji wa Mama Anna Muganda Ballali.
 
You know the pendullum swings both ways, na kama kuna watu wanafikiria kuna mduara kama huo hapa JF na mimi nachelea kufikiria kuwa akina Yebo Yebo, Kitila Mkumbo, Mtanzania na Kuhani Mkuu nao wako kwenye mduara wa kuendeleza hizi conspiracy theories ili ionekane kuwa Balali aliziiba zile hela na sasa amefake kifo and out of reach na kuwakinga mafisadi halisi ili waendelee kupeta untouched kule bongo.Vipi na ninyi wana JF mmetumiwa na mafisadi, au?

Kwi kwi kwi!!!! Mkuu Jasusi hizo sio conspiracy theories tena, badala yake ndio ukweli wa yaliyotokea kwenye hili la Ballali. Amefake kifo kwa faida yake na mafisadi.
 
Siko peke yangu karibu na Ukweli!....

Mmoja wa wanasiasa wakongwe nchini, Jaji Joseph Warioba akizungumzia kifo hicho cha Dk. Ballali wiki hii, ameiambia Raia Mwema kwamba anaona unafiki wa hali ya juu katika matamshi na matendo ya wanasiasa.
“Huu ni unafiki mkubwa. Muacheni Ballali apumzike kwa amani. Kwanza walimwita ni fisadi, sasa wanasema shahidi muhimu amekufa. Katoka kuwa fisadi wakati wa uhai kuwa shahidi katika mauti,” alisema Warioba katika mahojiano ya simu mwanzoni mwa wiki hii.
Aliongeza Warioba: “Amekuwa kafara. Taarifa ya Serikali kuhusu fedha za EPA ilionyesha wazi Ballali amechukuliwa hatua katika utaratibu wa kawaida wa kuwajibika. Haikumtuhumu kwamba alikuwa ameiba fedha. Fedha zile bilioni 133 ni jumla ya fedha zote zilizochukuliwa na kampuni 22 zilizotajwa katika taarifa ya Serikali.
“Ballali hakutajwa katika orodha ya kampuni hizo. Hilo Serikali inajua, viongozi wa siasa wanajua na vyombo vya habari vinajua. Lakini wote hao, kwa kipindi chote alichokuwa hai walimhukumu kama mtu aliyekuwa ameiba fedha. Lakini waliochukua fedha zile wanafahamika.
“Kwa muda wa miezi mitano Kamati (ya uchunguzi wa kashafa ya EPA) imekuwa ikiwaambia wananchi inakusanya fedha hizo kutoka kwa watu wanaoitwa. Ilipoulizwa kuhusu Ballali ilisema haimuhitaji. Maana yake hakuwamo katika orodha ya waliochukua fedha zile. Lakini sasa amefariki wimbo umebadilika. Wanasiasa na vyombo vya habari vinamwita si fisadi tena, bali shahidi muhimu wa wizi wa EPA.
“Huu ni unafiki mkubwa. Kuna visingizio kwamba ugonjwa wa Ballali haujulikani, lakini Serikali inajua kwani alikuwa analipiwa matibabu na Benki Kuu. Alikuwa Boston, Marekani, ile nchi iko wazi mtu angetaka kujua angejua. Lakini sasa wanasiasa na vyombo vya habari vinalalamika kwamba ugonjwa wake ulifanywa siri. Kumbe ni uzembe wao.
“ Sasa tumeanza kutafuta mchawi huku. Na hapa ikisha kutamkwa neno fisadi tu, basi hata kama mtu hana ushahidi unakuwa fisadi. Lakini yote haya hakuna anayekuambia Ballali aliiba kiasi gani. Wamuache apumzike kwa amani, siku moja ukweli utafahamika.”

Mkandara,
'Thanks for these 2 articles. Waswahili wana sema mwenye macho haambiwi tizama na mwenye masikio....
With these 2 articles I rest my case.











 
Sawa kabisa mimi nilisema kwamba wewe ulikuwa kwenye mduara wa kudanganya kuhusu kuugua na kufa kwa Balali.

Mkuu Kitila,

Nilifkiri yamekwisha sasa ninachokuuliza uko wapi ukweli wako on this? Ninasema hivi haya maneno yako ya mduara ni uzandiki na majungu, kama sio uongo wa mchana na ni vyema ukakubali kuwa huna ukweli on this, badala ya kujaribu kuzunguka mkuu, hapa mwenye ishu ni wewe sio mimi ulichofanya ni kuzusha hili huwezi kuinichezea mkuu!

Mimi simo kwenye any-mduara kama unaujua useme uko wapi, nani wahusika na mimi nilihusika vipi na huo mduara, mbona unazunguka sana mkuu? Mimi sina noma weka ukweli mimi ningekuwa nao kuwa umo kwenye mduara ningeuweka hapa, sasa hapa mkuu ni kwako weka ukweli?
 
1.
Huwa nakukosoa pale inapobidi na ninapoona kwamba ni lazima. My only humbe advice is that you should stop thinking that you are infallible bacause you are not. As binadamu, sisi sote hukosea na tunakosoleka ukiwemo wewe.

2.
Sawa kabisa mimi nilisema kwamba wewe ulikuwa kwenye mduara wa kudanganya kuhusu kuugua na kufa kwa Balali.

Mkuu ukiweza kuweka maneno yanayothibitisha kuhusika kwangu na huo mduara mimi nitaiomba radhi kwa mara ya kwanza hii forum, lakini kama huna uthibitisho ni vyema ukakubali kuwa umesema uongo,

Mimi binadamu mwenye mapungufu kama wengine wote lakini sio ya kujiunga na huu mduara wako, ninaomba tu uombe radhi kwa ku-create uongo na majungu kama sio uzandiki!

Othersiwe pamoja na mpungufu yangu ninasema hivi maoni yangu ni kuwa Balali amefariki 100% hilo huwezi kunilazimsiha na simo kwenye mduara wowote kama ambavyo siamini kuwa uko kwenye any mduuara, ulichosema ni uongo na unafiki kama sio majungu! Huwezi kunikosoa kama huna ukweli wa unachonikosolea, unless sasa hapa JF rules zime-change sasa ni kuamka tu kum-accuse mtu kuwa yumo into something halafu akiuliza ukweli ni kudai kuwa anajaribu kutokuwa kama binadamu wengine na kwamba wewe unamkoosa tu that is low minds sikutegemea itakuja kutokea hapa siku moja tena kutoka kwa mtu kama wewe, sasa aliyebaki wa kumuamini ni nani humu?
 
Kwi kwi kwi!!!! Mkuu Jasusi hizo sio conspiracy theories tena, badala yake ndio ukweli wa yaliyotokea kwenye hili la Ballali. Amefake kifo kwa faida yake na mafisadi.

Mtanzania,
Kwa mtaji huo na ninyi basi mnaendeleza dhana hizo kwa faida ya mafisadi ambao hawajaguswa huko Tanzania.
 
Mtanzania,
Kwa mtaji huo na ninyi basi mnaendeleza dhana hizo kwa faida ya mafisadi ambao hawajaguswa huko Tanzania.

Jasusi,

Sasa hao mafisadi ambao hawajaguswa, sio ndio wanafurahia kupotea kwa Ballali? Haileti maana kwamba sisi ambao tunataka kujua Ballali yuko wapi eti tunaendeleza dhana kwa mafisaidi ambao hawajulikani.

Sisi tunaendeleza mapambazo na mafisadi hata kama ni ndugu zetu kwa faida ya nchi yetu. Wote tumeona raha ya kushiba na kutokuumwa lakini unapoona wajanja wachache wanachota kila kitu na kuaacha maskini wengi wakiwa hoi inasikitisha sana.

Kwa taarifa yako wengine tungetaka kujiunga na mafisadi, tungeshafanya hivyo muda mrefu sana. Lakini wengine tuko tayari kuendelea kubeba mabox huku Ulaya kuliko kwenda kuchota pesa za maskini ambao wanashindwa hata kuweza mlo mmoja wa maana kwa siku.
 
Conspitacy theories zitamalizwa na Mama Anna Muganda Ballali peke yake na si mtu mwingine yeyote!
Kama kuna mtu wa kumwambia kuhusu kuwapa mafisadi faida basi si mwingine zaidi ya Mama Muganda Ballali.
 
Mtanzania,

Heshima mbele mkuu, muache Jasusi, tuendele sisi wengine mkuu sidhani kama it too much to ask, ninajua kuwa wewe ni mstaarabu badala yake nitwange mimi ikiwezekana, leave the man alone please!
 
Conspitacy theories zitamalizwa na Mama Anna Muganda Ballali peke yake na si mtu mwingine yeyote!
Kama kuna mtu wa kumwambia kuhusu kuwapa mafisadi faida basi si mwingine zaidi ya Mama Muganda Ballali.

After consipary theories are solved by Mama Muganda Ballali then what? Do we get solution on EPA, Meremeta and Tangold?
 
4. Balali and his wife Anna Muganda, maintain foreign bank accounts, houses
and property along side Vimal Mehta, Jeetu Patel and Don Andy in
Switzerland, London, Dubai, and Mauritius.

Serengeti Breweries Ltd. Factory was bought with stolen tax payers VAT
money from 1994. Currently making claims of investing millions in Tanzania.
Source of funds is Bank of Tanzanias Foreign Debt Service Account

Sanjay Mehta& Ajay Mehta: Capo Bastones. Brothers of Vimal
Mehta who are all managing different businesses which have stolen estimated
funds of USD 285 million from Government of Tanzania since 2002 and USD 25
Million in 1992-1 995 period.
Bank M: Recently licensed by Bank of Tanzania without proper procedure. The
owners of the Bank are Jeetu Patel, Daudi Balali through an
offshore company, Vimal Mehta, Sanjeev Kumar, Bhasker Narayanan, Anna
Muganda. See section on Bank M for detail
 
After consipary theories are solved by Mama Muganda Ballali then what? Do we get solution on EPA, Meremeta and Tangold?

Tunataka kujua ni nani alimuua/kumficha Ballali na ni kwanini.
Ballali,ugonjwa wake pamoja na kifo/kufichwa kwake...Ni mambo yasiyoweza kutenganishwa na sakata hili la BOT!
Ni equevalent to...THE SAGA CONTINUES!
I guess we can therefore conclude that under such circumstances...No stone seems to be left unturned.
 
Back
Top Bottom